Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mimi nadhani wewe ungekaa kimya usikilize maoni ya wadau kwa sababu wewe ulikosa jibu ndio maana ukauliza swali hapa jukwaani !!
Huyu mimi nimeanza kubishana nae toka mwanzo huko na mapicha nimemuwekea
 
Huwezi fananisha Mafinga na Kahama,
Watu wa Mafinga wameendelea kuliko watu wa Kahama,
Parameters ni hizi,
Elimu
Afya
Maji safi
Usafiri
Makazi,
Mazingira
Kipato.
Usitumie tumbo kufikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ka Mafinga ulinganishe na Kahama are you mad?
Embu nionyeshe barabara za mafinga hata kama ina streets roads
 
Huu mjadala ulishafungwa siku nyingi na mshindi alikuwa KAHAMA [emoji124][emoji124]
Ko mzee umejitekenya na kucheka,,mbona hakuna kigezo chochote cha maana Kahama imeshinda zaidi ya kujiga kifua na kusema kuna mzunguko wa hela sijui watu wanazurura usiku kucha.You kahama guys mnatia huruma sana
 
Mkuu mzunguko wa hela haupo sana elewa hilo mbao siku sio ishu na biashara hazitoki mafinga na iringa yake Nimekaa pia iringa town duh mji mgumu labda ujenge gest house maana naona zipo nyingi I guess nyie wahehe ni ngono kwenda mbele
Jibu swali kama mji ni mgumu sijui biashara hazitoki mara mbao ,kwa nini watu waendelee kunyanyua mijengo ya makazi na biashara plus magorofa,huo ugumu unauona wewe tuu au? pesa za kufanya hayo yote zinatoka wapi? Kama unayosema ni kweli kwa nini miji hiyo izidi kustawi? Mkuu mahaba ya gulio yanakuathiri akili huoni hadi fursa na jinsi ya kujiposition
 
Hahaha kwa lipi?
Yani hata sehemu za kupigia picha Mafinga sijaziona
Ila kwenye mashimo ya madini ndio kuna faa kupigia picha au? pole sana ingia kwenye photo gallery utaona jinsi picha za mafinga hasa barabara kuu ya tanzam zilivyopigwa barabara inapendeza ilivyokatiza katikati ya msitu na mji unaonekana kwa mbali,Kahama zaidi ya kale kajengo ka nssf nothing else..So far kuna magorofa zaidi ya floor 6 above Mafina,Njombe,Makambako lakini Kahama ni hako tu ka nssf hata floor 3 hazifika,afu mtu anakuja kupayuka hapa
 
Yani ka Mafinga ulinganishe na Kahama are you mad?
Embu nionyeshe barabara za mafinga hata kama ina streets roads
We jamaa sijui umetoroka zizi gani,Kuwa na respect kwa Mafinga town mji mzuri na ulijengeka kwa kupangika hadi raha hakuna uswazi wala upuuzi mwingine like huko kahama
 
We jamaa sijui umetoroka zizi gani,Kuwa na respect kwa Mafinga town mji mzuri na ulijengeka kwa kupangika hadi raha hakuna uswazi wala upuuzi mwingine like huko kahama
Nionyeshe barabara za mafinga na neighborhood zake nikuonyeshe za kahama maana kwa kahama na njombe tu nilikupiga T.K.O hii si utataka nikupige K.O kabisa
 
Nionyeshe barabara za mafinga na neighborhood zake nikuonyeshe za kahama maana kwa kahama na njombe tu nilikupiga T.K.O hii si utataka nikupige K.O kabisa
Kahama haijawah sogeza pua kwa Njombe,level zake ni mafinga..onyesha suburb ya kahama iliyoipiga t.k.o njombe..haaa unachekesha mzee
 
Ila kwenye mashimo ya madini ndio kuna faa kupigia picha au?
Ndani ya mgodi wa kahama ni mji ndani ya mji, usibwatuke tena hivi nikikuingiza mle we utapalilia.

pole sana ingia kwenye photo gallery utaona jinsi picha za mafinga hasa barabara kuu ya tanzam zilivyopigwa barabara inapendeza ilivyokatiza katikati ya msitu na mji unaonekana kwa mbali,
Hatuongelei highway aisee nataka barabara za mitaa.

Kahama zaidi ya kale kajengo ka nssf nothing else..So far kuna magorofa zaidi ya floor 6 above Mafina,Njombe,Makambako lakini Kahama ni hako tu ka nssf hata floor 3 hazifika,afu mtu anakuja kupayuka hapa
Umesahau picha zangu nilizokupa au unajitia upofu? Battle ya Kahama na Njombe ambayo ni makao makuu ya mkoa nilishakukalisha tuhamie kwa mafinga we mzee wa mambao.

BTW huwezi kulinganisha Gold na Mimbao
 
Naifahamu njombe sana sana..kuna miaka biashara ya mbao ilikua juu vby sana sana..naijua hii biashara ...lakini huwez ifananisha Njombe na Kahama..mayb weka battle la Njombe na Mafinga..na mafinga itaibuka kidedea...! njombe imekuwa uswekeni..zaman kina mama walikua wanajiita mama mbao sasa hv watu wanaenda na aluminium and the like...uliza wauza mbao wa pale mwnge kama wanauza kma 7yrs ago!
Manengelo when did you changed your name? 😨
 
Kuna Siku nilikua napiga Story na Mfanyakazi mwenzagu Buzwagi yeye anatokea New York America. Basi nikawa namdadisi kuhusu Amerika USA hususani New York.

Alinishangaza sana alivyoniambia eti wala nisibabaike na New York kwani eti ni kama Kahama tu ilivyo.

Ndo nikaanza kuilewa Kahama kua ipo level za Kina New York. Kahama ni Moto.
Nimetoka jana kahama-kagongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom