Kahama VS Njombe/Mafinga

Tuna muangalia tu huyu... anaejitia mwelevu

Kahama nimeanza kuiskia kitambo sana, tena nishaenda kwenye kufatilia statistcs kwenye taasis flan nikakuta kahama ipo,

Then baada ya kwenda kutembelea kahama nikaelewa kwann huwa inasifika.



...
 
Mufindi ina shule za sekondari 40 plus, nimeweka hapo reply No 1087, Kahama zipo ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kama haujui... mikoa mingi inayozunguka kahama watoto wengi wanaenda kusoma kahama, coz kuna shule nzuri sana pale tena zenye kufaulisha zaidi

Ingia mwenyew uangalie hzo shule sio mpk nikuwekee hapa,

Mjinga ambae hujui vitu, ila unaona wenzako hawajui

...
 
Tuna muangalia tu huyu... anaejitia mwelevu

Kahama nimeanza kuiskia kitambo sana, tena nishaenda kwenye kufatilia statistcs kwenye taasis flan nikakuta kahama ipo,

Then baada ya kwenda kutembelea kahama nikaelewa kwann huwa inasifika.



...
Umeleweka mkuu... labda walipanga kuto kuelewa na hawataelewa
 
Wengi wao katika wale wanaiponda Kahama, hawapajui wanaichukulia as wilaya ya shinyanga tuu, kumbe Kahama inajibeba kwa mambo mengine mengi ya kutosha
 
Ok,
Let me make it easy for everyone,
Mhjadala wetu usijikite kwenye kushindana na Ilala, ilala ina Mapato makubwa, that's owk, lakini pia Mapato yake yanaonekana katika maisha ya wakazi wa Ilala, meaning that Halmashauri ya Ilala imeendelea zaidi nchini,
Tuje kwenu ndugu zangu wa kahama ambao mnadai mnachangia serikali tukufu sawa kabisa na Ilala, (if apparently this happens to be true)
Ni kitu gani mnafanana na Ilala? Serikali hii sikivu haiwezi kuwakumbuka ikiwa mnachangia pato kubwa kwa Taifa kama unavyosema?

Point ni Kuwa , Mufindi imeendelea zaidi ya Kahama, na majibu ya haya yako wazi kabisa, Kilimo kina impact ya moja kwa moja kwa wahusika ambao ni wengi zaidi,
Madini hunufaisha watu wachache sana, naongea kwa experience,
Loji na Gesti zimejaa hapo kahama na kufanya uchangamfu wa mji na Bar kujaa hadi kunakucha it's ok ila hicho sio kipimo cha Maendeleo..
Nyomi yote hiyo hapo ni mwendo wa kubwa Madini na pesa za Madini mlizochimba hapo na kuacha mmezubaa na mahandaki yenu..
Mpaka hapa naamini nimeeleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi Takwamu? Nipe namba mbona mimi nimekupa? Na sina hakika kama kanda hiyo huwa mnaenda shule. Sina hakika kama mtu ataacha kupeleka mtoto Mbeya au Kilimanjaro au Kagera kusoma akampeleka Kahama, never heard of it.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takwimu zako zinaonesha mufindi imeizidi kahama kwamba iko chini ya ilala siku zote... sasa nazitaka hzo takwimu ili nami nikupe zangu

...
 
Njia yako ya kulinganisha miji inachekesha sana...unaweka picha za features zilizokuwepo toka enzi za adam...Weka picha za cbd yenu na kahama waweke yao tulinganishe... wewe unasema mlinganishe umeme na barabara sasa hapo mnalinganisha vipi..mkienda kimahaba sioni maana ya huu mjadala...
 
Dhahabu unaijua au unagugo tu bei mzee, usiongee vitu vilivyo nje ya uelewa wako,

Halafu fyi, Chai imefanya watu wa Mafinga wameendelea kuliko huko mashimoni, mavumbi tupu mnaishi kama wanyama. Umeona hizo picha lakini nimetuma?
Tuliza kichwa chako kwanza, ayupo aliyeandika madhabahu... then usirudie kulinganisha kahama na huo utumbo, huku gram ya dhahabu pure inaenda hadi k120, wee unatuletea wanaume story za kulima chai hapa... huko serious kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mii naijua na nilipo ndo dhahabu inapatikana, wee huijui! na ata fedha ya madini uijui wewe... Maana uwezi ukanletea habari za chai na uhandaaji wa mashamba... Ikiwa watu wanapiga mamilioni ya pesa kwa shift isiyochukua ata masaa kumi,
wanapembua wanafanya yao... na kingine Madini yanahitaji uwe mwanaume kweli kweli, Sio rahisi kushuka chini ya ardhi kama una uanaume thabiti, na ndio maana sishangai wengine kuamua kulima chai
 
Mufindi ni kati ya Halmashauri kumi kitaifa zinazochangia pato la taifa,
Ndio maana nimesema hamuijui nchi yenu.
Mifindi imeshakuwa ya pili mara kadhaa baada ya Ilala.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa unachekesha sana tuletee hizo takwimu zinazoonyesha mufindi ilikuwa ya pili baada ya Ilala
 
Nimeweka picha nyingi Sana, Viwanda, Mashamba makubwa, Mazingira, Nk
Sijui kama Hayo mashamba ya miti na Chai yalikuwepo kipindi cha Adam kama unavyodai,
Hata hivyo natambua sababu ya masomo duni, imewapelekea watu wa ukanda huo kuona dhahabu na hela as everything na mwishowe mmejikuta mnabaki kwenye umasikini wa kutupwa na dhahabu zikiwa zinatoweshwa na Wajanja,
Get this in your thick head that it takes human civilisation and realisation tu conserve the environment, na hili lazima lianze na Elimu, unlike huko kahama, watu wa Mufindi wamesoma na Elimu yao imewasaidia kuelewa umuhimu wa kutunza mazingiza hizi features na beautiful greenish landscapes zilizokuwepo tangu Mungu anaumba nchi ndio maana wewe unaweza ona mazingira kama haya leo 2020 kwa uelewa wako ukadhani labda ni kwa bahati mbaya, Sijui kama huko kahama hayo mahandaki baada ya wageni kuondoka na dhahabu huwa wanakumbuka kuyahifadhi kama sheria anavyowataka. Maana wenyeji ndio nyie hamuwezi kuona umuhimu wa hilo (Masomo duni), Ndio maana mtu mwingine anaponda kilimo cha chai na misitu humu bila kujua impact yake kwa Taifa kwa ujumla,

Mafinga imejengeka kuanzia miundombinu ya Barabara, Makazi, viwanda na miundombinu ya maji na umeme ni ya uhakika kama nilivyotupa picha,
hatuwezi sema eti kuna CBD mafinga au kahama, that's ridiculous, labda unasemea mikusanyiko ya viduka vya retail na machinga na stendi za mabasi, tuzungumzie maisha ya wakazi wa haya maeneo kwa ujumla maana hiki ndio kipimo sahihi cha Maendeleo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah, unajuaje kama siijui mzee, chai nalima na pesa ya dhahabu pia napiga kama kawaida, nankwa level yangu shimoni siingii, wewe endelea kuning'inia kwenye kamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah, unajuaje kama siijui mzee, chai nalima na pesa ya dhahabu pia napiga kama kawaida, nankwa level yangu shimoni siingii, wewe endelea kuning'inia kwenye kamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni vyema ukiendelea kujichekelezesha ivyo ivyo... maana umeshindwa kujibu hoja yamebaki matambo tu mara kwa level zangu siingii shimoni, ukitaka mjadala jibu ni lini Mufindi imemzidi Kahama kwa mapato na mzunguko wa pesa tutaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…