nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Mhhhh. Wewe nawe sasa unaboa. Matajiri wa Kahama wote maisha yao ya kumalizia ni Mwanza jiji. Nani ataenda malizia maisha yake kwenye mji kame hauna beach kama Kahama. Hauko serious.
Mimi ni mzawa Mwanza na Mwanza ndio home, nimefanya kazi Kahama, Kagera (Karagwe/Missenyi/Kyerwa/Bukoba/Ngara/ Muleba) Arusha na Dar all in all sehemu ya kumalizia maisha bado ni Kahama.