Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Watu wanaangalia fursa tayar kampun ya DL imechukua ekari zaidi ya 1000 kata ya mahongole makambako kwaajili ya ujenzi wa bandari kavu ,viwanda vya chuma,parachichi na nguo🎥 VIDEO NI MUWEKEZAJI DP WORLD ALIPOZURU MKOANI NJOMBE

Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DP World ya Dubai Sultan Ahmed bin Sulayem alipofika Njombe kwa lengo la kujionea fursa za Uwekezaji.

Mwekezaji alipofika Mkoa Njombe alipokelewa na RC Mtaka pamoja na DC Kissa Gwakisa wakiambatana Mkurugenzi wa CRDB Ndugu AbdulMajid Nsekela pamoja na Mkurugenzi wa Makampuni ya DL kutoka Nchini Kenya Bw. David Langati na Viongozi mbalimbali walikuwepo

#NjombenaFursa
#Utaliikusini
 
Watu wanawaza kuongeza uchumi wa mikoa yao nyie mnawaza kupandisha timu ligi kuu, vitu visivyo na impact yoyote kwa hii nchi yenye usimba na uyanga.
Mikoa yenye njaa Kama Mwanza haiwezi kupandisha timu Ligi kuu.

Ukiona timu ujue ni watu wamemwaga pesa zao Sasa nyie maskini mna hela zipi za Kuendesha timu?
 
Kuilinganisha mwanza na mbeya ni kuikosea adabu Mwanza. Mbeya ni kijijini kwa Mwanza. Mwanza ni jiji linalofuata kwa ubora baada ya Dar
 
Back
Top Bottom