Nimeweka picha nyingi Sana, Viwanda, Mashamba makubwa, Mazingira, Nk
Sijui kama Hayo mashamba ya miti na Chai yalikuwepo kipindi cha Adam kama unavyodai,
Hata hivyo natambua sababu ya masomo duni, imewapelekea watu wa ukanda huo kuona dhahabu na hela as everything na mwishowe mmejikuta mnabaki kwenye umasikini wa kutupwa na dhahabu zikiwa zinatoweshwa na Wajanja,
Get this in your thick head that it takes human civilisation and realisation tu conserve the environment, na hili lazima lianze na Elimu, unlike huko kahama, watu wa Mufindi wamesoma na Elimu yao imewasaidia kuelewa umuhimu wa kutunza mazingiza hizi features na beautiful greenish landscapes zilizokuwepo tangu Mungu anaumba nchi ndio maana wewe unaweza ona mazingira kama haya leo 2020 kwa uelewa wako ukadhani labda ni kwa bahati mbaya, Sijui kama huko kahama hayo mahandaki baada ya wageni kuondoka na dhahabu huwa wanakumbuka kuyahifadhi kama sheria anavyowataka. Maana wenyeji ndio nyie hamuwezi kuona umuhimu wa hilo (Masomo duni), Ndio maana mtu mwingine anaponda kilimo cha chai na misitu humu bila kujua impact yake kwa Taifa kwa ujumla,
Mafinga imejengeka kuanzia miundombinu ya Barabara, Makazi, viwanda na miundombinu ya maji na umeme ni ya uhakika kama nilivyotupa picha,
hatuwezi sema eti kuna CBD mafinga au kahama, that's ridiculous, labda unasemea mikusanyiko ya viduka vya retail na machinga na stendi za mabasi, tuzungumzie maisha ya wakazi wa haya maeneo kwa ujumla maana hiki ndio kipimo sahihi cha Maendeleo.
Njia yako ya kulinganisha miji inachekesha sana...unaweka picha za features zilizokuwepo toka enzi za adam...Weka picha za cbd yenu na kahama waweke yao tulinganishe... wewe unasema mlinganishe umeme na barabara sasa hapo mnalinganisha vipi..mkienda kimahaba sioni maana ya huu mjadala...
Sent using
Jamii Forums mobile app