game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Wachimbaji hawana acounts mzee, wakishakamtisha dhahabu kwenye mercury wanapima wanapewa chao wanaenda kupiga gambe na malaya hadi kuchele,
Kumbuka huchukua kazi ya zaidi ya wiki kupasua mwamba, kulainisha mawe na kusaga hadi kukamatisha, na hapo nimechukulia kama tayari ni shimo lenye hela, vinginevyo kama ni shimo jipya inawezakuwa ni kazi ya mwezi mzima kupasua miamba kwa Sululu na Nyundo za kilo 20 hadi kuufikia mwamba,
Mwenye crem hapo ndio pengine anakuwa na acount, na anapiga hela kiulaini, wenye bank acount ni 1% ya wafanya biashara wa hii Industry, wamiliki wa plants na wenye machine ndogo ndogo kama crashers (hapa nazungumzia wachimbaji wadogo na wa kati ambao ni kama 99.99% ya wachimbaji wote wa dhahabu Tz)
Wale wenye mitaji ndio wanaopiga hizo pesa za dhahabu, hapa dar kule posta ni 99% Indians wameshika biashara ya dhahabu,
Kwaiyo point yako ya Acount za hao wachache kujaa hela haina maana sababu pesa haina impact kwenye Jamii, na hapa ndio tofauti ya Mafinga na Kahama inatokea.
Sent using Jamii Forums mobile app

Chek akaunti zao utashangaa mpka ubarikiwe
Sent using Jamii Forums mobile app