pemgtoonet.com
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 879
- 618
we ndo kilaza kweli, picha za njombe za maana walizopost wenzio wenye akili hapo mwanzo hujaziona?
Rudi kuanzia page ya 10 hadi ya 23 hv uone.
Harafu uje ukoment upuuzi wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ndo kilaza kweli, picha za njombe za maana walizopost wenzio wenye akili hapo mwanzo hujaziona?
rudi ukurasa wa 29 harafu ndo uje ukoment upuuzi wako hapaNjombe mjini haifikii hata nusu kwa kahama
Umefika kahama? Mie Njombe hakuna mtaa ambao siufahamu nimekuja sana hapo kikazi. Kahama ndg yangu ni habari nyinginerudi ukurasa wa 29 harafu ndo uje ukoment upuuzi wako hapa
Cheki hizo picha za njombe kwanza
we ndo kilaza kweli, picha za njombe za maana walizopost wenzio wenye akili hapo mwanzo hujaziona?
Rudi kuanzia page ya 10 hadi ya 23 hv uone.
Harafu uje ukoment upuuzi wako
Sina uhakika kama umefika kahama physical. Migodi mikubwa ya dhahabu ya Barrick nchini miwili ipo kahama Buzwagi na Buly. Mgodi mmoja una wafanyakazi zaidi ya elf 5 wote hao matumiz yao wanafanyia kahama twn. Bado matumizi tu ya mgodi operation cost. Service levy ya mgodi mmoja wanayolipa halmashauri ni mapato ya mkoa mzima wa njombe.Wasafiri wanaoenda KIGOMA, Kagera, Rwanda, Congo, Burundi, Rwanda lazima walale kahama. Hata idadi ya makampuni ya mabasi Dar to Kahama au kahama to Mwanza ni mengi kuliko ya Dar Njombe achilia yanayopitiliza bk, kg, Rwanda nk. Bado kuna machimbo ya wachimbaji wadogo. Kahama wanalima mpunga asikwambie mtu. 2010 kahama kulikua na benk kampuni 7. Yaani Azania, Stanbic, Exim, Crdb,NBC, nmb na Barclay's wakati huo Njombe kulikua na NBC na nmb tu, sasa hivi imeongezeka crdb na mkomboz.Njombe naifahamu vizuri sana nimekaa FM agreement JD moronga Nazareth nk. Njombe mjini kwa kahama bado sanaWewe bibi tulia upate dozi ya Njombe,usifananishe Njombe na vimiji vya machimboni na wafugaji kama Kahama ,cheki picha mdau kaweka wewe weka za huko kwa wachuuzi
Njombe ni mkoa, kahama ni kawilaya.
So haviwezi lingana hata nusu.
Kahama ingeizidi njombe, ingekuwa mkoa km njombe.
So kahama kuikuta njombe ni ndoto.
Hadhi yake itabaki hukohuko kwenye level za wilaya.
Hayo yote sawa ila zama zimebadilika,benki zimeongezeka na Njombe pia japo ni kweli sio nyingi sana kama KahamaSina uhakika kama umefika kahama physical. Migodi mikubwa ya dhahabu ya Barrick nchini miwili ipo kahama Buzwagi na Buly. Mgodi mmoja una wafanyakazi zaidi ya elf 5 wote hao matumiz yao wanafanyia kahama twn. Bado matumizi tu ya mgodi operation cost. Service levy ya mgodi mmoja wanayolipa halmashauri ni mapato ya mkoa mzima wa njombe.Wasafiri wanaoenda KIGOMA, Kagera, Rwanda, Congo, Burundi, Rwanda lazima walale kahama. Hata idadi ya makampuni ya mabasi Dar to Kahama au kahama to Mwanza ni mengi kuliko ya Dar Njombe achilia yanayopitiliza bk, kg, Rwanda nk. Bado kuna machimbo ya wachimbaji wadogo. Kahama wanalima mpunga asikwambie mtu. 2010 kahama kulikua na benk kampuni 7. Yaani Azania, Stanbic, Exim, Crdb,NBC, nmb na Barclay's wakati huo Njombe kulikua na NBC na nmb tu, sasa hivi imeongezeka crdb na mkomboz.Njombe naifahamu vizuri sana nimekaa FM agreement JD moronga Nazareth nk. Njombe mjini kwa kahama bado sana
We nae hujielewi,Geita ndio onaongoza kimapato kwa sasa kwa wilaya nje ya manispaa za Dar na majiji,je Geita iko mbele kimaendeleo kuliko Kahama au Njombe? Jifunze kutofautisha aina ya vyanzo vya mapato na effects yake kimaendeleoNjombe kuipita Iringa labda miaka 500 ijayo. Manyara ndo inakotoka Tanzanite lakini haitakuja kuipita Arusha au moshi. Njombe hata kwa Mafinga haitii mguu Mafinga ni wilaya ya tatu kimapato tz next to kahama. Kahama ni nzuri na ina mzunguko wa pesa kuliko Mafinga na Njombe. Nilkaa kakola buly 2010. Kipindi hicho kahama kulikua na benk zaid ya 6. Azania, stanbic nk. Njombe mpaka sasa wana benk 4 tu hakuna hata shopping mall
Mpiga picha kachukua nyumba za old Town ya Njombe kaweka ila kwa Kahama kaweka recently areas lakini good enough gorofa ileee Kahama holaaaHizo nyumba au matope? Njombe jipangeni tena. Nafikiri walimu wengi huomba uhamisho wakipangia Njombe
Kanda inayoongoza kwa maskini si ajabu Umepanic na mapovu juuUsilinganishe mji maalum wa kahama na vitu vinyonge kama njombe na mafinga. Inavyoonekana wewe huna kazi za kufanya maana post zako zote zimejaa upuuzi mtupu. Achana na kanda ya ziwa wewe hiyo ni habari nyingine.
Kupiga picha sio ushamba ni hobby yaani hapo ww ndo umeonekana mbulula hasa wa kanda ya ziwa.Picha ndio nini ushamba tu, yani me niende kahama nizungukr napiga picha mijengo ya watu??? Embu panda basi njoo Dar huone kama hutaibiwa mpka boksa
picha za kahama please.Kahama ni zaidi ya Njombe
😆😆😆😆 True mkuu,nimewauliza hao mbuzi wa Khm kama kumeendelea na kuna pesa hao wenye pesa wanaishi wapi? Mbona hakuna hoteli?Hebu kabla ya kukoment chochote turudi ukurasa wa 29 kwanza.
Maana naona kuna watu wamedandia gari kwa mbele.
Kuna wenzenu walikimbia baada ya kuumbuka na hotel za njombe.
Waliumbuka maana hakuna picha ya maana waliyoleta toka kahama.
Nahisi kuna wanafunzi waliomaliza form 4 ndo wamekuja humu sahz.
Ndo maana kelele nyingiiiii bila picha.
nyie mkoa kikodi, njombe mkoa kiuchumi. Kodi kahama mnatoa nyingi, ila zinaenda kuijenga njombe.Huna akili kweli hujui Kahama ni mkoa wa kikodi? Hivi mtu n akili zko kweli unakaa njombe? Akili zenu kam za ndesambulo
Hakuna hata siku moja mtu anatafuta maisha akaenda kuishi eti njombe au mafinga. Lazima aende mahali ambapo pana mzunguko wa pesa kama Dar au Kanda dume ya ziwa. Kinachokusumbua ni ushamba tu na upoyoyoKanda inayoongoza kwa maskini si ajabu Umepanic na mapovu juu
Na mwaka huu mtasjindia sana matobolwa maana godfather wenu kawaambia haingilii bei za nafaka
kabla hujapost huo utumbo wako, lete picha za kahama zinazoweza kuufunika ukurasa wa 29Hizo nyumba au matope? Njombe jipangeni tena. Nafikiri walimu wengi huomba uhamisho wakipangia Njombe