Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mafinga nafikiri papo vizuri ya kahama. Kimazingira, maendeleo na maendeleo kiujumla ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimazingira inaezekana... kwasababu ya hali yake.

Kuhusu maendeleo sina uhakika... ningeweza kuhitimisha ila nina ushahidi wa kahama kwan nmewah fika na nakujua vzuri...

Ila mafinga sijawah fika japo kuna rafk zangu...

Ndio maana napenda m2 alete data vizuri hasa aliewah tembelea sehemu zote.

Swali ambalo naliacha...ni,

kati ya kahama na mafinga ni sehemu ipi inatoa mapato serkaln zaidi ya mwenzake?

...
 
Wewe ndio unaporojo. Tena hewa kabisa. Tunasisitiza, Njombe ni Kijiji. Period

Sent using Jamii Forums mobile app
Njombe ni regional hq,vijiji ni kama kahama huko usifananishe Njombe na vimiji uchwara vya kufanyia uchuuzi na magulio.Njombe ni makao makuu ya baadhi ya taasisi mfano dayosisi ya kusini kati ya kkkt,kuwa na adabu mkuu
 
Mafinga nafikiri papo vizuri ya kahama. Kimazingira, maendeleo na maendeleo kiujumla ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anaesema kahama ni kuzuri kuliko Njombe/Mafinga kwa vile eti watu wanazurura hadi ucku basi tuseme pia Tunduma ni kuzuri kuliko Njombe/Mafinga kwa vile nako uzururaji na makelele ya kwenye starehe ni kama kahama
Lakini zaidi ya makelele hakuna kitu ndio maana hata ujenzi tu wa nyumba na mahoteli uko vizuri Njombe/Mafinga kuliko huko machimboni kahama
 
Mufindi inabebwa na chai na mbao mkuu...!mufindi hali ya hewa sio kbs Kahama hali ya hewa nzuri sana...alafu ni mpakani kwanchi ..so mishe mob .!
Kama ubishi umefikia hadi kusema hali ya hewa kahama ni nzuri kuliko eden ya tzn basi wewe huna tofauti corona virus mleta covid-19 anaebisha kusalimu amri kwa kila dawa
 
Mufindi nimekaa especially makao makuu Mafinga ni mji mzuri labda useme hali ya hewa safi na ustaarabu safi ila mzunguko wa hela,fursa n.k halooo mji mgumu ule halafu ndugu zangu wahehe naonaga washamba hahahhah ila wapole na huruma ipo.
Kahama Sijawahi kufika to be honest ila kuna watu wa karibu wanakusifia mzunguko wa hela uko mkubwa a fursa kedekede biashara zipo onfire. Hapa ilibidi tulinganishe hii miji midogo Mafinga na kahama kwenye fursa za kiuchumi na mzunguko wa pesa si vinginevyo maana mafinga ukisema kwenye kujengeka na mazingira ataibuka kidedea while kwenye fursa na mzunguko wa pesa atalazwa chali na Kahama.
Sasa faza kuna mji unajengeka kama hakuna pesa? watu wanajengewa na suma jkt au? pangekuwa pagumu usingeona magorofa yanasimama daily,ingekuwa kama huko kahama mnakosema kuna pesa but life ni hovyo..nikiwaambia Kahama ni mji wa wachuuzi kama gulio mnabisha
 
Yaani ndio unaskia leo halafu mbio kulaumu watu, what a foolish, wewe sio mshamba Bali ni ignorant.
Uwekezaji wa $30bn ni mkubwa sana, negotiations plus makampuni yenyewe, sababu ni joint investment, stakeholders engagement takes time. The project is scheduled on 2022

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi hadithi toka enzi za mkwere hadi sasa jpm amemaliza awamu ya kwanza nyimbo ni hizo hizo labda arudi mzee wa uchumi wa gas prof Muhongo
 
Mpango wa LNG plant Lindi bado uko palepale,
Scheduled 2022

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo taarifa za 2022 nazifahamu lakini huwa nazipuuza kwa sababu bado sijaiona ile nia thabiti ya serikali! Taarifa za 2022 wala hazina tofauti na taarifa ambazo serikali bado huwa wanasema "ujenzi wa bandari ya Bagamoyo bado upo pale pale" lakini ukiwa mfuatiliaji wa hii miradi, hutapata taabu kuona kauli gap lililopo kati ya kauli na vitendo!!
 
Mufindi inabebwa na chai na mbao mkuu...!mufindi hali ya hewa sio kbs Kahama hali ya hewa nzuri sana...alafu ni mpakani kwanchi ..so mishe mob .!
Ndio nakubaliana sema kuna watu wanaona msitu wa sao hill na mashamba ya chai sijui ndo nini wakati ni ya minority,kuhusu hali ya hewa ipo saf tu mbona kama Arusha tofaut na dar,tanga,Moro and the like,sema I wish mwisho wa mwaka huu nifanye tour Mwanza then Kahama kuangalia fursa tukaribishane unaonekana fighter nimekupenda bure Boss lady
 
Mkuu mbona kuna taarifa huu mradi mwekezaji ameuhamishia msumbiji baada ya urasimu mwingi hapa kwetu? Kuna ukweli wowote?
Sio kwamba Mwekezaji amehamishia Msumbiji... la hasha! Mradi wa Msumbiji ni wa Msumbiji na wa Tanzania ni wa Tanzania!

Kilichotokea ni kwamba, wakati Tanzania tunagundua matrilioni ya cubic feet za gas, na Msumbiji nao wakagundua almost wakati ule ule!

JK alikuwa very strategic... yule mambo ya eti "...madini hayaozi" hakuwa nayo kwahiyo akawa anafanya mambo faster ili ikibidi tuwapige bao Mozambique! Ni kutokana na hilo ndo maana utaona wakati wa JK shamrashamra za gas zilikuwa nyingi sana kwa sababu ilikuwa kipaumbele chake tofauti na sasa!!!

Sasa alipoingia JPM, hakuonekana kutoa kipaumbele sana; ndo kwanza akawa anatangaza gas yote imeuzwa wakati si kweli. Sasa ule muungano wa kampuni 3 waliotaka kujenga huo mradi, wakaona JPM hasomeki!

Sasa kwavile wao ni wafanyabiashara, wasingekaa kusubiri hadi JPM atakaposomeka... wakaelekea Msumbiji ambako na kwenyewe mambo yalishaiva!

Lakini hata leo serikali ikionekana wapo serious, jamaa watawekeza tu kwa sababu hiyo ndo biashara yao! Msumbiji wataendelea na ujenzi na Tz wataanza ujenzi bila shida!!
 
Sasa faza kuna mji unajengeka kama hakuna pesa? watu wanajengewa na suma jkt au? pangekuwa pagumu usingeona magorofa yanasimama daily,ingekuwa kama huko kahama mnakosema kuna pesa but life ni hovyo..nikiwaambia Kahama ni mji wa wachuuzi kama gulio mnabisha
Mkuu mzunguko wa hela haupo sana elewa hilo mbao siku sio ishu na biashara hazitoki mafinga na iringa yake Nimekaa pia iringa town duh mji mgumu labda ujenge gest house maana naona zipo nyingi I guess nyie wahehe ni ngono kwenda mbele
 
What do you mean Minority, Kati ya Madini na Kilimo which one is for Minority,
Ndio maana nilitaka tuweke parameters
1.Elimu -Idadi ya Mashule , wasomi, Taasisi za Elimu nk
2.Maji Safi - Accessibility
3.Makazi ya Watu
4.Huduma za Afya- Uwepo wa Mahospitali na 5.Vituo vya afya na community Phrmacies
6.Miundombinu ya Barabara n.k
7.Viwanda

Hivi ndio vigezo vya kupima maendeleo, sio mihemko,
Na Kati ya havyo vyote nimeweka nadhani tutakubaliana kuwa Njombe/ Mafinga zimeacha kahama
Ndio nakubaliana sema kuna watu wanaona msitu wa sao hill na mashamba ya chai sijui ndo nini wakati ni ya minority,kuhusu hali ya hewa ipo saf tu mbona kama Arusha tofaut na dar,tanga,Moro and the like,sema I wish mwisho wa mwaka huu nifanye tour Mwanza then Kahama kuangalia fursa tukaribishane unaonekana fighter nimekupenda bure Boss lady

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wewe unauona mji mgumu wenzio wanainua mijengo na maghorofa ya kisasa hapohapo Iringa,
Halafu ukisema Iringa wanapenda ngono unakuwa umelinganisha na wapi? Wewe hupendi?
Sema hujui kutafuta hela, Wewe ndiyo mgumu.
Mkuu mzunguko wa hela haupo sana elewa hilo mbao siku sio ishu na biashara hazitoki mafinga na iringa yake Nimekaa pia iringa town duh mji mgumu labda ujenge gest house maana naona zipo nyingi I guess nyie wahehe ni ngono kwenda mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What do you mean Minority, Kati ya Madini na Kilimo which one is for Minority,
Ndio maana nilitaka tuweke parameters
1.Elimu -Idadi ya Mashule , wasomi, Taasisi za Elimu nk
2.Maji Safi - Accessibility
3.Makazi ya Watu
4.Huduma za Afya- Uwepo wa Mahospitali na 5.Vituo vya afya na community Phrmacies
6.Miundombinu ya Barabara n.k
7.Viwanda

Hivi ndio vigezo vya kupima maendeleo, sio mihemko,
Na Kati ya havyo vyote nimeweka nadhani tutakubaliana kuwa Njombe/ Mafinga zimeacha kahama

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mjadala ulishafungwa siku nyingi na mshindi alikuwa KAHAMA [emoji124][emoji124]
 
Yaani ndio unaskia leo halafu mbio kulaumu watu, what a foolish, wewe sio mshamba Bali ni ignorant.
Uwekezaji wa $30bn ni mkubwa sana, negotiations plus makampuni yenyewe, sababu ni joint investment, stakeholders engagement takes time. The project is scheduled on 2022

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuku wa kijani wewe.
 
Mtu anaesema kahama ni kuzuri kuliko Njombe/Mafinga kwa vile eti watu wanazurura hadi ucku basi tuseme pia Tunduma ni kuzuri kuliko Njombe/Mafinga kwa vile nako uzururaji na makelele ya kwenye starehe ni kama kahama
Lakini zaidi ya makelele hakuna kitu ndio maana hata ujenzi tu wa nyumba na mahoteli uko vizuri Njombe/Mafinga kuliko huko machimboni kahama
Mimi nadhani wewe ungekaa kimya usikilize maoni ya wadau kwa sababu wewe ulikosa jibu ndio maana ukauliza swali hapa jukwaani !!
 
Back
Top Bottom