ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #401
Weka picha acha maneno,manamba na shule wapi na wapi broo?Nikuonyeshe mashule yaliyoko kahama ukimbie mkuu?
Au kanisa katoliki ushangae yani kumbe Njombe imezidiwa kila kitu eeeh nadhani Njombe imeizidi kahama kwa uzuri na ubora wa stendi ya mabasi tu
Tukija kwenye mataasisi huko ndo hamuwezi kugusa hata kidogo maana shule tunaijua nyie ongozeni guest house tuu