Sijui hata kama unaelewa unachokisema, Inawezekana hujui kama mimi naijua biashara ya Madini, wewe unasimuliwa ila mimi nimeajiri vijana. Hii biashara haina maslahi kwa vijana walio wengi na wanaochimba, kuanzia ugumu wa kazi yenyewe na mazingira yake kwa ujumla, only a buyer makes it to the bank, na bahari mbaya wanunuzi wengi sio wazawa, na kama utaona ndugu yako anaenda huko mpe ushauri afanye kilimo cha kisasa,
Ukiangalia katika upana wake Kilimo kina impact kubwa kwa jamii kuliko Madini, ndio maana Mufindi imeendelea zaidi ya Kahama au Chunya licha ya kuwa kilo za dhahabu zinapatikana huko kila siku,
Kijana anaefanya kilimo ataendelea haraka kuliko anaechimba dhahabu.
Sent using
Jamii Forums mobile app