Cha madawa ya binadamOngeza nyama Basi hicho ni kiwanda cha nini maana seems like godown
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha madawa ya binadamOngeza nyama Basi hicho ni kiwanda cha nini maana seems like godown
Kama godauni vileeCha madawa ya binadam
Uliwahi sikia wapi wewe toka unazaliwa kwamba Kahama inatajwa kwenye masuala ya kilimo?
Haya taja hata Mazao 2 ambayo Kahama inaongoza au iko top 5 kitaifa
RICEPEDIA Tanzania - RicepediaMpunga
Mnategemea majengo ya serikali [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Serikali haijajenga Njombe?Mnategemea majengo ya serikali [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1698557
Hoja gani muhimu? Weka picha za hizo guests tuone kama hapa downMbona nikihoji hoja muhimu hujibu?! Hahaha. Submarine, NSSF, kom (Karibu na Rocken hill, Mongo Hotel, Petrol Africa yako Mengi mno.. sema tu wewe huyajui
Wewe ni kiazi kwa kweli ukute hata Makambako huijui na kama unaijua usingeongea utopolo huuNjombe inabebwa na makambako
Yaani Manispaa nzima ndio inalingia hilo duka hapo juu,[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] mnatia huruma Sana na kudharirisha hadhi ya ManispaaKAHAMA super market/ Bakery / pharmacy
View attachment 1698452View attachment 1698458View attachment 1698454View attachment 1698455View attachment 1698474View attachment 1698456
View attachment 1698460View attachment 1698473View attachment 1698461
NJOMBE supermarket??????????????
View attachment 1698470View attachment 1698472
Anaekutaka huku ni huyu hapa chiniNjombe ni uswekeni tu huko nani anapataka. Mnaishi kwenye umande kama nyani
Kahama haina supermarket moja, hii mpya inaitwa TULIZ supermarket picha nikipata nitatupia humu. Weka supermarket za Njombee tafadhali 😀😀😀😀Yaani Manispaa nzima ndio inalingia hilo duka hapo juu,[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] mnatia huruma Sana na kudharirisha hadhi ya Manispaa
Zipo ngapi Mkuu? Mbona ni zile zile 2. Hiyo ya tatu hata msingi hawajachimba aisee. 😀 😀 😀 😀 😀Itawachukua Kahama miaka 100 kupata hizi nyumba kali 3 hapa downView attachment 1698609View attachment 1698610View attachment 1698611View attachment 1698612
Wewe ni kiazi kwa kweli ukute hata Makambako huijui na kama unaijua usingeongea utopolo
Unaweza ukabishia wakat yupo sahihi hata serikali inatambua Hilo makambako ya Jana si ya leo gorofa ulizo kuwa unajidainazo njombe ukipita makambako kwa sasa tayar mambo ni fire site zimezungushwa bati tu vitu. Vinapanda nyumba za chini hzo ndo gap lakufa mtuWewe ni kiazi kwa kweli ukute hata Makambako huijui na kama unaijua usingeongea utopolo huu