Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nikuonyeshe mashule yaliyoko kahama ukimbie mkuu?
Au kanisa katoliki ushangae yani kumbe Njombe imezidiwa kila kitu eeeh nadhani Njombe imeizidi kahama kwa uzuri na ubora wa stendi ya mabasi tu
Weka picha acha maneno,manamba na shule wapi na wapi broo?
Tukija kwenye mataasisi huko ndo hamuwezi kugusa hata kidogo maana shule tunaijua nyie ongozeni guest house tuu
 
Yani nzega kamji kapo stend tu pale unalinganishana kahama mji?
Karagwe na Ngara hata usingepataja nakujua sanaaa hapalingani na Kahama hata kidogo kwa kila kitu.
.
Korogwe sijafika naiona tu kwenye picha tena stendi yao ilivyo nzuri, ni kweli Kahama stendi yao ni aibu ila watafanya nini sasa? Geita yenyewe yenye listend kubwa wakati ikiwa Wilaya ilikuwa na stend ya ajabu ya vumbi
.
Hujaitendea haki kuilinganisha Kahama na Ngara pamoja na Karagwe huku bado sana yani wanazidiwa hela hadi wingi wa watu.
.
La mwisho MZA- SHY ni KM 141 tu hizo habari zenu za kuangalia Google mnafeli vingi
Ukisoma distance chart ya Tanroads Ina umbali wa kila mji mkuu wa mkoa nchi hii
Kahama linganisha na Bariadi au Maswa Njombe sio level yenu
 
Lindi, na Njombe uchawi mwingi watu hawapendi maendeleo wanaroga sanaaa, hii tabia Rukwa naon wameiacha sasa wanapiga hatua ndefu za maendeleo.
.
Njombe wanaroga hadi mimba kwa hiyo watu hawaendi kuanzisha maisha kule bali kuyatafuta na kuhepa, Lindi watu wanakaa vibarazani kuanzia asubuh hadi linachwea hupotea mida ya kula tu na ukijifanya mjuaji unaleta vimaendeleo unapigwa juju afadhali Ruangwa naiona ikija kuitoa Lindi manispaa
Lindi, na Njombe uchawi mwingi watu hawapendi maendeleo wanaroga sanaaa, hii tabia Rukwa naon wameiacha sasa wanapiga hatua ndefu za maendeleo.
.
Njombe wanaroga hadi mimba kwa hiyo watu hawaendi kuanzisha maisha kule bali kuyatafuta na kuhepa, Lindi watu wanakaa vibarazani kuanzia asubuh hadi linachwea hupotea mida ya kula tu na ukijifanya mjuaji unaleta vimaendeleo unapigwa juju afadhali Ruangwa naiona ikija kuitoa Lindi manispaa
Tungekuwa wachawi na hatupendi maendeleo ungekuta tunachuana na mikoa ya kanda ya ziwa na rukwa kwa umaskini sasa tunashindana na Kilimanjaro na Dar kwa ustawi wa maisha
Migodini kama huko Kahama na Geita ndio watu wanachuma na kusepa maana hakufai hata kuishi wanaoishi huko ni wale maskini
 
Zit
Umeanza kulinganisha manispaa na wilaya ambayo haijafikia hata hadhi ya kuitwa mji?
.
Endelea kulinganisha Kahama mji na njombe mji kumbuka ulisema hakuna mahotel kahama marefu nikakuonyesha yani Njombe imefunikwa na kahama
Yataje hayo mahotel ya Kahama halafu weka na picha tuzione.Usioweke maneno bila evidence
 
Hapa naongelea mapato siku za nyuma kidogo siyo viwanda
Huna hakika

Mapato mengi yanakusanywa kwa wingi kutoka
1.Ilala
2.Mufindi

Sababu n wingi wa viwanda

Kahama n Migodi ambayo nayo tumepigwa Sana Kodi wanayotoa nnkidogo kwa sababu ya ufisadi na mikataba mibovu
 
Mimi nipo Njombe lakini nishawahi kufika Kahama mara kadhaa, kusema ukweli, huwezi kulinganisha mji wa Kahama na mji wa Njombe hata kidogo. Kahama mzunguko wa hela ni mkubwa sana ukilinganisha na Njombe. Kahama ni mji ulio changamka zaidi ya Njombe
 
😆😆😆😆 We jamaa kweli mfinyu wa kufikiria punguza kula muhogo na uwele
Vigezo na stutus za miji tu ndio vinafanya iwe hivyo.Mkoa wa Njombe una Halmashauri za miji 2,yaani Makambako na Njombe
Iringa mkoa,kuna manispaa ya Iringa na halmashauri ya mji wa Mafinga
Mkoa wa Shinyanga-shinyanga manispaa na Kahama TC
Mtwara-mtwara manispaa,Masasi TC,Nanyumbu TC nk nk so hapa kinachoamua ni vigezo tuu
Sasa Singida,Kigoma,Sumbawanga au Mpanda kuna nini cha kuizidi Njombe au Mafinga? Weka picha basi tuone
Tunaanza na Singida
 
29433260_1660634770697750_9064253797869551616_o.jpg
27788437_1616091351818759_717412149720627511_o.jpg
C0LNkEMXgAA08k_.jpeg
18622278_1863227640669784_8396401628044062468_n.jpg
49371759_352362115546360_911558155186470912_n.jpg
44285663_593932434343406_5538400301452623872_n.jpg
59022894_2073919189573777_6646603246523645952_o.jpg
49605327_108571053556601_4652818718357716992_n.jpg

Nimebahatisha hizi picha, huko jalalani kunani?
 
Wivu wa nini mzee baba hakuna sustainability hapo,future ya Kahama ni giza tororo
Huko Manyoni kungekuwa na madini ungeshawaona manamba wamejaa kama walivyoo jaa huko kwenu,mind u ndo mnaongoza kwa ufukara how comes Njombe isiongoze kwa ufukara kama hakuna kitu?
Au labda atuambie madini huendelea kuzaliana baada ya kumwagiliwa maji na kuwekewa mbolea
 
Weka picha acha maneno,manamba na shule wapi na wapi broo?
Tukija kwenye mataasisi huko ndo hamuwezi kugusa hata kidogo maana shule tunaijua nyie ongozeni guest house tuu
Weka na wewe maana naona naweka mimi tu wewe huweki
 
Hapo hamna kitu zaidi ya hizo barabara mpya,kwenye majengo ya ghorofa tumewachapa bakora za kutosha
Hata hivyo ngoja nikueleze kitu usichokijua,hizo barabara umeziona hapo singida na sumbawanga zimejengwa mwaka juzi na jana plus stend ambapo.
Serikali imekopa pesa benki ya dunia kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya miji 20 Tzn nzima Njombe ikiwamo.Kipi kinaanza inategemea na mji lakini pia kuna vigezo.Kwa Njombe tumeanza na stendi then ndio zitakuja barabara.Lakini sisi tuna advantage maana barabara kuu ya Makambako songea inapanuliwa na kujengwa upya ko Mjini patanoga zaidi ya Singida na Sumbawanga
Ukienda mpanda Kigoma tabora Iringa Bahati Korogwe utakuta miradi hiyo ko mwaka huu mradi wa barabara za mjini Njombe utaanza kuwa mpole tukutane mwakani mwezi kama huu.
Kwa Sumbawanga wako wanaendelea na mradi wa stendi kwa sasa afu kuwa mpole naishi Sumbawanga ko hakuna cha kunionyesha huku labda uweke picha za Singida etc
 
Thamani ya gold ni wazi kabisa
Ndugu hiyo gold inaonekana haina thamani huko Kahama maana kumepauka hawana cha kuonyesha zaidi ya mashimo na mitaro waliyofukua kwa Sululu na majembe.Si unaona mkali kaomba kupigwa tafu na Sumbawanga plus Singida kushindana na Njombe lakini hadi sasa hakuna kitu sisi tumeweka magorofa floor 5,6,7 tena zaidi ya majengo 5
 
Back
Top Bottom