Kahama VS Njombe/Mafinga

SGR haishii Isaka tu, Kahama wametenga logistic hub na special economic zone mzigo unafika mjini...
 
We mleta mada nyanoko...mana huna hoja zaidi ya kusifia visivyoonekana..huwezi fananisha kahama na hizo miji ushenzi..nzogu gahama ombone omo duletela..hiyo mikoa watu wanaikimbia wameacha mapoli ya miti tu..wanarudi msimu wakuvuna..ulinganishe na mji wa mishe kama kahama..kila mtu anatamani aishi kahama.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hatuwekezi trillions za watanzania kwenye uchumi wa parachichi.
Unasumbuliwa na ukabila kama bwana yule,unatakiwa ujue na utambue kwamba horticulture ndio sekta inayokuja kwa kasi sana kwenye kuchangia uchumi wa Taifa via exports,TAHA wamejikita huku Nyanda za juu kusini,on top of that sekta hii inamnufaisha mwananchi moja kwa moja tofauti na madini ambayo huishia kwa wachache na kuwaachia tabu tubu..Usicheze na green gold wewe.
Ukiacha habari ya horticulture huku kuna seta misitu na mazao yake,samaki na mazao ya bahari/ziwa na kilimo kwa ujumla..Kati ya mtandao wa barabara za mkoa wa Njombe kama unavyoweza ona kwenye ramani hapo chini ni barabara mbili tu ambazo hazijaanza ujenzi ambazo ni Ikonda-mlangali-Ruhuhu bridge to Madaba/Songea na hiyo ya Iyayi-Ramadhani/Njombe ndio ziko kwenye ilani,the rest as we speak ziko underconstructio kwa hatua mbalimbali,sasa nani hapo kalamba bingo? Mbona pesa imeshawekwa kwenye parachichi mzee.
Kajamaa town itasubili sana maana hizo hadithi hazijaanza leo,na hakuna serikali kichaa itazijenga hizo roads za Kajamaa town maana hazina uzalishaji wowote wa maana kupeleka pesa huko.
 

Attachments

Kuhusu SGR kufika Kahama na kuongeza ICD pita hapa Mkuu kuanzia dakika 3;41 usikie madude
Hata ingefikishwa mlangoni pako ila kikubwa unatakiwa ujue kwamba multiplier effects ya reli ni ndogo saaana kwenye uchumi,kwa mfano kuna reli Kilosa,ifakara,mbeya,mwanza,kigoma ,nk nk miji mingi sana Tzn kuna reli lakini hakuna cha maana kwenye ustawi wa maisha wala ukuaji wa miji husika.Nasisitiza nyie huko Kahama kwa vile mnaushamba wa kuona treni mtaletewa lakini will change nothing economicall maana kitakachokuwa tofauti na reli zingine ni speed tuu nothing else.
 
Kuhusu ukabila mimi ni mkazi wa Arusha hata sio msukuma, Mkuu nyie endeleeni kuwekeza kwenye horticulture na KAHAMA wanawekeza kwenye logistic and transportation ukiachilia mbali madini, kilimo cha mazao na ufugaji, Mwisho wa siku serikali ina amua kipi kinahitajika wapi na kutoa support ili ku diversify uchumi wa kanda na nchi kwa ujumla. Kuhusu SGR kuwa KAHAMA haijengwi kwa sababu inapita kuelekea sehemu nyingine. Kwa Kanda ya Ziwa sehemu ya pili inayotoa mabasi mengi kwenda mikoa mingine baada ya Mwanza Jiji ni KAHAMA. Mikoa mingi inaunganishwa na Kahama kwa lami sio kwa ajili ya kuifanya Kahama isisinyae kama unavyodai bali soko la usafirishaji linahiitaji KAHAMA zaidi.
 
njombe ifananishe na urambo KAHAMA BABA LAO
Una utani na watu wa Tabora wewe,Urambo kile ni kijiji kikongwe bora hata Magugu Manyara ..Njombe ni town kubwa na iliyoendelea,kupewa mkoa si jambo la kitoto ndio maana Kahama/Kajamaa town bado ni Wilaya ever since zama za mawe,the uchuuzi town is dormant
 
Bwana yule kawafundisha ukabila sana awamu hii naona mnafuata nyayo zake.Njombe is regional hq town,Njombe iko katikati ya ukanda wa uzalishaji wa mazao ya misitu,kilimo,horticulture and transport..Your uchuuzi Kajamaa town will remain poor as long as uchuui wa petty bussinesses is concerned,ndio maana Njombe kuna hotel kali,majengo marefu ya ghorofa na govt is heavily investing in modern roads infrastructures every directionsof the town.
Trunk roads to Morogoro,Ruvuma(mbamba bay along lake Nyasa and Madaba),Makete-Mbeya via Kitulo NP etc.Picha humu ndani zinaongea wewe unaleta porojo badala ya facts.
This year Mapato ya Njombe town yamekaribia kuifikia Kajamaa town despite covid,next year mtaimba wimbo wa byebye kajama town kwa kisukuma.
 
Ukabila unausema wewe, mimi ni Mchaga naishi Arusha. Siku zote anehubiri ukabila ndio Mkabila....
 
Ukabila unausema wewe, mimi ni Mchaga naishi Arusha. Siku zote anehubiri ukabila ndio Mkabila....
Niliyemkoti ndio kaandika kilugha na matusi juu kama bwana yule anavyofanya akiwa huko usukumani,kwa hiyo usidandie treni kwa mbele kwanza nyie wachaga mlishaambiw zamu yenu imepita ni zamu ya wengine ko wewe tulia usimjibie mtu hapa
 
View attachment 1430417

Mwambie Mjomba wako Kahama hawapokei wakimbizi, huwezi sikia mtu anatoka Kahama kwenda Njombe kutafuta maisha.
Huwezi toka Kahama kuja Njombe maana watu dizaini ya viazi kule hawawezi kupenya ni mpaka uwe na akili ila huko kwingine tumetapakaa tunawafundisha namna ya kuupiga teke umaskini
 
Sawa baba lazima usifie Kajambaa town maana una interest nako kwenye biashara.Mimi nasubilia 2023 nione kimapato Kati ya Kahama na Njombe maana kwa sasa ni bln 5 kwa 6 baina ya Njombe na Kahama respectively.
Kuhusu kuwa na mabus mengi sio kesi Sana ni sawa maana jiografia pia inaifeva,mji uko jirani na miji mingi ya kanda ya ziwa,Kati,kadiazini na dar..natamani barabara zijengwe fasta Iili kuwe na route za kutokea Miji ya Kusini kuja Kahama Kama Mbeya,Iringa, Njombe na Sumbawanga
 
Yes ni ushindani mzuri, ingekuwa powa sana na wakurugenzi wa Halmsahauri hizi mbili tungekua nao kwenye huu uzi. Ila nadhani taarifa wanazipata.
 
Haziichangii kahama,niliweka kama kuonesha miji yote miwili yaani mafinga na Njombe iko at par ko any one can fight Kahama maana inalingana kwa kila aspects tofauti na kwamba Njombe ni hq ya mkoa na mafinga ni town ya kawaida
Alafu watu was njombe bhana mji kuwa makao makuu sio ndo ukuaji mbona makambako imewa zidi sana kwa ukubwa alafu hata mafinga bdo padogo ukilinganisha hata na makambako kujisifu ndo kwing uongo mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…