Kahama VS Njombe/Mafinga

rudi ukurasa wa 29 harafu ndo uje ukoment upuuzi wako hapa
Cheki hizo picha za njombe kwanza
Umefika kahama? Mie Njombe hakuna mtaa ambao siufahamu nimekuja sana hapo kikazi. Kahama ndg yangu ni habari nyingine
 
we ndo kilaza kweli, picha za njombe za maana walizopost wenzio wenye akili hapo mwanzo hujaziona?
Rudi kuanzia page ya 10 hadi ya 23 hv uone.
Harafu uje ukoment upuuzi wako

we ndo kilaza kweli(Hapa ungetumia neno siko makini), picha za njombe za maana walizopost wenzio wenye akili(hii usingeisema ni tusi rafiki) hapo mwanzo hujaziona?
Rudi kuanzia page ya 10 hadi ya 23 hv uone.
Harafu uje ukoment upuuzi wako(ungesema maoni yako)



Mkuu mimi nimeishi njombe mjini zaidi ya 5 good years na nandugu kibao hata wa 8 nlikuwa huko ,kahama nina nyumba ,huwezi fananisha kahama na njombe hata kidogo.
 
Mafinga ni next level na panakua nataka kuliko Kahama,Njombe itasogea kwasababu ya hadhi ya mkoa
 
Wewe bibi tulia upate dozi ya Njombe,usifananishe Njombe na vimiji vya machimboni na wafugaji kama Kahama ,cheki picha mdau kaweka wewe weka za huko kwa wachuuzi
Sina uhakika kama umefika kahama physical. Migodi mikubwa ya dhahabu ya Barrick nchini miwili ipo kahama Buzwagi na Buly. Mgodi mmoja una wafanyakazi zaidi ya elf 5 wote hao matumiz yao wanafanyia kahama twn. Bado matumizi tu ya mgodi operation cost. Service levy ya mgodi mmoja wanayolipa halmashauri ni mapato ya mkoa mzima wa njombe.Wasafiri wanaoenda KIGOMA, Kagera, Rwanda, Congo, Burundi, Rwanda lazima walale kahama. Hata idadi ya makampuni ya mabasi Dar to Kahama au kahama to Mwanza ni mengi kuliko ya Dar Njombe achilia yanayopitiliza bk, kg, Rwanda nk. Bado kuna machimbo ya wachimbaji wadogo. Kahama wanalima mpunga asikwambie mtu. 2010 kahama kulikua na benk kampuni 7. Yaani Azania, Stanbic, Exim, Crdb,NBC, nmb na Barclay's wakati huo Njombe kulikua na NBC na nmb tu, sasa hivi imeongezeka crdb na mkomboz.Njombe naifahamu vizuri sana nimekaa FM agreement JD moronga Nazareth nk. Njombe mjini kwa kahama bado sana
 
Njombe ni mkoa, kahama ni kawilaya.
So haviwezi lingana hata nusu.
Kahama ingeizidi njombe, ingekuwa mkoa km njombe.
So kahama kuikuta njombe ni ndoto.
Hadhi yake itabaki hukohuko kwenye level za wilaya.

Huna akili kweli hujui Kahama ni mkoa wa kikodi? Hivi mtu n akili zko kweli unakaa njombe? Akili zenu kam za ndesambulo
 
Hayo yote sawa ila zama zimebadilika,benki zimeongezeka na Njombe pia japo ni kweli sio nyingi sana kama Kahama
Ndugu kitu cha kufahamu ni kwamba sehemu za migodi huwa zina muingiliano mkubwa sana wa watu wanavutika kuja kuchuma na kusepa na sio kujenga ndio maana pamoja na yote hayo bado Njombe imeipiga chini Kahama kwa ishu ndogo tu ya mahoteli
Hii inakupa picha kwamba Lundo la hao watu ni maskini hawana pesa za kuishi vizuri so watalala huko mapangoni.
Unfortunately maeneo ya migodi huwa ni maskini sana watu wanakuja gulioni/mnadani kuchuuza na kusepa hawawezi kujenga maana hapana usalama future wala huduma za msingi za kutosha.Usafiri wa kufika kokote upo ndege,mabasi ya mikoani nk.Karibu uishi Njombe bustani ya Mungu,kuchereee.
 
We nae hujielewi,Geita ndio onaongoza kimapato kwa sasa kwa wilaya nje ya manispaa za Dar na majiji,je Geita iko mbele kimaendeleo kuliko Kahama au Njombe? Jifunze kutofautisha aina ya vyanzo vya mapato na effects yake kimaendeleo
Pili ishu ya mabenki isikupe tabu hadi dakika hii mji wa Tunduma una mabenki mengi kuliko hiyo Kahama na kuliko Mafinga ,je Tunduma imeizidi nini Kahama au Mafinga?
Soko kuu la Njombe litakuwa na shopping mall ya kutosha nadhani walijua mda wowote litakuwa limekamilika.Swali kwa nini Njombe inaizidi Kahama mijengo mingi ya ghorofa kama haijaendelea?
 
Hizo nyumba au matope? Njombe jipangeni tena. Nafikiri walimu wengi huomba uhamisho wakipangia Njombe
Mpiga picha kachukua nyumba za old Town ya Njombe kaweka ila kwa Kahama kaweka recently areas lakini good enough gorofa ileee Kahama holaaa
Lete picha ya mji mpya kuanzia stendi kuu mpya kuja mjini uone utakavyoaibika
Hao wanakuwa wametokea maeneo ya joto ko baridi inawapa shida otherwise Njombe ni kwa Watasha si unajua ni bustani ya Mungu
 
Usilinganishe mji maalum wa kahama na vitu vinyonge kama njombe na mafinga. Inavyoonekana wewe huna kazi za kufanya maana post zako zote zimejaa upuuzi mtupu. Achana na kanda ya ziwa wewe hiyo ni habari nyingine.
Kanda inayoongoza kwa maskini si ajabu Umepanic na mapovu juu
Na mwaka huu mtasjindia sana matobolwa maana godfather wenu kawaambia haingilii bei za nafaka
 
Picha ndio nini ushamba tu, yani me niende kahama nizungukr napiga picha mijengo ya watu??? Embu panda basi njoo Dar huone kama hutaibiwa mpka boksa
Kupiga picha sio ushamba ni hobby yaani hapo ww ndo umeonekana mbulula hasa wa kanda ya ziwa.
Ko bloggers wote kama michuzi,wade Maya,miladi ayo nk ni washamba? Tumia hata drone bc sio lazima kamera ya simu au kawaida
Mwisho unaweza ibiwa hata huko kakola bush sio Dar tuu.By the way Mimi dar nakuja several times na nimeishi miaka 4 huko nikiwa chuo na kazi sasa niko mkoani so huna jipya la kunambia ndugu punguza ushamba
 
Hebu kabla ya kukoment chochote turudi ukurasa wa 29 kwanza.
Maana naona kuna watu wamedandia gari kwa mbele.
Kuna wenzenu walikimbia baada ya kuumbuka na hotel za njombe.
Waliumbuka maana hakuna picha ya maana waliyoleta toka kahama.
Nahisi kuna wanafunzi waliomaliza form 4 ndo wamekuja humu sahz.
Ndo maana kelele nyingiiiii bila picha.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† True mkuu,nimewauliza hao mbuzi wa Khm kama kumeendelea na kuna pesa hao wenye pesa wanaishi wapi? Mbona hakuna hoteli?
Simply Khm ni gulio kama magulio mengine watu wanakuja kuchuma tukiwemo sie mabosi wao wa njombe na kusepa ,yaani ni unliveable town kama tu maeneo mengi ya migodini yalivyo,wanatia huruma sana hao fm 4 leavers
 
Kanda inayoongoza kwa maskini si ajabu Umepanic na mapovu juu
Na mwaka huu mtasjindia sana matobolwa maana godfather wenu kawaambia haingilii bei za nafaka
Hakuna hata siku moja mtu anatafuta maisha akaenda kuishi eti njombe au mafinga. Lazima aende mahali ambapo pana mzunguko wa pesa kama Dar au Kanda dume ya ziwa. Kinachokusumbua ni ushamba tu na upoyoyo
 
Hizo nyumba au matope? Njombe jipangeni tena. Nafikiri walimu wengi huomba uhamisho wakipangia Njombe
kabla hujapost huo utumbo wako, lete picha za kahama zinazoweza kuufunika ukurasa wa 29
Wenzio wa kahama walikimbia humu baada ya kuona ukurasa wa 29, hawakuaga.
Tuliwapa assignment wakalete picha za kahama, hawakurudi mazima.
Na ukurasa ukafungwa.
Nyie sijui mmetokea wapi, haya tunawapa kazi, leteni picha za kahama za kuufunika ukurasa wa 29.
Ukikoment maneno tu bila picha, nimeshakutukana we kilazaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…