Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe ni uswekeni tu huko nani anapataka. Mnaishi kwenye umande kama nyani
 
RICEPEDIA Tanzania - Ricepedia
1612894120115.png

1612894160907.png

Ni rahisi kupata mchele/ mpunga kwa bei nafuu zaidi KAHAMA kuliko SHY town
 
Heavy and light Industry in KAHAMA
1612894986327.png
1612895035918.png
1612894996754.png


1612895052512.png
1612895079336.png
1612895101528.png
1612895113523.png
1612895145659.png
1612895234683.png


Picha zinatosha????
 
Mbona nikihoji hoja muhimu hujibu?! Hahaha. Submarine, NSSF, kom (Karibu na Rocken hill, Mongo Hotel, Petrol Africa yako Mengi mno.. sema tu wewe huyajui
Hoja gani muhimu? Weka picha za hizo guests tuone kama hapa down
thumb_339_1130x480_0_0_auto.jpg
2377469_DSCF4425.jpg
03.JPG
Hillside-View.jpg
 
Yaani Manispaa nzima ndio inalingia hilo duka hapo juu,[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] mnatia huruma Sana na kudharirisha hadhi ya Manispaa
 
Yaani Manispaa nzima ndio inalingia hilo duka hapo juu,[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] mnatia huruma Sana na kudharirisha hadhi ya Manispaa
Kahama haina supermarket moja, hii mpya inaitwa TULIZ supermarket picha nikipata nitatupia humu. Weka supermarket za Njombee tafadhali 😀😀😀😀
 
Sehemu zetu za kupata mziki mzuri, beer, nyama na pisi kali
1612897398312.png
1612897420217.png
1612897444467.png
1612897467457.png
1612897490640.png
1612897509238.png
 
K
Wewe ni kiazi kwa kweli ukute hata Makambako huijui na kama unaijua usingeongea utopolo

Wewe ni kiazi kwa kweli ukute hata Makambako huijui na kama unaijua usingeongea utopolo huu
Unaweza ukabishia wakat yupo sahihi hata serikali inatambua Hilo makambako ya Jana si ya leo gorofa ulizo kuwa unajidainazo njombe ukipita makambako kwa sasa tayar mambo ni fire site zimezungushwa bati tu vitu. Vinapanda nyumba za chini hzo ndo gap lakufa mtu
 
Back
Top Bottom