Mo shyner
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 464
- 1,114
"Siku zote Mama uwa anapendeza sana, nakuvutia kupita kiasi, Sabab kipato chake usaidia shida ndogo ndogo za kifamilia, Na mahitaji yake binafsi, Baba uwa yuko ovyo ovyo sana na sabab ya mda mwingi uangaika kuinua Pato la Familia... Ivyo sio mtu wakupendeza wala kujali ingawa Pato kubwa la kifamilia utoa yeye"Unakuta mtu anafanamisha mufindi na Machimboni, yaani unafanamisha Paradise na Sehemu za hovyo za Magulio
View attachment 1423122View attachment 1423123View attachment 1423124
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano 👆 nadhani Kahama ni Baba, usiamini sana unachokijua, Tafuta maelekezo uijue KAHAMA kiundani!
Karibu Golden City...