Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Zitaanza mwakani kwasasa wanafagia eneo.Vp barabara ya njia nne mbeya imeshaanza kujengwa au bado wapo mobilization stage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitaanza mwakani kwasasa wanafagia eneo.Vp barabara ya njia nne mbeya imeshaanza kujengwa au bado wapo mobilization stage
Imeanza ya km 29 na lazima ianze maana ni ya Kuombea kura 2025Vp barabara ya njia nne mbeya imeshaanza kujengwa au bado wapo mobilization stage
Hapo vzur sana aisee ila mama anajitahid sana sema Hana promo tu barabara nyng had 2030 zitakuwa zimejengwaImeanza ya km 29 na lazima ianze maana ni ya Kuombea kura 2025
Ile kumbwa ya Igawa-Tunduma hiyo itaanza mwakani ni ya Kuombea kura 2030
Yaa kufikia 2030 ,Itafika Kila pande ya Tanzania Kwa lami nzuri mjini Kwa Vijijini.Hapo vzur sana aisee ila mama anajitahid sana sema Hana promo tu barabara nyng had 2030 zitakuwa zimejengwa
Yaa kufikia 2030 ,Itafika Kila pande ya Tanzania Kwa lami nzuri mjini Kwa Vijijini.
Musoma kazi imeanza 👇
View: https://www.instagram.com/p/CzjdNxNtOp5/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Na KageraKwa Kanda ya ziwa mara ndo wanajenga barabara nyingi
Yeah Tena pale bukoba mjini wanajenga km 5 za njia nneNa Kagera
Kumbe wanajenga barabara kwa kuombea kura wala sio kwa matakwa ya wananchi na uitaji wao😂😂😂Imeanza ya km 29 na lazima ianze maana ni ya Kuombea kura 2025
Ile kumbwa ya Igawa-Tunduma hiyo itaanza mwakani ni ya Kuombea kura 2030
Kwenge hiyo report ya kijinga mbona hakuna baadhi ya mikoa au wakati wanapika taarifa walikuwa wanakimbizwa na nan?
🗑🗑🗑🗑Kanda ya ziwa ovyo Kila sector
Mkiguswa.lazima.iwe imepikwa 🤣🤣Kwenge hiyo report ya kijinga mbona hakuna baadhi ya mikoa au wakati wanapika taarifa walikuwa wanakimbizwa na nan?
Mikoa mingi haipo nioneshe mikoa kama Iringa na ndugu zao wengone kwani sio Tanzania, hizo report za kijinga tu na zimekaa kuabishana, kama ile ya lile limama la kaskazini pale stendi ya JPM, linasema watu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wanaongoza kutelekezwa kwa figure gani alitumia sample size gani, na utafiti wake alitumia nji gani? Hizi report za kijinga na upumbavu tu ni chuki na wivu hakuna kingine.Mkiguswa.lazima.iwe imepikwa 🤣🤣