Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama kuwa Manispaa limeongelewa tokea 2019. Sasa huyo Mkurugenzi kamfurahisha lini namba 1?
kwa kauli yake Rais Mwenyewe alisema mkurugenzi kamfurahisha na hivyo anawapa zawadi ya kuwapandisha kua Manspaa.Nikukumbushe kua Njombe ni moja ya miji iliyoomba kupandishwa hadhi kua Manspaa labda bado haijapa mtu wa kumfurahisha boss
Watu wa kusini na nyanda za juu kusini njoon bukoba vijijini mjifunze jinsi ya kujenga vijijini.

Mkisikia wahaya wanapenda sifa sifa ndo hiz na zinawasaidia Sana.

Ona wahaya wanavyojenga vijijini kwao.

Nyumba hata mbeya mjini unazitafuta kwa tochiView attachment 1692061View attachment 1692062View attachment 1692063View attachment 1692064View attachment 1692065View attachment 1692067View attachment 1692069View attachment 1692070View attachment 1692071View attachment 1692072View attachment 1692073View attachment 1692074View attachment 1692075View attachment 1692076
njombe vijiji kuna nyumba za kisasa nyingi tu mkuu
 
kwa kauli yake Rais Mwenyewe alisema mkurugenzi kamfurahisha na hivyo anawapa zawadi ya kuwapandisha kua Manspaa.Nikukumbushe kua Njombe ni moja ya miji iliyoomba kupandishwa hadhi kua Manspaa labda bado haijapa mtu wa kumfurahisha boss
1612250477824.png

1612250535152.png
 
Kahama, Kibaha na Geita toka mwaka jana zikitangazwa kuwa Manspaa tarajiwa. Hiyo Njombe yenu haimo kwenye huo mpango.
imepandishwa kwa sababu mkurugenzi alimfurahisha boss wake na sio kua inavigezo kuizidi Njombe,Njombe is well organised than kahama
 
Watu wa kusini na nyanda za juu kusini njoon bukoba vijijini mjifunze jinsi ya kujenga vijijini.

Mkisikia wahaya wanapenda sifa sifa ndo hiz na zinawasaidia Sana.

Ona wahaya wanavyojenga vijijini kwao.

Nyumba hata mbeya mjini unazitafuta kwa tochiView attachment 1692061View attachment 1692062View attachment 1692063View attachment 1692064View attachment 1692065View attachment 1692067View attachment 1692069View attachment 1692070View attachment 1692071View attachment 1692072View attachment 1692073View attachment 1692074View attachment 1692075View attachment 1692076
Sawa tutakuja lakini hakikisheni mnatoka kwenye top 5 ya umaskini by the way hata kwetu nyumba kali Vijijini zipo japo ni moja moja
 
Wewe usipoiweka hakuna shida ila wahudika wanajua itapandishwa any time t bila kujalisha unapenda au hupendi
kwa sababu ni makao makuu ya mkoa, tofauti na Kahama ni Municipal ipi ambayo sio makao makuu ya mkoa?
 
jamani mkimaliza njombe ebu wekeni huu mkoa wa katavi. nmefika hapa mpanda mjini duuu cjui walitumia vigezo gani kuufanya kuwa mkoa. kila nikiuliza mjini kati ni wapi? naambiwa ndo hapa ulipo . kuna jengo kubwa ni mpanda praza ina gholofa 4 . Gest ndo nyingi usafiri mkuu ni bajaj na toyo . viwanja ni laki 5 mpaka milion 1 tena vimepimwa mchele kg sh 800 .
 
Hivi njombe sikuhizi si Mkoa lakini!?? Sasa tunalinganisha vipi Mkoa na Wilaya!??

Au Mimi mwenzenu haya Mambo siyaelewi elewi vizuri kwakuwa GS nlpiga FAFAFA!!

Sujawahi fika Njombe Wala sijui huko makambako!! But First time naingia KAHAMA pale mwanzoni tu naona kile kiwanja Cha ndege karibu na mgodi then yakafata minengo haswaa ya raia kusema kweli Nilihisi naingia Mkoani na sio Wilayani kabisa!!

Kila mji una Fursa zake na ndio zinazofanya paonekane Bora kwa kundi flan la watu wanaoishi Hapo Kama kahama madini, mpunga shughuli za uchuuzi ndio zinaibeba usilazimishe nawao wapasue sijui mbao Mara wasafirishe parachichi na vitu Kama hivyo!!

Japo sapajui njombe Wala huko sijui Tunduma na asili ya mtu ni kuvutia upande wake mimi hata unieleze Nini KAHAMA naona ndio the best na Sizani Hapa TANZANIA kuna Wilaya iliyombali kidogo na makao makuu ya Mkoa iliyojengeka na yenye hadhi ya kimkoa Kama KAHAMA sizani
Kweli kabisa
 
Msikilze JAFO, kaongelea Halmashauri zinazotumia mapato ya ndani kujenga miundo mbinu ya ndani kwa fedha za ndani, kazitaja halmashauri kubwa nyingi tu ila sijaisikia Njombe. Kahama inawekwa ligi moja na Jiji la Tanga, Mwanza, Manispaa ya Kinondoni yaani hapo hata maghorofa HAYAONGELEWE ni mbumba tu 😛 😛 😛 😛

kwa sababu ni makao makuu ya mkoa, tofauti na Kahama ni Municipal ipi ambayo sio makao makuu ya mkoa?
Hakuna aliyeikataza Khm kuwa makao makuu ya Mkoa ,hadithi kama hizo ndizo zinafanya mshindwe kutupia picha za Khm humu
 
jamani mkimaliza njombe ebu wekeni huu mkoa wa katavi. nmefika hapa mpanda mjini duuu cjui walitumia vigezo gani kuufanya kuwa mkoa. kila nikiuliza mjini kati ni wapi? naambiwa ndo hapa ulipo . kuna jengo kubwa ni mpanda praza ina gholofa 4 . Gest ndo nyingi usafiri mkuu ni bajaj na toyo . viwanja ni laki 5 mpaka milion 1 tena vimepimwa mchele kg sh 800 .
Muulize Pinda na maccm maana hata huko Khm ni siasa tuu ila hakuna uhalisia wakibisha waambie waweke picha.

Mpanda,Lindi na Khm ni kundi moja tuu
 
Back
Top Bottom