Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama kuwa Manispaa limeongelewa tokea 2019. Sasa huyo Mkurugenzi kamfurahisha lini namba 1?
kwa kauli yake Rais Mwenyewe alisema mkurugenzi kamfurahisha na hivyo anawapa zawadi ya kuwapandisha kua Manspaa.Nikukumbushe kua Njombe ni moja ya miji iliyoomba kupandishwa hadhi kua Manspaa labda bado haijapa mtu wa kumfurahisha boss
njombe vijiji kuna nyumba za kisasa nyingi tu mkuu
 
kwa kauli yake Rais Mwenyewe alisema mkurugenzi kamfurahisha na hivyo anawapa zawadi ya kuwapandisha kua Manspaa.Nikukumbushe kua Njombe ni moja ya miji iliyoomba kupandishwa hadhi kua Manspaa labda bado haijapa mtu wa kumfurahisha boss

 
Kahama, Kibaha na Geita toka mwaka jana zikitangazwa kuwa Manspaa tarajiwa. Hiyo Njombe yenu haimo kwenye huo mpango.
imepandishwa kwa sababu mkurugenzi alimfurahisha boss wake na sio kua inavigezo kuizidi Njombe,Njombe is well organised than kahama
 
Sawa tutakuja lakini hakikisheni mnatoka kwenye top 5 ya umaskini by the way hata kwetu nyumba kali Vijijini zipo japo ni moja moja
 
Wewe usipoiweka hakuna shida ila wahudika wanajua itapandishwa any time t bila kujalisha unapenda au hupendi
kwa sababu ni makao makuu ya mkoa, tofauti na Kahama ni Municipal ipi ambayo sio makao makuu ya mkoa?
 
jamani mkimaliza njombe ebu wekeni huu mkoa wa katavi. nmefika hapa mpanda mjini duuu cjui walitumia vigezo gani kuufanya kuwa mkoa. kila nikiuliza mjini kati ni wapi? naambiwa ndo hapa ulipo . kuna jengo kubwa ni mpanda praza ina gholofa 4 . Gest ndo nyingi usafiri mkuu ni bajaj na toyo . viwanja ni laki 5 mpaka milion 1 tena vimepimwa mchele kg sh 800 .
 
Kweli kabisa
 
Msikilze JAFO, kaongelea Halmashauri zinazotumia mapato ya ndani kujenga miundo mbinu ya ndani kwa fedha za ndani, kazitaja halmashauri kubwa nyingi tu ila sijaisikia Njombe. Kahama inawekwa ligi moja na Jiji la Tanga, Mwanza, Manispaa ya Kinondoni yaani hapo hata maghorofa HAYAONGELEWE ni mbumba tu πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›

 
kwa sababu ni makao makuu ya mkoa, tofauti na Kahama ni Municipal ipi ambayo sio makao makuu ya mkoa?
Hakuna aliyeikataza Khm kuwa makao makuu ya Mkoa ,hadithi kama hizo ndizo zinafanya mshindwe kutupia picha za Khm humu
 
Muulize Pinda na maccm maana hata huko Khm ni siasa tuu ila hakuna uhalisia wakibisha waambie waweke picha.

Mpanda,Lindi na Khm ni kundi moja tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…