Sina uhakika kama umefika kahama physical. Migodi mikubwa ya dhahabu ya Barrick nchini miwili ipo kahama Buzwagi na Buly. Mgodi mmoja una wafanyakazi zaidi ya elf 5 wote hao matumiz yao wanafanyia kahama twn. Bado matumizi tu ya mgodi operation cost. Service levy ya mgodi mmoja wanayolipa halmashauri ni mapato ya mkoa mzima wa njombe.Wasafiri wanaoenda KIGOMA, Kagera, Rwanda, Congo, Burundi, Rwanda lazima walale kahama. Hata idadi ya makampuni ya mabasi Dar to Kahama au kahama to Mwanza ni mengi kuliko ya Dar Njombe achilia yanayopitiliza bk, kg, Rwanda nk. Bado kuna machimbo ya wachimbaji wadogo. Kahama wanalima mpunga asikwambie mtu. 2010 kahama kulikua na benk kampuni 7. Yaani Azania, Stanbic, Exim, Crdb,NBC, nmb na Barclay's wakati huo Njombe kulikua na NBC na nmb tu, sasa hivi imeongezeka crdb na mkomboz.Njombe naifahamu vizuri sana nimekaa FM agreement JD moronga Nazareth nk. Njombe mjini kwa kahama bado sana