Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Fire gani bana hata mapato ya ndani ni bln 2 tuu yaani mara 2 ya Njombe yenye bln 4 plus

Ni kweli mumejikongoja angalau mnaanza kutambaa but bado Sana kuja ifikia Njombe ila kwa viwanda na magodown jengeni maana mna tambarare inasapoti but kitu cha kufahamu ni kwamba mara nyingi viwanda vina vibarua wengi na mishahara kiduchu ambayo haiwezi ku push Sana mzunguko wa pesa is like migodi tuu

Njombe kuna agro industries ndio injinia kubwa kuanzia viwanda vya chai Hadi kusindika maziwa na matunda but it is good Mkoa una Miji 2 mikubwa.

Ila watu wa Makambako msijifariji Sana maana soon Magari ya kutoka Songea/Mtwara/Tunduru/Masasi/Mbinga kwenda mikoa mingine yataacha kupita hiyo njia pindi barabara ya Njombe Makete Isyonje/Mbeya au Njombe Halali ikikamilika yaani mtabakia na mabasi yanayoanzia Njombe kwenda mikoa ya na Kati maana ya Dar yatapitia Ifakara Hadi Mikumi sasa sijui biashara mtamuuzia nani
Hebu angalia urefu was hiyo barabara plus makazi mengi yako wa gari zinafata abiria bwana hzo zitabaki Ni stori viwanda ndo injini ya ukuaji wa miji endelevu na sio kilimo Ni changamoto fatilia miji iliyo endelea utajifunza kitu njombe gap mlishapigwa cku nyingi tembelea makambako uone na bado kumbuka makambako tuna link na nchi za SADC ndo maana ha msd wamejenga kiwanda makambako kwaajili ya inchi hzo ko Hilo la barabara lisikupe shida makambako ita endelea kuwakimbiza t
 
Kifupi njombe inabebwa na makambako ukienda njombe mchana wananchi asilimia kubwa wanakua shambani.pia mji unalala saa 12 jioni.ila ukienda makambako mda wote wananchi ni purukushan.njmbe haina hata leli kuriona tren nilazima wasogee makambako.
Hizo ni porojo za kitoto hata data huna

Purukushani za uchuuzi ndio zinawashindisha kutwa nzima mnahangaika.

Njombe ni mkoa na inategemea kilimo ,misitu na agro industries ila nyie machinga na mama ntilie lazima mkeshe.

By the way makusanyo ya Njombe ni 4bln , Makambako 2bln,,nani anabeba mwenzie hapo? Kuwa na heshima wewe muuza duka hicho Kijiji cha Makambako hakina hata 5 years since kipandishwe kuwa town council wakati Njombe ni miaka hiyo iko level moja na Mafinga,Kahama etc.

Wa kuichallenge Njombe ni Mafinga pekee nyie wa Makambako level zenu ni Ifakara,Masasi,Mbinga etc Tuna timu zimecheza ligi kuu kama Njombe Mji na Nazareth wewe ulikuwa unatambaa
 
Wa kuichallenge Njombe ni Mafinga pekee nyie wa Makambako level zenu ni Ifakara,Masasi,Mbinga etc Tuna timu zimecheza ligi kuu kama Njombe Mji na Nazareth wewe ulikuwa unatambaap
 
Hizo ni porojo za kitoto hata data huna

Purukushani za uchuuzi ndio zinawashindisha kutwa nzima mnahangaika.

Njombe ni mkoa na inategemea kilimo ,misitu na agro industries ila nyie machinga na mama ntilie lazima mkeshe.

By the way makusanyo ya Njombe ni 4bln , Makambako 2bln,,nani anabeba mwenzie hapo? Kuwa na heshima wewe muuza duka hicho Kijiji cha Makambako hakina hata 5 years since kipandishwe kuwa town council wakati Njombe ni miaka hiyo iko level moja na Mafinga,Kahama etc.

Wa kuichallenge Njombe ni Mafinga pekee nyie wa Makambako level zenu ni Ifakara,Masasi,Mbinga etc Tuna timu zimecheza ligi kuu kama Njombe Mji na Nazareth wewe ulikuwa unatambaa
Yan ww ndo utopolo kwel hujui kitu kahama na makambako zilipewa hadhi ya mji mwaka 2012 usitulinganishe na mafinga Wala mbinga hko miji ya 2015 hebu angalia mapato ya mwaka 2021 usituletee mambo ya viparila vya viazi njombe hko
 
Iwe hivi Njombe V/s Shy town. Huyo Makambako nae anaonekana kuwa wa moto kwa Njombe 😀 😀 😀
 
Kahama (BUZWAGI) ipo recognized kwenye uchumi wa nchi hii, wapi parachichi????? Yaani labda muache kutumia note za 5,000/- matajiri wangu 😀 😀 😀 😀 😀 😀
View attachment 1698632
Tunaomba aerial view ya Kahama kama hii hapa ya Njombe

Hapo kuna nyumba nyingi za ghorofa ambazo haziko kwenye picha
 
Ni sawa na SHY town aanze kuvimba kwa mbavu za Kahama ndicho wanachofanya Njombe kwa Makambako 😀 😀 😀
Ko Kahama imeomba sapoti ya Makambako,ima kweli Njombe imewashika pabaya.

Narudia tena Makambako ni Kijiji cha kichuuzi sawa tu na kijijini kikubwa cha Kahama
 
Mmh, kwa majengo makali makubwa, Kahama bado kwa Njombe ingawa kwa ukubwa wa mji na idadi ya watu, uwingi wa nyumba nzuri za makazi tu(za mapaa mareeeefu) Kahama inaweza kuongoza. Hata hivyo hadi sasa Njombe iko juu ya kwa majengo makubwa makali.
Ukiondoa ile mall ambayo hutumiwa na wageni na wazungu, Kahama bado sana kwa Njombe
Kuwa na mapaa marefu sio uzuri wa nyumba mkuu,Njombe ina nyumba kali Sana kumbuka zimefichwa kwenye uoto wa asili si unajua mandhari ya Mji?

Na watu wengi mburura wakipita along Songea road pale mjini wanajua ndo Njombe imeishia hapo huo ni utopolo Njombe iko covered na greenish all over
 
Mangapi boss? 😀 😀 😀
Hii video hapo chini haina yale majengo tunatupia kila mda,ifuatilie vizuri uone.

Mandhari kama hayo wachuuzi wa Kahama mtaishia kuona kwenye tv au Mje Njombe,Mbeya na Arusha na Bukoba
 
Hili Jambo nimewai kuliongelea wakaja na kejeli et makambako Ni mtoto wa njombe yani mfano mfuu haya saizi wanalima parachichi kiwanda kikubwa kimejengwa makambako wanalima mahindi vihenge vikubwa vipo makambako na soko kubwa la mazao linaendelea kujengwa kiumba pale haya kiwanda Cha bati dragon ,kiwanda Cha misumari, kalvat,gypsum na chokaa, vifaa vya plastic ,kahawa,mifuko na juice,madawa ya binadamu ,nguzo vimejengwa makambako swal kwanini wawekezaji wengi wakija mkoa wa njombe wanapenda kuwekeza makambako na si njombe maan halimashauri ya mji njombe inaviwanda Kama vinne t wakat makambako saiz Ni Zaid ya kum na vinaendelea kujengwa swala la gorofa Hilo huja automatic ndo maana ukija makambako utaona vitu vinavyoendelea na njombe shida geografia ya mji haipo vizur ndoo maana hata mhe mkuu we nchi alivokuja kwenye ziara mwakajuzi alianzia njombe ila alivo fika makambako aliinyoshea mkono kuwa makambako imejengeka ko njombe kuwen wapole mtapiga picha hivyo vigorofa 6 kwa kubadilisha kila upande zionekane nyingi watu tunazifahamu hamuwezi kushinda na miji ya kibiashara hata siku moja mfano mzuri mmejengewa soko zuri mnaishia kupigia picha t na kupiga picha office za serikari saiz miji yote ofisi za gorofa
Viwanda havijengwi Njombe ni sababu ya jiografia ya milima , Makambako ni tambarare ndio inaipa advantage but kuwa tu na viwanda vingi bado haiwapi advantage Sana ,viwanda havina tofauti Sana na migodini hata wewe unajua maeneo yenye viwanda vingi maisha ni hovyo Sana

Nadhani unajua keko,mbagala, Nyerere road,kiwalani huko nk nk sababu ni kwamba ajira za viwandani ni kibarua na pesa kisicho matokeo yake watu wakivuna pesa wanakuja kuweka na kuspend maeneo ya starehe na yenye usalama kama Njombe ndio maana pamoja na wiwanda vingi Makambako lakini uwekezaji wa mahoteli etc unafanyika Njombe ko usifurahie Sana viwanda vitaharibu usalama na kuzalisha maskini na kuchafua mazingira.

By the way Makambako ni mtoto wa Njombe anaekua ko nyie ni bado Sana kwa Njombe
 
Hii video hapo chini haina yale majengo tunatupia kila mda,ifuatilie vizuri uone.

Mandhari kama hayo wachuuzi wa Kahama mtaishia kuona kwenye tv au Mje Njombe,Mbeya na Arusha na BukobaView attachment 1698934
Hiyo mandhari yenu haipo hata kwenye pesa zetu, na pamoja na mgodi kusimamisha uzalishaji KAHAMA kwa sakata la makinikia Halmashauri haijayumba kimapato. KAHAMA inaweza kuendelea pia bila uwepo wa mgodi tayari diversified economy ipo. Yaani uwepo wa BUZWAGI ni bonus kwenye uchumi wa KAHAMA. Nyie huko parachichi ziki kosa soko lazima muite maji mma 😀 😀 😀
1612937534664.png
1612937549046.png
1612937571557.png
 
Tu
Hizo ni porojo za kitoto hata data huna

Purukushani za uchuuzi ndio zinawashindisha kutwa nzima mnahangaika.

Njombe ni mkoa na inategemea kilimo ,misitu na agro industries ila nyie machinga na mama ntilie lazima mkeshe.

By the way makusanyo ya Njombe ni 4bln , Makambako 2bln,,nani anabeba mwenzie hapo? Kuwa na heshima wewe muuza duka hicho Kijiji cha Makambako hakina hata 5 years since kipandishwe kuwa town council wakati Njombe ni miaka hiyo iko level moja na Mafinga,Kahama etc.

Wa kuichallenge Njombe ni Mafinga pekee nyie wa Makambako level zenu ni Ifakara,Masasi,Mbinga etc Tuna timu zimecheza ligi kuu kama Njombe Mji na Nazareth wewe ulikuwa un
Tunako elekea makambako itakua mkoa njombe haifai kutwa mkoa .njombe imejisweka ndani sana af ukiangaria wafanya biashara huwa wanakuja kufunga mzigo makambako
 
Hili Jambo nimewai kuliongelea wakaja na kejeli et makambako Ni mtoto wa njombe yani mfano mfuu haya saizi wanalima parachichi kiwanda kikubwa kimejengwa makambako wanalima mahindi vihenge vikubwa vipo makambako na soko kubwa la mazao linaendelea kujengwa kiumba pale haya kiwanda Cha bati dragon ,kiwanda Cha misumari, kalvat,gypsum na chokaa, vifaa vya plastic ,kahawa,mifuko na juice,madawa ya binadamu ,nguzo vimejengwa makambako swal kwanini wawekezaji wengi wakija mkoa wa njombe wanapenda kuwekeza makambako na si njombe maan halimashauri ya mji njombe inaviwanda Kama vinne t wakat makambako saiz Ni Zaid ya kum na vinaendelea kujengwa swala la gorofa Hilo huja automatic ndo maana ukija makambako utaona vitu vinavyoendelea na njombe shida geografia ya mji haipo vizur ndoo maana hata mhe mkuu we nchi alivokuja kwenye ziara mwakajuzi alianzia njombe ila alivo fika makambako aliinyoshea mkono kuwa makambako imejengeka ko njombe kuwen wapole mtapiga picha hivyo vigorofa 6 kwa kubadilisha kila upande zionekane nyingi watu tunazifahamu hamuwezi kushinda na miji ya kibiashara hata siku moja mfano mzuri mmejengewa soko zuri mnaishia kupigia picha t na kupiga picha office za serikari saiz miji yote ofisi za gorofa
Acha mambo ya kitoto boss,kwamba Makambako imejengeka sana kuliko Njombe na alivyoongea Magu nawe ukaamini? Makambako ni mji kipara kama Kahama ko ukiangalia unaona kana kwamba umejengeka wee wakati hamna kitu,Njombe ni Mji mkubwa ambao kuufahamu ni hadi uzunguke maana jiografia ya milima na mabonde plus uoto wa asili wa greenish unafanya ionekane ni ndogo,kumbuka ilikuwa Halmashauri ya Mji zamani sana wakati Makambako ni kijiji ko haimake sense kusema unayosema hapo juu.
 
E
Ko Kahama imeomba sapoti ya Makambako,ima kweli Njombe imewashika pabaya.

Narudia tena Makambako ni Kijiji cha kichuuzi sawa tu na kijijini kikubwa cha Kahama
Endelea kuota mchana utakavoshituka ndo utajua uwekezaji Nini we Kama wenzenu viwanda vpo zaidi ya 10,nyie vitatu cjui maana mazao hayaeleweki
 
Back
Top Bottom