Kahama VS Njombe/Mafinga

upcoming projects mwanza ambazo utekelezaji unaanza soon na wakandarasi wamepatikana ni
barabara ya magu ngudu km 10
Airport nyanguge km 10
Kamanga sengerema km 10
barabara ya mwanangwa misungwi had kahama km 129 nahisi ipo kwny hyo mirad itakayosainiwa mwezi huu
 
Bila kusahau mradi wa ujenzi wa daraja la simiyu lenye mita 150 litajengwa pamoja na barabara unganishi km 3 litagharimu bilion 48 pia mwezi huu watasaini mradi mwingine wa daraja la sukuma ambalo Lipo magu linaunganisha mwanza na simiyu
 
Imeanza ya km 29 na lazima ianze maana ni ya Kuombea kura 2025

Ile kumbwa ya Igawa-Tunduma hiyo itaanza mwakani ni ya Kuombea kura 2030
Kumbe wanajenga barabara kwa kuombea kura wala sio kwa matakwa ya wananchi na uitaji waoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkiguswa.lazima.iwe imepikwa 🀣🀣
Mikoa mingi haipo nioneshe mikoa kama Iringa na ndugu zao wengone kwani sio Tanzania, hizo report za kijinga tu na zimekaa kuabishana, kama ile ya lile limama la kaskazini pale stendi ya JPM, linasema watu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wanaongoza kutelekezwa kwa figure gani alitumia sample size gani, na utafiti wake alitumia nji gani? Hizi report za kijinga na upumbavu tu ni chuki na wivu hakuna kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…