Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya-Mwanza Kuna Bus Kali sana Kwa Sasa

-IsamiloExpress
-Mbeya Express
-Premier
-Fikoshi Investments
-Royal Capricon Class

View: https://www.instagram.com/p/Czbgk5DqO2_/?igshid=MXNrOXY2cmpvMXVqYw==

-1754837804.jpg
-144892141.jpg
20231106_095743.jpg
20231105_133145.jpg
20231106_095715.jpg
20231107_103233.jpg
20231109_142452.jpg
20231107_152718.jpg
1987439320.jpg
20231113_185152.jpg
 
Kwani tactic wameanza lini tulia dawa ikuingie, hii itakuwa stendi ya mfano kanda ya ziwa hakuna kama ili gudude.
Sasa hiyo stand ni wanamalizia inayoendelea hakuna jipya

Pili Mikoa yote ya Nyanda za Juu Ina Stand Kali kuliko hiyo render yenu.

Mbeya tuu ndio Stand Bado ila hatuna haraka Ili tuje kutoa kitu matata kikali Tanzania nzima.
 
Kusini nzima hakuna gudude kama ilo la Bukoba kwa akina nshomile.
 
Back
Top Bottom