Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

61602101_626944737789799_5662864661234581504_o.jpg
Buzwagi view

1077141_557053941017575_951508340_o.jpg
Gold hotel
10704237_1609142605992191_746249694767955684_o.jpg
Submarine hotel
 
Karibuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?

Kafanye survey upate uhakika zaidi
 
Kwangu iringa ni mji mzuri sn japo haujatanuka sn, Angalau ukitembea mtaani unaona mji ilivyopangika,na unaishinda mikoa mingi yenye majina makubwa. Mfano Tabora,Lindi,Mtwala, Pwani hata mbeya haifikii iringa kwa uzuri japo ni kubwa
 
Ivi ile nyama yenu pendwa ya dog&pacha bado mnatumia kwa sana ...?
 
Kwangu iringa ni mji mzuri sn japo haujatanuka sn, Angalau ukitembea mtaani unaona mji ilivyopangika,na unaishinda mikoa mingi yenye majina makubwa. Mfano Tabora,Lindi,Mtwala, Pwani hata mbeya haifikii iringa kwa uzuri japo ni kubwa
Iringa haina uzuri wowote kuizidi Mbeya labda hizi towns zingine afu huitendei jiji la Mbeya kuilinganisha na mji kama Iringa
 
Yaani kwenye mapesa mengi ya mbao na kila mazao ndo ulinganishe na Kahama bush huko?

kumbe hijui kahama wewe, sasa kwataarifa kahama ingeweza kuwa mkoa kabla hata ya geita, kahama na ilala zinafukuzana kwa mapato , NJOMBE? asee bado sana kufananisha kahama na njombe
 
hahaha kuongoza kimapato sio tija, hilo hilo linajulikana, hoja mnanufaikaje na hayo mapato makubwa? Why watu wazawa bado ni maskini wa kutupwa. Juzi kati serikal imetaja mikoa maskin na shy imo wakati njombe ya tatu kwa watu kuwa na maisha bora. Kwanini kwenye madini watu wawe hoi kimaisha?
 
Back
Top Bottom