Karibuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Kwangu iringa ni mji mzuri sn japo haujatanuka sn, Angalau ukitembea mtaani unaona mji ilivyopangika,na unaishinda mikoa mingi yenye majina makubwa. Mfano Tabora,Lindi,Mtwala, Pwani hata mbeya haifikii iringa kwa uzuri japo ni kubwa
Hiyo Buzwagi ni guest japo kwa viwango vya Kahama eti nayo ni kali 😆😆 hapo submarine ndio nimeikubali jina zuri mwisho wa mwaka ntakuwa na tour ndefu sana itakoyonifikisha huko tuombe uzimaView attachment 1176823Buzwagi view
View attachment 1176824Gold hotelView attachment 1176826Submarine hotel
🏃🏃💉💉Njombe pa kishamba sana, level yake ni chalinze
Iringa haina uzuri wowote kuizidi Mbeya labda hizi towns zingine afu huitendei jiji la Mbeya kuilinganisha na mji kama IringaKwangu iringa ni mji mzuri sn japo haujatanuka sn, Angalau ukitembea mtaani unaona mji ilivyopangika,na unaishinda mikoa mingi yenye majina makubwa. Mfano Tabora,Lindi,Mtwala, Pwani hata mbeya haifikii iringa kwa uzuri japo ni kubwa
Iringa haina uzuri wowote kuizidi Mbeya labda hizi towns zingine afu huitendei jiji la Mbeya kuilinganisha na mji kama Iringa
Hahahah daaaaah kwahio kahama gorofa refu ni submarine floor 4 tu harafu ulinganishe na njombe mkoa? Mnaota. Leteni picha nyingine. Hapo kajengo ka maana naona. Kamoja tu ka submarine.View attachment 1176823Buzwagi view
View attachment 1176824Gold hotelView attachment 1176826Submarine hotel
tunazungumzia njombe vs kahaba ooooh sorry kahama, chalinze inakujaje hapa? Mnataka wawaazime majengo muongezee picha za kahama au?Njombe pa kishamba sana, level yake ni chalinze
harafu njombe kajengo kama hako ka buzwagi view na gold ni nyumba wanazoishi matajiri wanaomiliki hotel hizo ulizoona picha hapo. Kwenu ndo hotel etii na huyo mmiliki wake anaishi nyumba ya vpView attachment 1176823Buzwagi view
View attachment 1176824Gold hotelView attachment 1176826Submarine hotel
Yaani kwenye mapesa mengi ya mbao na kila mazao ndo ulinganishe na Kahama bush huko?
Hahaha umeshatetemeka tayari? Au unadhani tumepiga picha hotel za dar ndo maana umeomba majina yake? Hapo kuna FM HOTEL, AGREEMENT HOTEL, GLORY, CHANI MOTEL etc Tunaomba za kahama sasaNitajie majina ya hizi hotel
Lakini kahama ni mji wa watu masikini licha ya kuwa na migodi
mwekee na mpya zile katkat ya mji karibu na kituo cha afya wengine wamedandia gari kwa mbele hawajui tulikotokeaZit
Yataje hayo mahotel ya Kahama halafu weka na picha tuzione.Usioweke maneno bila evidence
hahaha kuongoza kimapato sio tija, hilo hilo linajulikana, hoja mnanufaikaje na hayo mapato makubwa? Why watu wazawa bado ni maskini wa kutupwa. Juzi kati serikal imetaja mikoa maskin na shy imo wakati njombe ya tatu kwa watu kuwa na maisha bora. Kwanini kwenye madini watu wawe hoi kimaisha?kumbe hijui kahama wewe, sasa kwataarifa kahama ingeweza kuwa mkoa kabla hata ya geita, kahama na ilala zinafukuzana kwa mapato , NJOMBE? asee bado sana kufananisha kahama na njombe
duuuh umeshasahau mara hii, juzi tu july serikal ilitaja mikoa maskini tz shy imo, njombe uliona ya ngapi kama dishi lako lipo vizuri?What? takwimu za wapi hizo?
naona picha za kahama wameishiwa wakaamua waazime na za singida na sumbawanga tena barabara mpya. Wapo hoiMwambie aweke za swax +singida+Kahama hawana kitu hao wote nimewaambia zaidi ya mashimo na mitaro huko Kahama ni bure kabisaa
oooooooky hapo ni singida tupe za kahama sasa ndo ligi yetu ilipo au mmeamua kuazma za singda na swax ziwasapport huko dampo kuu la kahama