Kahama VS Njombe/Mafinga

DKT.DUGANGE AMTAKA MKANDARASI WA BARABARA YA IGWACHANYA-ITULAHUMBA KUKAMILISHA KWA WAKATI

OR-TAMISEMI

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya Igwachanya - Itulahumba yenye urefu wa kilometa 19.25 itakayogharimu Sh. Bilioni 9.86 kwa kiwango cha lami kuanza kazi kwa wakati na kuikamilisha katika muda uliopangwa kwenye mkataba.

Mhe. Dkt Dugange ametoa agizo hilo wakati akishuhudia makabidhiano ya mkataba baina ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) na mkandarasi kampuni ya Summer Communication Ltd itakayoanza kujengwa Desemba, 5 mwaka huu katika Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe.

Akizungumza na wananchi wa vijiji vya Igwachanya na Itulahumba waliojitokeza katika tukio hilo, Mhe. Dkt Dugange amemshukuru Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa kiasi hicho cha fedha na kumtaka mkandarasi huyo kuzingatia thamani ya fedha pamoja na kujengwa kwa kiwango bora kwa kuwa ni barabara muhimu itakayoifungua wilaya hiyo.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe, Claudia Kitta ametoa rai kwa mkandarasi wa mradi huo kutoa fursa ya ajira kwa wananchi wa eneo hilo badala ya kutoa ajira kwa wananchi wa maeneo ya mbali.

Naye, Meneja wa TARURA Wilaya ya Wanging'ombe, Boniface Kasambo amesema mradi huo utakamilika ndani ya miezi 20 na kukamilika kwake kutarahisisha usafiri kwa abiria na mazao, kuimarisha kipato cha wananchi pamoja na kuifungua Wilaya hiyo.

&&&&
 
Sijawahi kuona CBD ni slum kama hii duniani, mpkaCBD ni mwendo wa slum barabara katikati ya mji zipo kama nyoka anapitaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakuongezea na picha moja ya mfano kali balaa ya jiji letu pendwa la MbeyaπŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 2824229
Una post na kujikoti mwenyewe 🀣🀣🀣

Wakati unaendelea kukaza ujinga kichwani mwako,Mbeya & Songwe fursa Zinazidi kufunguliwa Kwa kutandika lami Kila Wilaya Hadi Wilaya,mpaka Hadi mpaka

View: https://www.instagram.com/p/C0DwoMctaY-/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Sijawahi kuona CBD ni slum kama hii duniani, mpkaCBD ni mwendo wa slum barabara katikati ya mji zipo kama nyoka anapitaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakuongezea na picha moja ya mfano kali balaa ya jiji letu pendwa la MbeyaπŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 2824229
Una post na kujikoti mwenyewe 🀣🀣🀣

Wakati unaendelea kukaza ujinga kichwani mwako,Mbeya & Songwe fursa Zinazidi kufunguliwa Kwa kutandika lami Kila Wilaya Hadi Wilaya,mpaka Hadi mpaka

View: https://www.instagram.com/p/C0DwoMctaY-/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Acha kulinganisha maneno na vitendo, mradi y
Wa JPM bridge huwezi kulinganisha na mradi hewa hata siku moja tumia akili hata mara moja moja.
Mradi hewa ndio Ukoje wakati kazi imeanza Kwa kujenga Camps?
 
Hata mwanza walishaaidiwa kujengewa kiwanda cha simu mpka leo hata cha kuzalisha mifuniko ya simu hamna, unafurahia utafikiri huijui nchi yako.
Serikali haijengi viwanda Bali inajenga public goods ,kiwanda sio public good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…