Kahama VS Njombe/Mafinga

We jamaa ni mshamba na ndezi wa maghorofa
 
Kwa maana hiyo siku hizi wanaezekea aluminiam
 
Kwa maana hiyo siku hizi wanaezekea aluminiam
πŸ˜…πŸ˜…!aliyefanya biashara ya mbao miaka ya 2000's atakuwa anaelewa...zaman unaweza agiza mzigo mara 3 dar ..!sio sasa!...ssbhv alminium imeharibu soko la mbao
 
We jamaa ni mshamba na ndezi wa maghorofa
Mshamba saana lakini sifa ya ushamba ni ya kwenu wasukuma
Narudia tena uzuri wa mji ni maghorofa kama hakuna magorofa inatakiwa khm vs Igawa
Nenda kokote sema chochote uzuri na ufahari wa mji ni maghorofa tena marefu.Nenda Kenya forums utakuta hiki nachoongea
 
Narudia kukwambia maghorofa sio maendeleo kingine hata hivyo vibanda mlivyonavyo bado hamfikii hata robo kingine mi sio msukuma lakini msukuma au ngoshha m1 uncle magu Tanzania hapa anaipeleka mbio hii amewashika pabaya
 
Kajambe mbele huko huna hoja,kama sio maendeleo yamejengewa kwa kamasi zako au?
Haya sio maendeleo nambie wewe maendeleo gani Kahama inayo kuzidi Njombe ya tatu kitaifa kwa takwimu rasmi za serikali,lete na wewe takwimu zako.Unanichosha tu kwa kuongea kwa mihemko
Magu amewashika vibaya nyie huko kahaba huko Njombe ameshika pazuri,kwa kujenga hospitali ya mkoa,stend ya kisasa,soko la kisasa,barabara za lami za kuelekea ludewa hadi mbamba bay Ruvuma,Mbeya via makete na kuelekea Ifakara to mikumi sasa mbuzi nyie mtaongea nini
 
kwa kua magorofa sio maendeleo bila shaka takwimu za NBS zimemaliza kua mikoa yenye watu wamesogea kimaisha kwa ujumla ni DAR ES SALAAM,KILIMANJARO na NJOMBE wengine wanafuata.
Narudia kukwambia maghorofa sio maendeleo kingine hata hivyo vibanda mlivyonavyo bado hamfikii hata robo kingine mi sio msukuma lakini msukuma au ngoshha m1 uncle magu Tanzania hapa anaipeleka mbio hii amewashika pabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…