ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #701
Kahama sijafika na siwazi kufika maana nilikuwa nadhani ni bonge la town kumbe changanyikeni tuu ,yaani kwa picha nazoziona humu na kelele zinazopigwa nimepadharau sanaBado nina was was kama umefika kahama kahama maana nadharia unayoiongelea ni tofauti na kahama. Kahama imejengeka sababu ya migodi. Nimwfanya kaz buzwagi benefit mojawapo kwa staff ni kujengewa nyumba. Ndg yangu unaposikia mgodi wa barrick usidhani ni investment ya sururu na Jembe. Ile ni plant ikiyoajiri watu wa mataifa makubwa, mishahara pale inaanzia m 1 mpaka million 40. Ni investment ya trillion sasa migod ipo miwili
Kujengeka kupi hakuna picha zaidi ya majengo ka nssf hako basi sasa kingine cha kunileta huko ni nini labda nikipata biashara ya kuchuuza
Hiyo town sio liveable hao wanaolipwa pesa hawajengi huko wanazi expatriate tu