Kahama VS Njombe/Mafinga

Wameulizwa huko,pesa ya madini inaenda wapi? hakuna jibu..Walivyo mburura hawajui kuwa tukipata pesa ya mbao ndo tunakuja kununua hayo madini yao na tunajenga kwetu.Mtu mstaarabu hawezi ishi migodini huko kumejaa wahuni wachimaji wamekata tamaa na maisha
 
We want things happen on grounds sio wishful thinking na porojo mkuu..Tukianza kutaja kilichopangwa kwa kila mji hutoweza kuhimili.Tunduma pale pamejaa ma yard na malori mara kumi ya huko Kahama lakini Tunduma sio mji bora kupita Kahama au Tunduma
Mkuu nilikuwa naongezea tu kwenye maelezo ya huyo mdau halafu mbona mjadala umejaa porojo tu toka mwanzo!

FYI:Logistic centers tayari ujenzi unaendelea Nyashimbi.
 
Tukiachana na kuinua mtu mmoja mmoja, Vipi uchangiaji wa mapato kitaifa? unataka kutuaminisha mufindi inachangia pato kubwa kuizidi kahama?
Sio tu kuwaaminisha ila ndio ukweli wenyewe,nimesema hapo kwamba kwa makusanyo ya ndani mwaka 2018/19 wilaya ya Mufindi(mafinga town & mufindi dc) kwa pamoja zilikusanya zaidi ya 8.7bln ,nje ya mapato ya TRA,Watu wa misitu nk..Hii ni sifa ya Mufindi miaka yote
 
Muda gani na lini? weka source acha porojo
 
Aya tufanye ndio hivyo,ehee hizo pesa zote zinaenda wapi maana you are so poor in every aspects..
 
Mkuu nilikuwa naongezea tu kwenye maelezo ya huyo mdau halafu mbona mjadala umejaa porojo tu toka mwanzo!

FYI:Logistic centers tayari ujenzi unaendelea Nyashimbi.
Kiwanda cha nguzo za tanesco kiko mafinga nyie endeleeni tu na kujenga logistics
 


Bahati nzuri mie nimeishi huko hizo shule walizoweka zote nazijua kbs..zingine zilipata ufadhili kupitia dingilai...! Maisha ya wanamufindi ni.magumu asikuambie mtu..sem wenyewe wanakumbuka kujenga nyumba za mabati bora...lakini mie leo unitoe kahama unibwage huko Isalavanu nehi!
 
Leta hizo takwimu hapa sio unaletea takwimu za kutoka kwenye kichwa chako
 

Kwa hiyo wote waliamua kuweka makazi yao kahama sio wastaarabu?
 


Nilikua na mawazo kama yako..walioko migodini wamekata tamaa ya maisha!...hahhaa....ukiorodheshewa wakubwa walioko migodini utashaa!..kifupi huko wngine ndo wamerudisha heshima zao!...usikariri aisee!
 

Mi naona mengine ni kama mnafanya utani jamani!!
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ziko wapi shule za Huko kahama?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua na mawazo kama yako..walioko migodini wamekata tamaa ya maisha!...hahhaa....ukiorodheshewa wakubwa walioko migodini utashaa!..kifupi huko wngine ndo wamerudisha heshima zao!...usikariri aisee!

Kuna comment moja nimekutana nayo huko mwanzoni mwanzoni huyo jamaa anasema eti kahama hakuna hospitali πŸ˜‚

Daaaah hata kama chuki sio hivo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…