Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nyie na Kasulu kuna tofauti gani ya idadi ya watu? Nyote mko kwenye 2k

Suala sio idadi ya watu suala ni nguvu ya uchumi wa watu
๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† Ndio maana Kasulu haijapewa na haijafikiriwa kuwa na hadhi ya Manisipaa. Kahama miaka mitatu / minne nyuma suala la kuwa Manispaa limezungumzwa sana tu. Wingi wa watu sio sifa pekee. hizo other factors ndio KASULU hana...
 
Sasa ukubwa wa watu unaupimaje!? Kwa ukubwa wa eneo bila watu!? Less land per city dweller inamaanisha hilo eneo more urbanised...

Magorofa yana factor nyingi... Na moja ya vitu muhimu ni kubwa na centralized sewer system... Sasa KAHAMA mjini ujenge grorofa kumi down town mifumo ya majitaka unaiweka wapi!? Kwenye kiwanja cha SQM.450!?

Huko mashambani ndiko wanajenga maproperty makubwa yasiyokuwa kuwa economic back up... Uende NJOMBE ujenge 100room hotel kwa influx gani ya watu ili iwe economically viable!?

Kahama kinachoipeleka ni market forces .. unachokiona ndio uhalisia wa soko.. sio sijui sadaka za kkt zinaenga.. mara vile ni..
Backward village as usual ,porojo nyingi Sana ila hicho Kijiji kikubwa kitaendelea kusubiria Sana kwa Njombe

Ni hatari kwamba mtu anajisifia kwa utopolo yaani uswazi like lifestyle

Kwamba wanajenga magorofa ambayo hayoko economically viable huo ni utopolo wako,hakuna mtu angejenga kama hakuna watumiaji but Ingefaa ujiulize zaidi kwa nini wasije kujenga huko kwenye watu wengi? Jibu ni simple you are poor
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Ndio maana Kasulu haijapewa na haijafikiriwa kuwa na hadhi ya Manisipaa. Kahama miaka mitatu / minne nyuma suala la kuwa Manispaa limezungumzwa sana tu. Wingi wa watu sio sifa pekee. hizo other factors ndio KASULU hana...
Imekosa wapiga domo
 
Sasa ukubwa wa watu unaupimaje!? Kwa ukubwa wa eneo bila watu!? Less land per city dweller inamaanisha hilo eneo more urbanised...

Magorofa yana factor nyingi... Na moja ya vitu muhimu ni kubwa na centralized sewer system... Sasa KAHAMA mjini ujenge grorofa kumi down town mifumo ya majitaka unaiweka wapi!? Kwenye kiwanja cha SQM.450!?

Huko mashambani ndiko wanajenga maproperty makubwa yasiyokuwa kuwa economic back up... Uende NJOMBE ujenge 100room hotel kwa influx gani ya watu ili iwe economically viable!?

Kahama kinachoipeleka ni market forces .. unachokiona ndio uhalisia wa soko.. sio sijui sadaka za kkt zinaenga.. mara vile ni..
Vyovyote iwavyo kama ulivyidai kwenye para ya kwanza. Hata hivyo kuwa na eneo KUBWA JINGA ambalo hata halina chochote ina maana gani?
Yote kwa yote, WADAU WANASUBIRI PICHA ZA KAHAMA ili kufanya ULINGANIFU.
 
Backward village as usual ,porojo nyingi Sana ila hicho Kijiji kikubwa kitaendelea kusubiria Sana kwa Njombe

Ni hatari kwamba mtu anajisifia kwa utopolo yaani uswazi like lifestyle

Kwamba wanajenga magorofa ambayo hayoko economically viable huo ni utopolo wako,hakuna mtu angejenga kama hakuna watumiaji but Ingefaa ujiulize zaidi kwa nini wasije kujenga huko kwenye watu wengi? Jibu ni simple you are poor
Kuna uwanja wa A.Mwinyi Tabora, Unadhani Kwann ulijengwa!? Katika hizo hoteli za huko NJOMBE ngapi ni za watu binafsi wanaotegemea biashara ya hotel!?

Kwa kifupi mengi mnafanya kwa prestige.. ufahari tu ..na sio biashara.. Issue ya Central sewer system ni swala la utaalamu sio porojo..

nyumba kahama mjini moja ni kati ya milioni 250 na 500 ..ununue hiyo halafu upoteze sehemu kubwa kuweka mfumo wa maji taka!? Ndio maana magorofa mengi yapelekwa nje ya cbd. Hiyo ni Sayansi sio mawenge kama inavyotaka kuamini..
 
Nje ya Mji wapi mlikopeleka hayo magorofa,weka picha tuone

Una matatizo ya akili mtu ajenge hoteli ya mamilioni eti anajenga for prestige? Kwani wewe ni mgeni kwamba Njombe ina wafanyabiashara maarufu nchini?

Weka picha acha porojo mkuu
 
Kahama ni manispaa but Kahama ni mji ambao unakilimo sana karibia morogoro Kahama offers you everything
Uliwahi sikia wapi wewe toka unazaliwa kwamba Kahama inatajwa kwenye masuala ya kilimo?

Haya taja hata Mazao 2 ambayo Kahama inaongoza au iko top 5 kitaifa
 
Nje ya Mji wapi mlikopeleka hayo magorofa,weka picha tuone

Una matatizo ya akili mtu ajenge hoteli ya mamilioni eti anajenga for prestige? Kwani wewe ni mgeni kwamba Njombe ina wafanyabiashara maarufu nchini?

Weka picha acha porojo mkuu
Mbona nikihoji hoja muhimu hujibu?! Hahaha. Submarine, NSSF, kom (Karibu na Rocken hill, Mongo Hotel, Petrol Africa yako Mengi mno.. sema tu wewe huyajui
 
NSSF NJOMBE
1612886869171.png

NSSF KAHAMA
1612886912262.png
 
Huyu Opportunitycost hawezi kujua maana anaishia stand ... Maeneo mengi hakujui
NSSF wameona wapi wanaweza wekeza kitega kiuchumi na kikawalipa na wapi wanaweza wekeza office tu ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Angoje uwekezaji wa chama cha mapinduzi kwenye eneo lao la Ofisi pale na kilankistand cha Kakola... Utakuwa hatari
 
Kwa hayo Majengo mawili ya NSSF (NJOMBE na KAHAMA) ukiulizwa jengo la wilayani na mkoani ni lipi? La NJOMBE litaitwa la wilayani na la KAHAMA litaitwa la Mkoani. ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Hahahaha.. na la KAHAMA ni jengo profitable.. linao wapangaji... Ubaya liko pembeni lingekuwa mjini kati lingekuwa na soko zaidi
 
NJOMBE regional referral hospital
1612887855325.png

KAHAMA district hospital

1612887890257.png
 
KAHAMA super market/ Bakery / pharmacy
1612889028142.png
1612889129887.png
1612889081370.png
1612889092372.png
1612889853996.png
1612889110319.png

1612889164913.png
1612889824424.png
1612889179290.png

NJOMBE supermarket??????????????
1612889661227.png
1612889681199.png
 
Back
Top Bottom