Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mie zinanichefua..alafu ni -me-KO=kama vipi ondoka,lugha za kislay queen.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie zinanichefua..alafu ni -me-KO=kama vipi ondoka,lugha za kislay queen.
Watu wangu wa Njombe asanteni kwa ushiriki wenu kwenye hii thread, ningependa kuhitimisha mada hii kwa kuja taarifa kutoka kwa Waziri wa Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa TAMISEMI ,Mhe.Seleman Jafo. Tanzania nzima maeneo yaliyokizi vigezo vya kuwa Manispaa ni matatu tu.
Waziri wa TAMISEMI Mhe.Seleman Jafo amesema Serikali inatambua maeneo matatu hapa nchini ambayo serikali ipo katika mchakato wa kupandisha hadhi kuwa Manispaa kutokana na kukidhi vigezo vya kujitosheleza kimapato.
Mhe.Jafo ameyataja maeneo hayo kuwa ni pamoja na halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga,Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoani Pwani na Halmashauri ya mji wa Geita mkoani Geita na muda wowote kuanzia sasa maeneo hayo yatapandishwa hadhi kuwa Manispaa pindi mchakato utakapokamilika.
Na kwa taarifa yenu kwa kanda ya ziwa baada ya Mwanza Jiji (Rock city) mji unaofuata kwa shughuli za kibiashara ni Kahama mjini yaani hata Geita mji, Bukoba mji, Shinyanga Mji na Musoma mji, Bariadi mji (Simiyu) wanasubiri sana.
MKOME KULIGANISHA DHAHABU NA MISITU
Kahama VS Njombe/Mafinga - JamiiForums
View attachment 1424014
Kwa akili hizi ndo maana hadi leo hamna supermarket😆😆😆😆!!!Tamisemi yawezekana kuna bias sana.
Wewe kwa akili zako zaidi ya dhahabu kitu gani kinaingizia pato la Taifa toka kahama?
Mimi nakutajia Mufindi
1. Mbao
2. Magogo
3. Pareto
4. Chai
5. Mchele
6. Mahindi
Mafinga
Wachimbaji hawana acounts mzee, wakishakamtisha dhahabu kwenye mercury wanapima wanapewa chao wanaenda kupiga gambe na malaya hadi kuchele,
Kumbuka huchukua kazi ya zaidi ya wiki kupasua mwamba, kulainisha mawe na kusaga hadi kukamatisha, na hapo nimechukulia kama tayari ni shimo lenye hela, vinginevyo kama ni shimo jipya inawezakuwa ni kazi ya mwezi mzima kupasua miamba kwa Sululu na Nyundo za kilo 20 hadi kuufikia mwamba,
Mwenye crem hapo ndio pengine anakuwa na acount, na anapiga hela kiulaini, wenye bank acount ni 1% ya wafanya biashara wa hii Industry, wamiliki wa plants na wenye machine ndogo ndogo kama crashers (hapa nazungumzia wachimbaji wadogo na wa kati ambao ni kama 99.99% ya wachimbaji wote wa dhahabu Tz)
Wale wenye mitaji ndio wanaopiga hizo pesa za dhahabu, hapa dar kule posta ni 99% Indians wameshika biashara ya dhahabu,
Kwaiyo point yako ya Acount za hao wachache kujaa hela haina maana sababu pesa haina impact kwenye Jamii, na hapa ndio tofauti ya Mafinga na Kahama inatokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole dadaa ndio walimwengu*Mie zinanichefua..alafu ni -me-
Kesho kahama ni Municipal council na Njombe collabo Mufindi bado ni Town council hamjafikiliwa yaani. TAMISEMI wakaiona Kibaha ni bora iwe Municipal concil kuliko Njombe collabo Mufindi?????? Nyie level yenu kata ya Kagongwa tu,
For your information Level yangu ya uelewa ipo sawa kabisa na wizara ya TAMISEMI tu.
KAHAMA SIO LEVEL ZA NJOMBE Featuring MUFINDI.
Hulda-Tamarri acha kubishana naye...mtu nikiona anaandika "ko" naonaga ana shida tayari upstairs!...umri huo unaandika "ko"... Stands for??
Kahama ndio wilaya yenye uchumi mkubwa kuliko wilaya zote tanzania na mikoa kadhaa,kahama kuna bank nane kwahiyo kwa hilo tu utaona mzunguko wa kibiashara uko juu.
Kukuta bank kama DTB,BOA wako jua kuna kituo wameona,ukiacha hao crdb,nmb,nbc,tpb,access bank wote wapo kahama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kujua km za mwanza -shinyanga sio lazima uishi miaka yote hiyo.Sio mbali wewe nimeishi mwanza 3 yrs ni only 160 km to Shinyanga
Miji hiyo kupitwa au hapana ni factor ya growth rate ambapo kwa sasa iko favourable kwa Njombe kuliko Songea na Iringa ko tofautisha kukimbia na kutembea.Imagine barabara ya Njombe Ifakara na Njombe kudewa mbamba bay na Njombe makete Mbeya zikikamilika hiyo speed ya ukuaji itakuwa mara mbili ya sasa wakati Iringa na Songea hakuna jipya barabara zake kuu ziko operational tayari
Huj
Hujui kitu wewe tunapanda kahawa ya kuzidi Ludewa no matter Njombe yenyewe ulifika miaka mingi afu unatoa ushuzi hapa.Hakuna biashara inashuka kila siku hizo ni normal price fluctuations
Review previous postsMngekuwa nayo mngekuwa mnapost mashamba
Kwani hao wenye mitaji wanaopiga hela ni kina nani? Kahama hawapo? [emoji23][emoji23] yaani we na mwenzio mnanichekesha sana! Basi hapo unataka kuaminisha watu kuwa wote wanaofanya biashara ya madini kahama ni washika sululu tu! [emoji23]
Hivi hujui kama kuna watu ni madon kazi yao kudhamini tu kazi ikikamilika anakula chake anatambaa anaenda tena kudhamini kwingine? Jitu unakuta lina duara kama zotee kazi yake kugawa noti tu shughuli inatembea kama kawa! Nikujuze tu hao wahindi unaojivunia ([emoji23]) mpaka waje waipate hio dhahabu kuna watabe wanakuwa wameshapiga cha juu mapemaaa!
Talking of acc, miaka kadhaa nyuma kabla hawajazuiliwa people used to kwenda bank na mifuko ya sandarusi au mabox ya pesa. Wanakwepa kuibiwa maana lasketi zilikuwa zishakaririwa sana. (Kama una jamaa yako huko anafanya kazi bank muulize atakwambia)
Mngekuwa nayo mngekuwa mnapost mashamba
We kweli mbayuwai mkuu,Kwa taarifa yako kama kigeo ni mapato tuu basi Lindi,Mpanda,Songea,Singida nk isingekuwa Manicipal councils.We fika tu, TAMISEMI inaitambua miji mitatu tu iliyokidhi hadhi ya kuwa Manispaa Tanzania nzima ambayo ni Kahama, Geita na Kibaha na kigezo kimoja wapo ni uwezo wa mji kujitosheleza kimapato kwa zaidi ya 70%. Mkome kulinganisha Kahama na vitu vya kijinga, Kahama sio level za Njombe/ Mafinga labda mjilinganishe na kata ya Kagongwa.
Shule wanazosoma watoto wa kisukuma Kahama
View attachment 1424248
View attachment 1424251
View attachment 1424252
View attachment 1424254
View attachment 1424258
View attachment 1424260
View attachment 1424264
Shule ya Kata Nyashimbi Sekondari
View attachment 1424266
Pesa za dhahabu zinaenda wapi mbona mumetopea kwenye umaskini?Kweli mtu ufia chake! Yani unaringanisha dhahabu na kitu unachoweza kukipata popote? nani akitaka magogo au mahindi anaweza kukosa? Dhahabu ni urithi asilia na hailimwi bali utafutwa! ndo maana unaona wazungu wakija kuifata... kwanini wasilime kwao kama mahindi na wao wakawa nayo?
Vigezo vya kitaalam vitaangaliwa zaidi ya ishu ya mapato tuu,kama ni mapato tu ondoa uchafu wa Kibaha town maani inapigwa chini tena mbaaali na Mafinga,Njombe nk..Na kama ishu ni mapato tuu Geita iko mbali sana ya KahamaWatu wangu wa Njombe asanteni kwa ushiriki wenu kwenye hii thread, ningependa kuhitimisha mada hii kwa kuja taarifa kutoka kwa Waziri wa Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa TAMISEMI ,Mhe.Seleman Jafo. Tanzania nzima maeneo yaliyokizi vigezo vya kuwa Manispaa ni matatu tu.
Waziri wa TAMISEMI Mhe.Seleman Jafo amesema Serikali inatambua maeneo matatu hapa nchini ambayo serikali ipo katika mchakato wa kupandisha hadhi kuwa Manispaa kutokana na kukidhi vigezo vya kujitosheleza kimapato.
Mhe.Jafo ameyataja maeneo hayo kuwa ni pamoja na halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga,Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoani Pwani na Halmashauri ya mji wa Geita mkoani Geita na muda wowote kuanzia sasa maeneo hayo yatapandishwa hadhi kuwa Manispaa pindi mchakato utakapokamilika.
Na kwa taarifa yenu kwa kanda ya ziwa baada ya Mwanza Jiji (Rock city) mji unaofuata kwa shughuli za kibiashara ni Kahama mjini yaani hata Geita mji, Bukoba mji, Shinyanga Mji na Musoma mji, Bariadi mji (Simiyu) wanasubiri sana.
MKOME KULIGANISHA DHAHABU NA MISITU
Kahama VS Njombe/Mafinga - JamiiForums
View attachment 1424014
Tatizo lenu u much know mwingi sana...Pesa za dhahabu zinaenda wapi mbona mumetopea kwenye umaskini?