Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nikitoka hapa narudi Dar, next stop itakuwa Ukerewe kisiwa cha Ukara nipokee kwa mikono miwili huko kwenye mabondo naja.

Kumbe ulikua serious eh!safi sana mkuu!kule kuna utajiri sana!ila sipo kwasasa nimesafiri...utaniambia!
 
😅😅 mbona kawaida mzee baba! Sasa wenyeji wanavyoishi kwenye dimbwi la umaskini sasa!..njombe matahjiri wa kuhesabu wenye mabasi ndo mnawaita matajiri!njoo sasa kahana..kuna matajjri wa madini, dagaa, samaki, (mabondo), pamba, nk..!na ukiambiea tajiri ni tajiri kweli !angakia vuwanda vyote vya chai ni vya mabeberu!hakuna ht tajiri mmja mwenye kiwanda cha chai..labda wawe wameanza hv karibuni!
Sasa huku watu wnamiliki ardhi yenye madhahabu !, watu wanamajiviwanda ya kuprocess samak..!
Ni kweli kama hicho kabambe ni cha unilevel raisi aliend kukifungua wakaomba et barabara wakanyimwa. Njombe hakun matajiri wa maana labda wachuna ngozi.
 
hoja ni miji yenyewe kujengeka sio watu,Tukianza kuhesabu watu tutaakua tunachanganya mada.Lakini pia kama issue ni maisha ya watu nadhani ni juzi tu NBS wametoa taarifa ya watu wenye maisha mazuri bila shaka Mnajua Namba moja ilikuwa DAR ES SALAAM 2.KILIMANJARO 3.NJOMBE

Naelekea hapo airport naona upande wa kushoto kuna vighorofa viwili sijui vitatu ndo kuna jaa hapo juu anasema maghorofa kibao yanajengwa daaaah nacheka kama chizi hahahhaaaa.
Njombe magorofa ndio hayo tu tena ni hoteli na jengo moja la nssf, Njombe ukiwa hata na ki IST unaingizwa kwenye listi ya matajiri, kuna jamaa yangu alinunua VEROSA aisee, mji mzima wanamuheshimu, huko ni kijijini
 
Njombe mji umejengeka wapi? mjini hakujulikani ni wapi, nyumba za kawaida asilimia 90 ni watofali ya kuchoma, wapi kumejengeka mjimwema ambako nyumba za kawaida sana, tuambie njombe mjini ni wapi?
 
Bora utupokee kuwaeleza
Njombe kusikie tu basi nilivyoingia njombe nikajifanya mjanja kwa kufungua duka la nguo pale mjini, wee wakinga na wabena walinishughulikia baada ya miezi kadhaa duka tupu , pesa sizioni , hasara tupu, kuna wazee wakaniita wakaniambia huku biashara ni za ushirikina haukuwezi , mji mzima hakuna mchaga anafanyabiashara, muhindi ni mmoja anauza mbolea kwa kujificha ficha, Njombe hatari sana
 
😅😅 mbona kawaida mzee baba! Sasa wenyeji wanavyoishi kwenye dimbwi la umaskini sasa!..njombe matahjiri wa kuhesabu wenye mabasi ndo mnawaita matajiri!njoo sasa kahana..kuna matajjri wa madini, dagaa, samaki, (mabondo), pamba, nk..!na ukiambiea tajiri ni tajiri kweli !angakia vuwanda vyote vya chai ni vya mabeberu!hakuna ht tajiri mmja mwenye kiwanda cha chai..labda wawe wameanza hv karibuni!
Sasa huku watu wnamiliki ardhi yenye madhahabu !, watu wanamajiviwanda ya kuprocess samak..!
Acha kufurahisha jukwaa na huo utumbo unajiaibisha.mimi siandiki maneno mengi nakukumbusha tu ukasome ripoti ya NBS ya hali ya maendeleo ya watu
Nyuma ya Dar,Kilimanjaro ni Njombe hiyo kahama na jamaa zenu mwanza mnaongoza kwa umaskini.Nyie endeleeni kufukua mashimo
 
Njombe magorofa ndio hayo tu tena ni hoteli na jengo moja la nssf, Njombe ukiwa hata na ki IST unaingizwa kwenye listi ya matajiri, kuna jamaa yangu alinunua VEROSA aisee, mji mzima wanamuheshimu, huko ni kijijini

Mimi sikua najua magari ya kifahari mkuu!jaman gari za kifahari zipo kahama jamani!jamani jamani!ptu!
 
Acha kufurahisha jukwaa na huo utumbo unajiaibisha.mimi siandiki maneno mengi nakukumbusha tu ukasome ripoti ya NBS ya hali ya maendeleo ya watu
Nyuma ya Dar,Kilimanjaro ni Njombe hiyo kahama na jamaa zenu mwanza mnaongoza kwa umaskini.Nyie endeleeni kufukua mashimo
Yaan ww kilichokuchanganya ww ni ghorofa za njomb mjini..poor u
 
Naelekea hapo airport naona upande wa kushoto kuna vighorofa viwili sijui vitatu ndo kuna jaa hapo juu anasema maghorofa kibao yanajengwa daaaah nacheka kama chizi hahahhaaaa.
😂😂😂😂,Yaani umewahi kuviona hivyo vigorofa sijui 2 au 3 huko kahaba mkuu? That is the difference,na usikinganishe nyumba za Dar na Njombe ila hizi unazoziona ziko bomba kuliko huko khm
 
Yaan ww kilichokuchanganya ww ni ghorofa za njomb mjini..poor u
Ndio mkuu sasa bila hivyo tutajuaje watu wanapesa? Sasa huko khm nije ku explore nini hasa? Hata wode maya huwa anatuonyesha uzuri wa mji kwa magorofa na mahoteli
 
Back
Top Bottom