Kahama VS Njombe/Mafinga

Hakuna hata siku moja mtu anatafuta maisha akaenda kuishi eti njombe au mafinga. Lazima aende mahali ambapo pana mzunguko wa pesa kama Dar au Kanda dume ya ziwa. Kinachokusumbua ni ushamba tu na upoyoyo
anaekoment bila picha za kahama kuanzia sasa, namwita KILAZAAAAA.
GENIUS wa kahama alete picha hapa
 
Hakuna hata siku moja mtu anatafuta maisha akaenda kuishi eti njombe au mafinga. Lazima aende mahali ambapo pana mzunguko wa pesa kama Dar au Kanda dume ya ziwa. Kinachokusumbua ni ushamba tu na upoyoyo
Akili za matobolwa na udaga hizi pole..kina sehemu kuna pesa inategemea umetega nini.. nyie wajinga ndio mnawaza hivyo sasa
Nimekuuliza swali kama KHM kuna pesa kuzidi Njombe/Mafinga kwa nini mabwanyenye tusiwekeze mahoteli huko kahama badala yake watu wanawekeza Njombe na Mafinga?
Wekeni picha za kahama mnatuchosha kwa porojo zenu
 
Picha za kahama zipo wapi
Leteni basi tuzione, ziufunuke ukurasa wa 29
 
Wewe ni bwanyenye ? Wenye hela zao hawezi kushinda kwenye mtandao akipost ujinga kama wewe
 
Mi nipo Njombe hapa nimetokea Songea, kiukweli unachokisema ni tofauti sana na ninachokiona kwa macho yangu kwa siku hizi 3 nilizokaa hapa.
 
Mi nipo Njombe hapa nimetokea Songea, kiukweli unachokisema ni tofauti sana na ninachokiona kwa macho yangu kwa siku hizi 3 nilizokaa hapa.
Funguka ndugu nimesema hilo soko litakuwa na shopping mall na pili nimesema idadi na ujenzi mpya wa ghorofa kwa Njombe unazidi Kahama sasa wewe unaona kipi tofauti broo.Mwisho kama u can't get out and explore huwezi elewa we tulia usubili matokeo ya fm 4 labda hata nauli huna maana sie wenyeji wa njombe tunafahamu
Zamani hiyo airport ilikuwa nje kabisa ya mji leo iko mjini na makazi karibu yanafika itini njiapanda ya ludewa afu unasemaje
 
Wewe ni bwanyenye ? Wenye hela zao hawezi kushinda kwenye mtandao akipost ujinga kama wewe
Kwa kiasi chake ni bwanyenye, kwani mm nashinda humu? Mda wangu ni jioni na ucku na asubuh kabla ya saa 4
 
DTB haipo Njombe...nalazimika kwenda Iringa leo kupata huduma, mkoa wa kijinga sana huu.
 
Bado nina was was kama umefika kahama kahama maana nadharia unayoiongelea ni tofauti na kahama. Kahama imejengeka sababu ya migodi. Nimwfanya kaz buzwagi benefit mojawapo kwa staff ni kujengewa nyumba. Ndg yangu unaposikia mgodi wa barrick usidhani ni investment ya sururu na Jembe. Ile ni plant ikiyoajiri watu wa mataifa makubwa, mishahara pale inaanzia m 1 mpaka million 40. Ni investment ya trillion sasa migod ipo miwili
 
Njombe majengo ya gorofa 5 na kuendelea hayazidi 6
 
Usitupige fix Tunduma hawana benk nyingi bwana zaidi ya hiz common NBC, NMB, CRDb nadhani kuna mbili za ziada ambazo ni Azania na exim
 
Weka picha ya mtaa konki wa Njombe usiweke Raman za majengo za 3D. Maana hata mm karamani ka 3D ka mjengo wangu kanavutia unaweza sema namzidi ASAS kwa mjengo
 
Usitupige fix Tunduma hawana benk nyingi bwana zaidi ya hiz common NBC, NMB, CRDb nadhani kuna mbili za ziada ambazo ni Azania na exim
Pole kuna tpb bank,KCB,BOA,Exim,Azania,na CBA plus hizo common banks umeelewa?
Benki za muhimu ni hizo za kitaifa tuu
 
Weka picha ya mtaa konki wa Njombe usiweke Raman za majengo za 3D. Maana hata mm karamani ka 3D ka mjengo wangu kanavutia unaweza sema namzidi ASAS kwa mjengo
Wapi nilipoweka 3D humu sijatupia picha ya Njombe hata moja ila wadau wengine
 
Njombe majengo ya gorofa 5 na kuendelea hayazidi 6
Wakati huo huo Khm hakuna hata moja.Idadi ya kuanzia ghorofa 1 hadi 9 ni zaidi ya 30,majengo binafsi,taasisi na mashirika..afu ghorofa ni zaidi ya 6 ..Makambako ndio yanakomea 6
Mwisho natarajia kwenda Dom mwezi ujao nitawaletea picha za Mafinga town maana ni fire sana ule mji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…