ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #17,701
Mwaka wa ngapi huu mnatuonesha hizo render? 🤣🤣
Kwani tactic wameanza lini tulia dawa ikuingie, hii itakuwa stendi ya mfano kanda ya ziwa hakuna kama ili gudude.Mwaka wa ngapi huu mnatuonesha hizo render? 🤣🤣
Sasa hiyo stand ni wanamalizia inayoendelea hakuna jipyaKwani tactic wameanza lini tulia dawa ikuingie, hii itakuwa stendi ya mfano kanda ya ziwa hakuna kama ili gudude.
Kusini nzima hakuna gudude kama ilo la Bukoba kwa akina nshomile.Sasa hiyo stand ni wanamalizia inayoendelea hakuna jipya
Pili Mikoa yote ya Nyanda za Juu Ina Stand Kali kuliko hiyo render yenu.
Mbeya tuu ndio Stand Bado ila hatuna haraka Ili tuje kutoa kitu matata kikali Tanzania nzima.
We mbuzi kweli,Kwa hiyo stand ya Iringa na Sumbawanga unaweza fananisha na Hilo Banda kama stoo za viazi?Kusini nzima hakuna gudude kama ilo la Bukoba kwa akina nshomile.
Leta hayo mabanzi ya wauza ulanzi tufananishe na stendi kali ya bukoba sio unaleta maneno kama simbilisi.We mbuzi kweli,Kwa hiyo stand ya Iringa na Sumbawanga unaweza fananisha na Hilo Banda kama stoo za viazi?
Hii inajengwa nyanchenche huko magu ndani ndani👇👇
Wewe unaona Ramani zinafanana na Hilo gofu la huko kwenu Magu?Hii inajengwa nyanchenche huko magu ndani ndani👇👇
View attachment 2809902
Sirudii tafuta mwenyewe ziko nyingi sana humu jf na You tubeLeta hayo mabanzi ya wauza ulanzi tufananishe na stendi kali ya bukoba sio unaleta maneno kama simbilisi.
Angalia architect ipi ni nzuri, kisini nzima hakuna jengo kama ilo.Wewe unaona Ramani zinafanana na Hilo gofu la huko kwenu Magu?
Hiyo mbeya maji itaita mma kwabukoba, kuna miradi kibao ipo online.Sirudii tafuta mwenyewe ziko nyingi sana humu jf na You tube
Mbeya-Mwanza Kuna Bus Kali sana Kwa Sasa
-IsamiloExpress
-Mbeya Express
-Premier
-Fikoshi Investments
-Royal Capricon Class
View: https://www.instagram.com/p/Czbgk5DqO2_/?igshid=MXNrOXY2cmpvMXVqYw==
View attachment 2809314View attachment 2809315View attachment 2809318View attachment 2809319View attachment 2809320View attachment 2809321View attachment 2809324View attachment 2809323View attachment 2809326