Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Wachimbaji hawana acounts mzee, wakishakamtisha dhahabu kwenye mercury wanapima wanapewa chao wanaenda kupiga gambe na malaya hadi kuchele,
Kumbuka huchukua kazi ya zaidi ya wiki kupasua mwamba, kulainisha mawe na kusaga hadi kukamatisha, na hapo nimechukulia kama tayari ni shimo lenye hela, vinginevyo kama ni shimo jipya inawezakuwa ni kazi ya mwezi mzima kupasua miamba kwa Sululu na Nyundo za kilo 20 hadi kuufikia mwamba,
Mwenye crem hapo ndio pengine anakuwa na acount, na anapiga hela kiulaini, wenye bank acount ni 1% ya wafanya biashara wa hii Industry, wamiliki wa plants na wenye machine ndogo ndogo kama crashers (hapa nazungumzia wachimbaji wadogo na wa kati ambao ni kama 99.99% ya wachimbaji wote wa dhahabu Tz)
Wale wenye mitaji ndio wanaopiga hizo pesa za dhahabu, hapa dar kule posta ni 99% Indians wameshika biashara ya dhahabu,
Kwaiyo point yako ya Acount za hao wachache kujaa hela haina maana sababu pesa haina impact kwenye Jamii, na hapa ndio tofauti ya Mafinga na Kahama inatokea.
Chek akaunti zao utashangaa mpka ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah basi kuna watu wana acc mkuu
 
Mwingine nae anadis kwa habari ya shule....mweeeeh!
Coroba ikiisha watoto wakifungua shule mkaribishe umpeleke pale Anderlek ridges akasimame getini aone wakishua wanaoingia pale wakoje. Atashaaaa...!!!

😅😅hawaelewi hawa!...kuwaonea huruma tu
 
Kwa hiyo unataka waache kujenga eti kisa Mafinga kipo cha nguzo za tanesco? Au una maanisha nini?
We jamaa punguza wivu 😂
sina maana hiyo ila nilikuwa najaribu kukueleza kuwa kila mji kuna mipango ya uendelezaji wake ko tujadili mambo yaliyokamilika
 
Nilikua na mawazo kama yako..walioko migodini wamekata tamaa ya maisha!...hahhaa....ukiorodheshewa wakubwa walioko migodini utashaa!..kifupi huko wngine ndo wamerudisha heshima zao!...usikariri aisee!
Hao wakubwa ni pamoja na sisi wenye mazao ya misitu,tunazungumzia maisha ya watu wa kawaida..Tufanye mna pesa,haya pesa ya madini inaenda wapi maana huko mumepauka sana
 
Watu wangu wa Njombe asanteni kwa ushiriki wenu kwenye hii thread, ningependa kuhitimisha mada hii kwa kuja taarifa kutoka kwa Waziri wa Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa TAMISEMI ,Mhe.Seleman Jafo. Tanzania nzima maeneo yaliyokizi vigezo vya kuwa Manispaa ni matatu tu.

Waziri wa TAMISEMI Mhe.Seleman Jafo amesema Serikali inatambua maeneo matatu hapa nchini ambayo serikali ipo katika mchakato wa kupandisha hadhi kuwa Manispaa kutokana na kukidhi vigezo vya kujitosheleza kimapato.

Mhe.Jafo ameyataja maeneo hayo kuwa ni pamoja na halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga,Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoani Pwani na Halmashauri ya mji wa Geita mkoani Geita na muda wowote kuanzia sasa maeneo hayo yatapandishwa hadhi kuwa Manispaa pindi mchakato utakapokamilika.

Na kwa taarifa yenu kwa kanda ya ziwa baada ya Mwanza Jiji (Rock city) mji unaofuata kwa shughuli za kibiashara ni Kahama mjini yaani hata Geita mji, Bukoba mji, Shinyanga Mji na Musoma mji, Bariadi mji (Simiyu) wanasubiri sana.

MKOME KULIGANISHA DHAHABU NA MISITU

Kahama VS Njombe/Mafinga - JamiiForums

1587321612954.png
 
View attachment 1424014
Uzi ufungwe, umemaliza mkuu [emoji110]
 
Mkuu umekuja kweli umekuja kuhutimisha... na Ahsante sana, Wengi wao walikuwa awaijui Kahama iko vipi, nadhani wamepata picha sasa!
 
Mwingine nae anadis kwa habari ya shule....mweeeeh!
Corona ikiisha watoto wakifungua shule mkaribishe umpeleke pale Anderlek ridges akasimame getini aone wakishua wanaoingia pale wakoje. Atashaaaa...!!!
Toka waseme kahama akuna shule nkashituka... nkajua najibishana na watu wasio ijua Kahama, Kahama kuna shule zinapokea wanafunzi kutoka nchi zingine za east East Africa acha tz pekee, Kama Rocken Hill Academy na Kwema Primary ambayo iliwahi kuwa ya Kwanza kitaifa kabisa, halafu mtu anasema akuna ata shule huko, utamjibuje sasa?
 
Watu wangu wa Njombe asanteni kwa ushiriki wenu kwenye hii thread, ningependa kuhitimisha mada hii kwa kuja taarifa kutoka kwa Waziri wa Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa TAMISEMI ,Mhe.Seleman Jafo. Tanzania nzima maeneo yaliyokizi vigezo vya kuwa Manispaa ni matatu tu.

Waziri wa TAMISEMI Mhe.Seleman Jafo amesema Serikali inatambua maeneo matatu hapa nchini ambayo serikali ipo katika mchakato wa kupandisha hadhi kuwa Manispaa kutokana na kukidhi vigezo vya kujitosheleza kimapato.

Mhe.Jafo ameyataja maeneo hayo kuwa ni pamoja na halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga,Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoani Pwani na Halmashauri ya mji wa Geita mkoani Geita na muda wowote kuanzia sasa maeneo hayo yatapandishwa hadhi kuwa Manispaa pindi mchakato utakapokamilika.

Na kwa taarifa yenu kwa kanda ya ziwa baada ya Mwanza Jiji (Rock city) mji unaofuata kwa shughuli za kibiashara ni Kahama mjini yaani hata Geita mji, Bukoba mji, Shinyanga Mji na Musoma mji, Bariadi mji (Simiyu) wanasubiri sana.

MKOME KULIGANISHA DHAHABU NA MISITU

Kahama VS Njombe/Mafinga - JamiiForums

View attachment 1424014
Kahama ndio wilaya yenye uchumi mkubwa kuliko wilaya zote tanzania na mikoa kadhaa,kahama kuna bank nane kwahiyo kwa hilo tu utaona mzunguko wa kibiashara uko juu.
Kukuta bank kama DTB,BOA wako jua kuna kituo wameona,ukiacha hao crdb,nmb,nbc,tpb,access bank wote wapo kahama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom