Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Unakuta mtu anafanamisha mufindi na Machimboni, yaani unafanamisha Paradise na Sehemu za hovyo za Magulio
View attachment 1423122View attachment 1423123View attachment 1423124

Sent using Jamii Forums mobile app
"Siku zote Mama uwa anapendeza sana, nakuvutia kupita kiasi, Sabab kipato chake usaidia shida ndogo ndogo za kifamilia, Na mahitaji yake binafsi, Baba uwa yuko ovyo ovyo sana na sabab ya mda mwingi uangaika kuinua Pato la Familia... Ivyo sio mtu wakupendeza wala kujali ingawa Pato kubwa la kifamilia utoa yeye"

Kwa mfano 👆 nadhani Kahama ni Baba, usiamini sana unachokijua, Tafuta maelekezo uijue KAHAMA kiundani!
Karibu Golden City...
 
Sijui hata kama unaelewa unachokisema, Inawezekana hujui kama mimi naijua biashara ya Madini, wewe unasimuliwa ila mimi nimeajiri vijana. Hii biashara haina maslahi kwa vijana walio wengi na wanaochimba, kuanzia ugumu wa kazi yenyewe na mazingira yake kwa ujumla, only a buyer makes it to the bank, na bahari mbaya wanunuzi wengi sio wazawa, na kama utaona ndugu yako anaenda huko mpe ushauri afanye kilimo cha kisasa,
Ukiangalia katika upana wake Kilimo kina impact kubwa kwa jamii kuliko Madini, ndio maana Mufindi imeendelea zaidi ya Kahama au Chunya licha ya kuwa kilo za dhahabu zinapatikana huko kila siku,
Kijana anaefanya kilimo ataendelea haraka kuliko anaechimba dhahabu.
"Siku zote Mama uwa anapendeza sana, nakuvutia kupita kiasi, Sabab kipato chake usaidia shida ndogo ndogo za kifamilia, Na mahitaji yake binafsi, Baba uwa yuko ovyo ovyo sana na sabab ya mda mwingi uangaika kuinua Pato la Familia... Ivyo sio mtu wakupendeza wala kujali ingawa Pato kubwa la kifamilia utoa yeye"

Kwa mfano [emoji115] nadhani Kahama ni Baba, usiamini sana unachokijua, Tafuta maelekezo uijue KAHAMA kiundani!
Karibu Golden City...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku kahama ikifikia hatua ya kuwa na Viwanda hapo tutakaa na kuzungumza, ila kwa sasa kahama ni mji wa mavumbi na umasikini kama vile tunduma, ile order na mpangilio na mfumo mzuri wa maisha ya watu uliopo sehemu kama Mufindi, au Njombe au Tukuyu bado sana. Hapo Wajanja tunakuja kuchukua pesa za Madini na kufanyia matumizi Dar.
Na hii SGR italeta balaa sana.

Kuna maeneo ya logistic centers tatu tayari yametengwa.

Kutokana na hizo nchi mbili kutoaminika sana kwenye suala la amani,Khm ina nafasi kubwa kupata viwanda vinavyolenga soko la Rwanda na Burundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui hata kama unaelewa unachokisema, Inawezekana hujui kama mimi naijua biashara ya Madini, wewe unasimuliwa ila mimi nimeajiri vijana. Hii biashara haina maslahi kwa vijana walio wengi na wanaochimba, kuanzia ugumu wa kazi yenyewe na mazingira yake kwa ujumla, only a buyer makes it to the bank, na bahari mbaya wanunuzi wengi sio wazawa, na kama utaona ndugu yako anaenda huko mpe ushauri afanye kilimo cha kisasa,
Ukiangalia katika upana wake Kilimo kina impact kubwa kwa jamii kuliko Madini, ndio maana Mufindi imeendelea zaidi ya Kahama au Chunya licha ya kuwa kilo za dhahabu zinapatikana huko kila siku,
Kijana anaefanya kilimo ataendelea haraka kuliko anaechimba dhahabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiachana na kuinua mtu mmoja mmoja, Vipi uchangiaji wa mapato kitaifa? unataka kutuaminisha mufindi inachangia pato kubwa kuizidi kahama?
 
Vingine mkubali mko nyuma, wachimbaji na shule wapi na wapi
Huyo jamaa anaandika tu ili aonekane kaandika Ila hajui hata anachojadili.

Eti hakuna shule za Secondary hata mbili Kahama! WTF?
Screenshot_20200419-132305_Samsung%20Internet.jpeg
Screenshot_20200419-132327_Samsung%20Internet.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui hata kama unaelewa unachokisema, Inawezekana hujui kama mimi naijua biashara ya Madini, wewe unasimuliwa ila mimi nimeajiri vijana. Hii biashara haina maslahi kwa vijana walio wengi na wanaochimba, kuanzia ugumu wa kazi yenyewe na mazingira yake kwa ujumla, only a buyer makes it to the bank, na bahari mbaya wanunuzi wengi sio wazawa, na kama utaona ndugu yako anaenda huko mpe ushauri afanye kilimo cha kisasa,
Ukiangalia katika upana wake Kilimo kina impact kubwa kwa jamii kuliko Madini, ndio maana Mufindi imeendelea zaidi ya Kahama au Chunya licha ya kuwa kilo za dhahabu zinapatikana huko kila siku,
Kijana anaefanya kilimo ataendelea haraka kuliko anaechimba dhahabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kingine natilia mashaka kauli zako, unadai umeajili vijana katika biashara ya madini... Nisamehee kwa kukwambia uijui biashara ya madini wewe! Nani ambaye anaweza kuacha kuipiga pesa ndefu kwa gram's za madini tu, Halafu akatafute pesa kwenye Tani za kilimo?
 
Mufindi ni kati ya Halmashauri kumi kitaifa zinazochangia pato la taifa,
Ndio maana nimesema hamuijui nchi yenu.
Mifindi imeshakuwa ya pili mara kadhaa baada ya Ilala.
Tukiachana na kuinua mtu mmoja mmoja, Vipi uchangiaji wa mapato kitaifa? unataka kutuaminisha mufindi inachangia pato kubwa kuizidi kahama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui hata kama unaelewa unachokisema, Inawezekana hujui kama mimi naijua biashara ya Madini, wewe unasimuliwa ila mimi nimeajiri vijana. Hii biashara haina maslahi kwa vijana walio wengi na wanaochimba, kuanzia ugumu wa kazi yenyewe na mazingira yake kwa ujumla, only a buyer makes it to the bank, na bahari mbaya wanunuzi wengi sio wazawa, na kama utaona ndugu yako anaenda huko mpe ushauri afanye kilimo cha kisasa,
Ukiangalia katika upana wake Kilimo kina impact kubwa kwa jamii kuliko Madini, ndio maana Mufindi imeendelea zaidi ya Kahama au Chunya licha ya kuwa kilo za dhahabu zinapatikana huko kila siku,
Kijana anaefanya kilimo ataendelea haraka kuliko anaechimba dhahabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatz lako una andika kwa mapenz...

Hv unajua kahama kuna shule ngap! Una uhakika hakuna kiwanda kahama!

Ukwel ni kwamba huwez ishi kahama then utaman kuishi mufindi.

Kahama nakujua vzuri japo sio mkazi wa huko.

Mpaka hapa naona... unaongelea mapenz

...
 
Mufindi ni kati ya Halmashauri kumi kitaifa zinazochangia pato la taifa,
Ndio maana nimesema hamuijui nchi yenu.
Mifindi imeshakuwa ya pili mara kadhaa baada ya Ilala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu sijui kwanini tu, Watu ambao unakuta elimu awana ndo uwa wanakimbilia kujitia wana elimu... Iko hivi fatilia uelewa kama mufindi imekuwa ya pili chini ya ilala kwa mara moja, Nakujuza hiyo Kahama inapishana na Ilala kwa miaka mingi tu, Kama mufindi imewahi kuwa ya pili... Kahama ishakuwa ya pili kwa muda tu!
 
Kabla sijakupeleka ninakotaka, Nikuulize swali moja simple,
Unajua ni kiasi gani serikali inakusanya toka kwenye Madini (collectively)
Na kwa Ilala unajua bandari inaingiza kiasi gani kwa mwezi, unadhani una akili ya kujibizana na mimi kweli?
Halafu sijui kwanini tu, Watu ambao unakuta elimu awana ndo uwa wanakimbilia kujitia wana elimu... Iko hivi fatilia uelewa kama mufindi imekuwa ya pili chini ya ilala kwa mara moja, Nakujuza hiyo Kahama inapishana na Ilala kwa miaka mingi tu, yani mufindi iliyo wahi kuwa ya pili Kahama ishakuwa ya pili kitaifa kwa muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But watu wa kahama are so stupid, sorry for saying so,
Nilidhani labda uzi huu ungewafungua macho lakini wapi, mnakomalia ubishi wa kishamba sana, sababu ya ushamba hadi vichwani mwenu,
Labda niwashari kitu watu wa Kahama, ni kweli Kahama kuna utajiri mkubwa wa Dhahabu, lakini sijui kama huwa mnajiuliza nani ananufaika na hii pesa ya dhahabu ikiwa hali ya wenyeji ni kawaida sana,
Nitawapa mfano wa DRC ilivyo maskini halafu Madini yake yanatajirisha Belgium na Ufaransa Nk
Kwa utajiri wa dhahabu uliopo Kahama, ingefaa kahama iwe ni sehemu ya tofauti kabisa, hii ni wazi watu tunajaa kwenye hizo Loji kubabe pesa zenu na kusepa nazo kufanyia matumizi Dar, Nairobi na kwengineko Duniani,
Kaeni chini mjiulize pesa za Madini zinaenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kumbe wewe ni mnya mwima eti... Mbona unatukana watu sasa? mii nmeishia hapa kwa leo.
 
Mufindi ina shule za sekondari 40 plus, nimeweka hapo reply No 1087, Kahama zipo ngapi?
Tatz lako una andika kwa mapenz...

Hv unajua kahama kuna shule ngap! Una uhakika hakuna kiwanda kahama!

Ukwel ni kwamba huwez ishi kahama then utaman kuishi mufindi.

Kahama nakujua vzuri japo sio mkazi wa huko.

Mpaka hapa naona... unaongelea mapenz

...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla sijakupeleka ninakotaka, Nikuulize swali moja simple,
Unajua ni kiasi gani serikali inakusanya toka kwenye Madini (collectively)
Na kwa Ilala unajua bandari inaingiza kiasi gani kwa mwezi, unadhani una akili ya kujibizana na mimi kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka ulipo tusi tu...nkajua wewe ni kibiringisha mavi, hakuna mjadala Tena hapa.
 
Wajinga, mimi nataka wafunguke macho ila wanakaa kubishana, na ushamba vichwani.
Kuna fala mmoja anajisifu eti kahama inakusanya Mapato sawa na Ilala, ila bahati mbaya anashindwa hata kyhoji tofauti ya level ya Maendeleo kati ya Ilala na hiyo kahama ikiwa ni kweli wana Mapato yanayolingana..
Nilidhani labda watu wataanza kujiuliza hela za Madini zinaenda wapi ikiwa Mufindi kwa Kilimo tu wanaweza fika walipofika..
Mimi ni mkazi wa Kilolo.
Halafu kumbe wewe ni mnya mwima eti... Mbona unatukana watu sasa? Kilaza kutoka mufindi, mii nmeishia hapa kwa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa faza kuna mji unajengeka kama hakuna pesa? watu wanajengewa na suma jkt au? pangekuwa pagumu usingeona magorofa yanasimama daily,ingekuwa kama huko kahama mnakosema kuna pesa but life ni hovyo..nikiwaambia Kahama ni mji wa wachuuzi kama gulio mnabisha
Wapi huko kwenye maghorofa😆😆
 
Back
Top Bottom