Kahama VS Njombe/Mafinga

Nyie na Kasulu kuna tofauti gani ya idadi ya watu? Nyote mko kwenye 2k

Suala sio idadi ya watu suala ni nguvu ya uchumi wa watu
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† Ndio maana Kasulu haijapewa na haijafikiriwa kuwa na hadhi ya Manisipaa. Kahama miaka mitatu / minne nyuma suala la kuwa Manispaa limezungumzwa sana tu. Wingi wa watu sio sifa pekee. hizo other factors ndio KASULU hana...
 
Backward village as usual ,porojo nyingi Sana ila hicho Kijiji kikubwa kitaendelea kusubiria Sana kwa Njombe

Ni hatari kwamba mtu anajisifia kwa utopolo yaani uswazi like lifestyle

Kwamba wanajenga magorofa ambayo hayoko economically viable huo ni utopolo wako,hakuna mtu angejenga kama hakuna watumiaji but Ingefaa ujiulize zaidi kwa nini wasije kujenga huko kwenye watu wengi? Jibu ni simple you are poor
 
Imekosa wapiga domo
 
Vyovyote iwavyo kama ulivyidai kwenye para ya kwanza. Hata hivyo kuwa na eneo KUBWA JINGA ambalo hata halina chochote ina maana gani?
Yote kwa yote, WADAU WANASUBIRI PICHA ZA KAHAMA ili kufanya ULINGANIFU.
 
Kuna uwanja wa A.Mwinyi Tabora, Unadhani Kwann ulijengwa!? Katika hizo hoteli za huko NJOMBE ngapi ni za watu binafsi wanaotegemea biashara ya hotel!?

Kwa kifupi mengi mnafanya kwa prestige.. ufahari tu ..na sio biashara.. Issue ya Central sewer system ni swala la utaalamu sio porojo..

nyumba kahama mjini moja ni kati ya milioni 250 na 500 ..ununue hiyo halafu upoteze sehemu kubwa kuweka mfumo wa maji taka!? Ndio maana magorofa mengi yapelekwa nje ya cbd. Hiyo ni Sayansi sio mawenge kama inavyotaka kuamini..
 
Nje ya Mji wapi mlikopeleka hayo magorofa,weka picha tuone

Una matatizo ya akili mtu ajenge hoteli ya mamilioni eti anajenga for prestige? Kwani wewe ni mgeni kwamba Njombe ina wafanyabiashara maarufu nchini?

Weka picha acha porojo mkuu
 
Kahama ni manispaa but Kahama ni mji ambao unakilimo sana karibia morogoro Kahama offers you everything
Uliwahi sikia wapi wewe toka unazaliwa kwamba Kahama inatajwa kwenye masuala ya kilimo?

Haya taja hata Mazao 2 ambayo Kahama inaongoza au iko top 5 kitaifa
 
Nje ya Mji wapi mlikopeleka hayo magorofa,weka picha tuone

Una matatizo ya akili mtu ajenge hoteli ya mamilioni eti anajenga for prestige? Kwani wewe ni mgeni kwamba Njombe ina wafanyabiashara maarufu nchini?

Weka picha acha porojo mkuu
Mbona nikihoji hoja muhimu hujibu?! Hahaha. Submarine, NSSF, kom (Karibu na Rocken hill, Mongo Hotel, Petrol Africa yako Mengi mno.. sema tu wewe huyajui
 
Huyu Opportunitycost hawezi kujua maana anaishia stand ... Maeneo mengi hakujui
NSSF wameona wapi wanaweza wekeza kitega kiuchumi na kikawalipa na wapi wanaweza wekeza office tu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
NSSF wameona wapi wanaweza wekeza kitega kiuchumi na kikawalipa na wapi wanaweza wekeza office tu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Angoje uwekezaji wa chama cha mapinduzi kwenye eneo lao la Ofisi pale na kilankistand cha Kakola... Utakuwa hatari
 
Angoje uwekezaji wa chama cha mapinduzi kwenye eneo lao la Ofisi pale na kilankistand cha Kakola... Utakuwa hatari
Kwa hayo Majengo mawili ya NSSF (NJOMBE na KAHAMA) ukiulizwa jengo la wilayani na mkoani ni lipi? La NJOMBE litaitwa la wilayani na la KAHAMA litaitwa la Mkoani. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kwa hayo Majengo mawili ya NSSF (NJOMBE na KAHAMA) ukiulizwa jengo la wilayani na mkoani ni lipi? La NJOMBE litaitwa la wilayani na la KAHAMA litaitwa la Mkoani. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Hahahaha.. na la KAHAMA ni jengo profitable.. linao wapangaji... Ubaya liko pembeni lingekuwa mjini kati lingekuwa na soko zaidi
 
NJOMBE regional referral hospital

KAHAMA district hospital

KAHAMA super market/ Bakery / pharmacy

NJOMBE supermarket??????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…