Huwa namshangaa jamaa anatoa wapi ujasiri wa kulinganisha bk na vijiji kama sumbawanga
KCU siku hizi wamefufuka kama wapigaji hawataingilia na kuiua tena itafika mbaliNimeona KCU Bukoba wamefungua Ukumbi mzr mkubwa wa kisasa Bukoba... Bukoba inaonekana inajoga siku hiz
Soma Taratibu na maji ya kunywa yawe pembeniUkiachana tactic...Bukoba kunajengwa km 5.1 ya barabara ya njia nne, stendi ya daladala , bandari inapanuliwa , uwanja wa ndege unawekewa taa, kuna mall mpya inajengwa, Kuna conference centre kubwa inaitwa KCU imefunguliwa, kuna hospital kubwa ya watu binafsi inajengwa zaidi ya 5 billion...
Bukoba ni construction site nowdays...kutangulia sio kufika mkuu
Mtaa wa Miembeni BukobaSoma Taratibu na maji ya kunywa yawe pembeni
View: https://www.instagram.com/p/C1ACJPEKNbD/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Viwanda haviletwi na Mwamba,ni nature ya sehemu tuu.Mwamba anapiga kazi na viwanda vinazidi kujengwa na wawekezaji wanamiminika kutoka sehemu mbalimbali wanatumia fursa ya position ya mji ukiwa na kiwanda makambako una uhakika wa kusupply bidhaa sehemu nyingi na mji upo ndani ya mikoa yenye raw material za kutosha hii imepelekea wachina kuanza ujenZi kiwanda kikubwa Cha nondo na bidhaa zingine za chuma Africa mashariki na kati kitakacho ajiri watu zaidi ya 1500 hii ni kutokana na madini ya chuma mchuchuma ludewa na kama mkoa umeamua makambako ndo viwanda vya bidhaa tofauti zinazopatikana mkoa wa njombe zichakatwe hapo viwanda vya bidhaa ya chuma navyo vitajengwa vya kutosha na mji tayar wamesha pima maeneo ya kujenga viwanda
View attachment 2847639View attachment 2847641View attachment 2847643View attachment 2847644View attachment 2847645View attachment 2847646View attachment 2847647View attachment 2847648View attachment 2847649View attachment 2847650View attachment 2847651View attachment 2847652View attachment 2847653
Upo sahihi ila Naye katoa mchango wake wa kuhamasisha wawekezajiViwanda haviletwi na Mwamba,ni nature ya sehemu tuu.