Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe mji umejengeka wapi? mjini hakujulikani ni wapi, nyumba za kawaida asilimia 90 ni watofali ya kuchoma, wapi kumejengeka mjimwema ambako nyumba za kawaida sana, tuambie njombe mjini ni wapi?
Mjini ni kuanzia mjimwema hadi kibena,njia yote along songea road ni mjini
Ulitaka nyumba wajengee tembe na matope kama kahama au? Burnt bricks ni Bora kuliko blocks sijui ww unatakaje ndugu.You guys from kahaba u are just making noise here and exposing your stupidity na ushamba.Leteni photos za kahama,huko ni borrow pit tu
 
Mimi sikua najua magari ya kifahari mkuu!jaman gari za kifahari zipo kahama jamani!jamani jamani!ptu!
😂😂😂😂 Hizo ni gari za mabwenyenye wanakuja gulioni kahama kuchuma then wanasema zao,that shithole town called kahama is not liveable
 
Njombe magorofa ndio hayo tu tena ni hoteli na jengo moja la nssf, Njombe ukiwa hata na ki IST unaingizwa kwenye listi ya matajiri, kuna jamaa yangu alinunua VEROSA aisee, mji mzima wanamuheshimu, huko ni kijijini
We kaksai wa kisukuma rudi post no.29 huko utapata majibu ya je Njombe kukoje.wenzako wamekimbia badala ya kuleta picha wanabwabwaja,huko Khm ndio kuna kagorofa 1 ka nssf
Usifananishe Njombe na vimiji vya kuchimba gravel a k a borrow pit town kahama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Yaani umewahi kuviona hivyo vigorofa sijui 2 au 3 huko kahaba mkuu? That is the difference,na usikinganishe nyumba za Dar na Njombe ila hizi unazoziona ziko bomba kuliko huko khm
Hahaaa mjitadi mtafanikiwa mkuu, ila safari ni ndefu sana kufikia mnapotamani kuwepo.
Silinganishi ila naongelea nilichokiona sasa naelekea Iringa nishatoka hapo Njombe.
 
Njombe
Screenshot_20191123-161455.jpeg
 
Njombe magorofa ndio hayo tu tena ni hoteli na jengo moja la nssf, Njombe ukiwa hata na ki IST unaingizwa kwenye listi ya matajiri, kuna jamaa yangu alinunua VEROSA aisee, mji mzima wanamuheshimu, huko ni kijijini
Hahahaaa ni kweli usemalo hawa jamaa walichojaaliwa kiukweli ni ardhi ya rutuba pamoja na uoto wa asili mana wanamisitu ya miti mingi sana kwa zao la mbao.
Ila kuna baridi sana tena ile baridi kavu inayopausha ngozi na kuchana lipsi za midomo, huu mji hata kama uko na pesa utapauka kwa hali ya hewa tu.
 
kweli kabisa , hao wanaoitwa matajiri wa kikinga njombe wa hela za uchawi wako hovyo wanashindia yebo yebo na makoti yaliyochanika. Njombe kuna vituko sana
 
Kule hata km una hela lazima upauke..!hakufai..yes wana aridhi nzuri sana!
 
Nimepitia uzi huu nimegundua hata wanaoitetea kahama, si wakaaji wa mji huo.
Ningeuona uzi wakati nikiwa hapo ningeweka picha muhimu za kahama halafu tukaona wanaotetea kijiji cha Njombe wanavyopoteana.
Iringa yenyewe ukitoa haya majengo machache yaliyosongamana hapa mjini, haina cha ziada kwa kahama.
 
Porojo za walioshindwa,za kuambiwa changanya na zako
Hao matajiri wa njombe ndio wameishika kariakoo,wamelijenga Iringa,Mbeya,songea na sumbawanga.Hizo yeboyebo huwa unaziona wewe tuu
 
Nimepitia uzi huu nimegundua hata wanaoitetea kahama, si wakaaji wa mji huo.
Ningeuona uzi wakati nikiwa hapo ningeweka picha muhimu za kahama halafu tukaona wanaotetea kijiji cha Njombe wanavyopoteana.
Iringa yenyewe ukitoa haya majengo machache yaliyosongamana hapa mjini, haina cha ziada kwa kahama.
Umeunga foleni ya kupiga noise bila ushahidi..hata Google imekosa picha za kahama the borrow pit
 
Walioshindwa huwa wana visingizio vingi na kulaumu hali
Baridi na kupiga pesa wapi na wapi?
Mind you Njombe makete Mbeya road iko inajengwa tena kwa asphalt standard
Njombe ludewa Manda mbamba Bay road inajengwa kwa asphalt
Njombe Lupembe to Ifakara road inajengwa to kwa surface dressing std
Makambako Njombe Songea highway inafanyiwa rehabilitation itakuwa fire
Njombe town roads ziko mbioni kujengwa chini ya ULGSP project ya world Bank ,vyote hivyo Khm itakuwa inaone kwenye video
Kule hata km una hela lazima upauke..!hakufai..yes wana aridhi nzuri sana!
 
Walioshindwa huwa wana visingizio vingi na kulaumu hali
Baridi na kupiga pesa wapi na wapi?
Mind you Njombe makete Mbeya road iko inajengwa tena kwa asphalt standard
Njombe ludewa Manda mbamba Bay road inajengwa kwa asphalt
Njombe Lupembe to Ifakara road inajengwa to kwa surface dressing std
Makambako Njombe Songea highway inafanyiwa rehabilitation itakuwa fire
Njombe town roads ziko mbioni kujengwa chini ya ULGSP project ya world Bank ,vyote hivyo Khm itakuwa inaone kwenye video

😅😅😅sawa ww umefaulu..sisi tulioshindwa tumekuja na sababu mfu😄!
 
Zile dhahabu zilizokamatwa geita na wale ma askari walotaka kupewa rushwa mission yote ilipangiwa jirani na nlpokuwa na ishi kahama huko huyo dingi mzee ana hela hatari sasa kama mtu ana miliki billioni za kutosha kaziweka ndani na ana maghorofa makubwa Kahama yaani kupitia migodi midogo midogo inatema na mji unakua kwa kasi sio kama njombe udongo mwekundu kama kijijini ndani ndani huko Kahama kuna watu wanamiliki mijengo ya maana
 
Back
Top Bottom