Kahama VS Njombe/Mafinga

Utapoteza nguvu zako bure humu maana hata uwaeleweshe vipi hawatoelewa.
Kuna ubishani usio na sababu za msingi, wakubalie kanda ya ziwa ipo chini ya kanda ya kusini kimaendeleo ili wafurahie maana haitobadili ukweli
 
What you know is porojo since post no.1 hakuna mnachopost kama ushahidi zaidi ya blaa blaa kibao na kulalamika na kutoa mapovu
Nimetoa hadi majedwali ya takwimu lakini wapi..Ona hii summary makusanyo kwa mikoa mitano kwa mapato 2018/2019 harafu fanya hesabu with respect to populatio.Picha gani mnapata hapo?
1.DAR=163.5bln
2.Dodoma=82.7bln
3.Mwanza=32.6bln
4.Arusha=31.9bln
5.Mbeya=31.4 bln
 
Precision air Kanda ya ziwa inatua kwenye viwanja vinne tu, Bukoba, Mwanza, Musoma na Kahama tu, hivyo viwanja karibia vyote ndege zinatua ikiwemo Air Tanzania vipo kwenye Makao makuu ya Mkoa na sio wilayani na kama ilivyo kwa Kahama.

Kahama mjini pia kuna petrol filling Station zaidi ya 20+ tuletee na hesabu ya Njombe..

What you know is porojo since post no.1 hakuna mnachopost kama ushahidi zaidi ya blaa blaa kibao na kulalamika na kutoa mapovu

Mkuu nishawahi kuchangia previously humu na nikaona napoteza muda tu.

Kwanza ulinambia wewe sio mkenya na nkakubali remember..
secondly kahama nimepita tu so huwa siwezi changia mengi ila kusini nimekaa zaidi ya miaka minne na lake zone ni play ground yangu so, hunidanganyi CHOCHOTE

Siwezi kupoteza nguvu kubishana kwa vitu obvious.

1. Ila niwapongeze wakinga kwa kuja juu kibiashara

2. Wakusini pia mmepata cha kuongelea maana mlikuwa mnajihisi inferior sana kwa wageni

3. Hope mmepunguza pia imani za kishirikina
 
TRA hao hapo chini,wewe endelea kuleta porojo zako mimi nakupa data na facts
 
Attachments

Tupe aerial view😅
Yaani wewe ni matobolwa kabisa mbona nimeweka picha nyingi sana zikiwemo za aeria? hadi sasa mnazungusha ulimi tu hata photos hakuna
 
Attachments

  • images (6).jpg
    9.3 KB · Views: 2
  • images (7).jpg
    10.7 KB · Views: 2
  • images (8).jpg
    9.5 KB · Views: 2
  • images.jpg
    8.7 KB · Views: 2
  • IMG_0959.JPG
    32.8 KB · Views: 2
Wewe piga domo la mkosaji wee,mimi nakupa namba tuu,soma hiyo hapo chini kutoka TRA
 
Attachments

Yaani hako ka airstrip kasikupe shida saana,Njombe tunajenga airport kabisaa inapigwa lami ya kutosha maana tunasafirisha sana mazao ya kilimo/mboga mboga na matunda nje ya nchi na huu ni mkoa na mji strategic kiuchumi sio sawa na machimboni huko
 
Wenzako wanasafirisha dhahabu nje wewe unakuja kulingishia kusafirisha michicha ya hamsini hamsini hapa!![emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…