Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Ni mji wa kawaida tu kahama.Kahama kuna nini ambacho hakipo kwingine?
Siifaham sana kiundani njombe bt ukiitazama kahama ni vile watu wanaiongelea kimihemko tu
Unajua ukiingalia kiserikal kwa jicho la TRA, kahama u cant even compare na wilaya ya Mufindi kwa ukusanyaji mapato angalau Geita.
Mwka huu nilikua kweny meeting na meneja wa tra mwanza nakumbuka akiwa analalamikia tra wanaweka target za makusanyo ya mapato makubwa kwa mkoa wake kuliko mikoa kama geita na mingine ambayo wana vyanzo adhimu vya mapato biashara za Madini.
Ukizungumzia fursa na upatikanaji wake kati ya kahama na njombe, kila wilaya ina vyanzo ambayo havipo mahal pengine kwa kuzingatia kanda hiz mbili sasa hw come u campare sukari na chumvi?
NB
Personally napapenda zaid njombe.
Ahahahahahahaha.
Halmashauri Zakusanya Bil 449 Mapato Ya Ndani
Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI IKIWA imepita robo tatu ya mwaka wa fedha 2018/2019, halmashauri zote zimekusanya Sh bilioni 449.8 amb...