Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Impacts ipi mzee baba mnaongoza kwa umaskini huko? Hapa tunazungumza facts na ushahidi sio porojo
Weka picha tuone hayo maendeleo ambayo unayajua wewe tuu,mbona picha za Njombe zipo humu wapi kahama?
Miji ya nyanda za juu kusini iko mbele sana kimaendeleo kuliko huko migodini mnakoshinda kufukua mashimo
Tuko mbioni kuwa na manispaa za Mbozi(Vwawa+Mlowo),Tunduma,Mafinga,Njombe na Uyole any time ni ishu ya president tu kutia saini vigezo vimeshatimia
Sasa akina kahama sijui tarime ndo uchafu gani hata hospitali hakuna? Huko ni machimbo nothing else zaidi ya mashimo tu

Nimegundua una uelewa mdogo sana..yaan ww maghorofa ndoyanakuzuzua!..ww una kaushamba .am sorry to say this!
Jingine nikueleweshe ni hili!
Hyo mikoa mm nimezaliwa nikasoma huko na kuishi huko..! Watu wa huko wanajali sana kujenga nyumba...mtu akipata hela anaenda jenga na bati juu hii sio km mikoa ya huki...nyumba za tembe ni nyingi sana compare na huko!kwahyo ww ukianza kucompare maghorofa nakushangaa!
Point iliyopo najua ww huwawah waona matajiri...narudia tena kahama ni mji wa matajiri!bakini na magoorfa yenu yaliyopakwa rangi 7 jengo 1🤣🤣🤣!..watu wa hukp nyumba 1/anapaka rangi7🤣🤣
 
Ushamba ni asili ya wasukuma sio sisi,kama mnafurahia kuishi kwenye nyumba za tembe nyie hamna tofauti na nguruwe
Narudia uzuri wa mji na kipimo cha watu kuwa na pesa ni maendeleo yao hasa kwenye majengo ya ghorofa.Sasa endeleeni kuishi mapangoni humo migodini eti mkijifariji kwamba ni matajiri wa dhahabu mtaendelea kuongoza kwa umaskini kila ripoti
Lastly Njombe utaitaka tu kwa lazima hata kama hupendi ni ishu ya muda tuu subiri roads za Ifakara Njombe,lwanjilo makete Njombe na Njombe ludewa mbamba bay zikamilike
 
Njombe ya wapi unaongelea boss?
Boss acha matusi.. wazee wa njombe hawaendeshi hivyo vidudu.. kule wanaendesha landcruser, prado, na harrier na magari yote makubwa.

Harrier tena wanaenda nazo shamba kukagua misitu yao na chai.

Achana na wakinga na wabena.. nyodo zao zitakuua.

Kaulize kwanini wachaga wamekimbia kariakoo na wamewaachia wakinga.
dah, aisee Njombe naijua kupita maelezo, marehemu Mwazinga alikuwa rafiki yangu na nilipanga nyumba yake nilikuwa namtania sana kwa nini anaendesha landcruiser la kizaman anacheka tu, akina mtewele, japanese, mwendamseke nawajua vizur, huwezi nidanganya kuhusu njombe, wenye magari mazur ni wachache na wote wanajulikana hao niliowataja hapo juu, tofauti na kahama wenye magar mazur ni wengi sana na hawajulikan, wafanyakaz wa migodin karibia wote wana magar mazur na hakuna anaewajua
 
Nimemwambia huyo mchunga ng'ombe kwamba watu wa Njombe tumejenga miji ya watu kama iringa,Mbeya,songea,sumbawanga na Dar partly ..muache akalie hayo hayo sisi tuchape kazi
 
dah, aisee Njombe naijua kupita maelezo, marehemu Mwazinga alikuwa rafiki yangu na nilipanga nyumba yake nilikuwa namtania sana kwa nini anaendesha landcruiser la kizaman anacheka tu, akina mtewele, japanese, mwendamseke nawajua vizur, huwezi nidanganya kuhusu njombe, wenye magari mazur ni wachache na wote wanajulikana hao niliowataja hapo juu, tofauti na kahama wenye magar mazur ni wengi sana na hawajulikan, wafanyakaz wa migodin karibia wote wana magar mazur na hakuna anaewajua
Kwamba wanaamka asubuhi kwenda kufukua mashimo na magari au mm sijaelewa? Kama ni staff wa kampuni hiyo sio ishu hao ni wachache,manamba wafukua mitaro wana magari? Kama ni hivyo kwa nini muongozo kwa umaskini?
Mwisho huko mkoani kwako uje uhudhurie kikao chochote cha wananzengo wa njombe afu ujilinganishe nao,na uhakika wanafanya maana ni utaratibu wetu
 
kahama kuna watu wengi sana kwa sababu mzunguko wa pesa ni mkubwa, makabila yote utayakuta hapo, wafanyabiashara ni wengi mno na biashara zimechangamka, tofauti na njombe watu wachache , mzunguko wa pesa mdogo, biashara zinafanyika kichawi na wenyeji, wagen wanalogwa mpaka biashara zinakufa.
 
Ushamba ni asili ya wasukuma sio sisi,kama mnafurahia kuishi kwenye nyumba za tembe nyie hamna tofauti na nguruwe
Narudia uzuri wa mji na kipimo cha watu kuwa na pesa ni maendeleo yao hasa kwenye majengo ya ghorofa.Sasa endeleeni kuishi mapangoni humo migodini eti mkijifariji kwamba ni matajiri wa dhahabu mtaendelea kuongoza kwa umaskini kila ripoti
Lastly Njombe utaitaka tu kwa lazima hata kama hupendi ni ishu ya muda tuu subiri roads za Ifakara Njombe,lwanjilo makete Njombe na Njombe ludewa mbamba bay zikamilike

Hahahaa nyie limeni matofu tu huko!kila mtu apambane na hali yake tutakutana juu kileleni!all the best
 
Impacts ipi mzee baba mnaongoza kwa umaskini huko? Hapa tunazungumza facts na ushahidi sio porojo
Weka picha tuone hayo maendeleo ambayo unayajua wewe tuu,mbona picha za Njombe zipo humu wapi kahama?
Miji ya nyanda za juu kusini iko mbele sana kimaendeleo kuliko huko migodini mnakoshinda kufukua mashimo
Tuko mbioni kuwa na manispaa za Mbozi(Vwawa+Mlowo),Tunduma,Mafinga,Njombe na Uyole any time ni ishu ya president tu kutia saini vigezo vimeshatimia
Sasa akina kahama sijui tarime ndo uchafu gani hata hospitali hakuna? Huko ni machimbo nothing else zaidi ya mashimo tu
Kahama
images.jpeg
maxresdefault.jpeg
 
kahama kuna watu wengi sana kwa sababu mzunguko wa pesa ni mkubwa, makabila yote utayakuta hapo, wafanyabiashara ni wengi mno na biashara zimechangamka, tofauti na njombe watu wachache , mzunguko wa pesa mdogo, biashara zinafanyika kichawi na wenyeji, wagen wanalogwa mpaka biashara zinakufa.
Haaaa 😁😁😁 eti mnarogwa,kusema ukweli kwamba mumeshindwa ushindani hamuwezi ila visingizio.kwa nini ww usiwaloge?
Kilichopo ni kwamba kahama ni mji wa kichuuzi watu wanavuna wanasepa
 
Hahahaa nyie limeni matofu tu huko!kila mtu apambane na hali yake tutakutana juu kileleni!all the best
Ujue nilianzisha uzi ili nipate picha halisi ya kahama maana watu walikuwa wanasifia sana hadi wengine walifikia kuilinganisha kijiji hiki na jiji la Mbeya
Kwa kuwa sikuwahi kufika kahama nikatamani nifike nijione na kabla sijafika nipate picha kupitia wachangiaji humu.Nimegundua hakuna kitu huko na the town is just shit it was being exegerated na kwa mantiki hiyo nimefika hitimisho kwamba Kahama haina tofauti na Tunduma au Makambako ni miji ya kichuuzi,harakati nyiiingi za biashara za wachuuzi na kumejaa,maduka, gest houses na ma bar tuu huko yaani vurugu tupu.
Sio aina ya miji ya wastaarabu na liveable nothing I can explore huko ndio maana huwezi kuta hotel kali kama za Njombe,Mafinga,Vwawa,sumbawanga,mpanda nk.Miji dizaini hii huwa ni kama gulio utakuta iko busy sana lakini not well developed and organised.Kwa mantiki hiyo nitaenda nimebadili route nitaenda Bukoba via mwanza sijashawishika na chochote hapo Kahama
 
Ujue nilianzisha uzi ili nipate picha halisi ya kahama maana watu walikuwa wanasifia sana hadi wengine walifikia kuilinganisha na kijiji hiki na jiji la Mbeya
Kwa kuwa sikuwahi kufika kahama nikatamani nifike nijioni na kabla sijafika nipate picha kupitia wachangiaji humu.Nimegundua hakuna kitu huko na the town is just shit it was being exegerated na kwa mantiki hiyo nimefika hitimisho kwamba Kahama haina tofauti na Tunduma ni miji ya kichuuzi,harakati nyiiingi za biashara za wachuuzi na kumejaa na gest na ma bar tuu huko.
Sio aina ya miji ya wastaarabu na liveable nothing I can explore huko ndio maana huwezi kuta hotel kali kama za Njombe nk.Miji dizaini hii huwa ni kama gulio utakuta iko busy sana lakini not well developed and organised.Kwa mantiki hiyo nitaenda nimebadili route nitaenda Bukoba via mwanza sijashawishika na chochote hapo Kahama

Ndagha bhabha!mie Kahama sihami na sitoki ng'o! Ndo kwanza nafikiria kujenga kbs!..sasa ww acha kuzuzuka na majengo .wekeza mzee baba!..mie ningekuw naishi njombe ningepigana kike had niwe na kiwanda cha maziwa!sio blah blah kudekishia maghorofa...!invest invest!hizo ghorofa unazohangaika kuweka humu zije zisomeke CHOICE HOUSE!
.....all the best!...
 
Walioshindwa huwa wana visingizio vingi na kulaumu hali
Baridi na kupiga pesa wapi na wapi?
Mind you Njombe makete Mbeya road iko inajengwa tena kwa asphalt standard
Njombe ludewa Manda mbamba Bay road inajengwa kwa asphalt
Njombe Lupembe to Ifakara road inajengwa to kwa surface dressing std
Makambako Njombe Songea highway inafanyiwa rehabilitation itakuwa fire
Njombe town roads ziko mbioni kujengwa chini ya ULGSP project ya world Bank ,vyote hivyo Khm itakuwa inaone kwenye video
Yaani Njombe itatisha hatari.
 
Angalau wewe unaweza kuwatetea ndugu zako,lete picha zaidi bado hamjafikia hata robo ya Njombe
mkuu, tuanze kutaja magorofa ya njombe yakifika kumi na tano MODS wanipige ban, mimi naanza NSSF, FM HOTEL, JD HOTEL, AGRIMENT HOTEL, endelea mengine na uhakika hata kumi hayafiki,
 
Mkuu ntaweza kweli kukumbuka kila jengo la ghorofa kuanzia moja kwenda juu? Hiyo kazi siiwezi but machache ni kama hospital ya mkoa,TANESCO,soko kubwa,majengo ya Lutheran etc etc
 
Ndagha bhabha!mie Kahama sihami na sitoki ng'o! Ndo kwanza nafikiria kujenga kbs!..sasa ww acha kuzuzuka na majengo .wekeza mzee baba!..mie ningekuw naishi njombe ningepigana kike had niwe na kiwanda cha maziwa!sio blah blah kudekishia maghorofa...!invest invest!hizo ghorofa unazohangaika kuweka humu zije zisomeke CHOICE HOUSE!
.....all the best!...
huyo asikudanganye njombe magorofa hata kumi hayafiki, picha moja anapiga kushoto, anakuja kugeuza kulia, upande , uongo mtupu Mbeya kwenye magorofa ya kuhesabu, mwaka juzi kuna jengo liliwekwa lifti mbeya nzima watu walijaa kwenda kushangaa lifti ndio ije kuwa kijijini njombe, msimu wa kilimo maduka yamefungwa watu wako shamba
 
Back
Top Bottom