Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Nimeona KCU Bukoba wamefungua Ukumbi mzr mkubwa wa kisasa Bukoba... Bukoba inaonekana inajoga siku hiz
Huwa namshangaa jamaa anatoa wapi ujasiri wa kulinganisha bk na vijiji kama sumbawanga
 
Attachments

  • Namshukuru_Mungu_ukumbi_wetu_wa_KCU_CONFERENCE_CENTRE_ulioko_Bukoba_mjini_umeanza_kutumika_ras...mp4
    3 MB
1702912790742.jpg
 
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesema uongozi wa mkoa huo umekusudia kuufanya Mji wa Makambako kuwa eneo la viwanda ili kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa mkoa huo.

Mtaka amesema hayo wakati akisikiliza na kutatua kero za wananchi wa Makambako ambapo amesema wapo katika hatua za mwisho kuanzisha kiwanda cha gloves na kiwanda cha parachichi.

Aidha Mtaka amesema hakuna kiongozi yeyote atakayewazuia wananchi kufanya biashara halali kwa saa 24.

Ameongeza kuwa kuelekea mwisho wa mwaka kila mzazi ajipange kupeleka mtoto wake shule bila ya kisingizio chochote.

"Naomba nisistize ndugu wazazi wenzangu, mwezi Januari kila mzazi asiwe na kisingizio chochote cha kufanya mtoto asiende shule."

Mtaka ameandaa mkutano huo wa kusikiliza kero za wananchi akiwahusisha w
1702914137702.jpg
ataalamu wa idara mbalimbali za wilaya hiyo ili kutafuta ufumbuzi wa changamoto za wananchi.
 
Ukiachana tactic...Bukoba kunajengwa km 5.1 ya barabara ya njia nne, stendi ya daladala , bandari inapanuliwa , uwanja wa ndege unawekewa taa, kuna mall mpya inajengwa, Kuna conference centre kubwa inaitwa KCU imefunguliwa, kuna hospital kubwa ya watu binafsi inajengwa zaidi ya 5 billion...
Bukoba ni construction site nowdays...kutangulia sio kufika mkuu
Soma Taratibu na maji ya kunywa yawe pembeni

View: https://www.instagram.com/p/C1ACJPEKNbD/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Mwamba anapiga kazi na viwanda vinazidi kujengwa na wawekezaji wanamiminika kutoka sehemu mbalimbali wanatumia fursa ya position ya mji ukiwa na kiwanda makambako una uhakika wa kusupply bidhaa sehemu nyingi na mji upo ndani ya mikoa yenye raw material za kutosha hii imepelekea wachina kuanza ujenZi kiwanda kikubwa Cha nondo na bidhaa zingine za chuma Africa mashariki na kati kitakacho ajiri watu zaidi ya 1500 hii ni kutokana na madini ya chuma mchuchuma ludewa na kama mkoa umeamua makambako ndo viwanda vya bidhaa tofauti zinazopatikana mkoa wa njombe zichakatwe hapo viwanda vya bidhaa ya chuma navyo vitajengwa vya kutosha na mji tayar wamesha pima maeneo ya kujenga viwanda
1702914137702.jpg
IMG-20231026-WA0958-1024x662.jpg
1696737622411.jpg
FB_IMG_16798549631190177.jpg
FB_IMG_16798574290627762.jpg
1702003519700.jpg
1697948049588.jpg
FB_IMG_16684255023408367.jpg
FB_IMG_16708237229046005.jpg
IMG-20231124-WA0123.jpg
1690528543840.jpg
FB_IMG_16788597039701255.jpg
1703037483324.jpg
 
Mwamba anapiga kazi na viwanda vinazidi kujengwa na wawekezaji wanamiminika kutoka sehemu mbalimbali wanatumia fursa ya position ya mji ukiwa na kiwanda makambako una uhakika wa kusupply bidhaa sehemu nyingi na mji upo ndani ya mikoa yenye raw material za kutosha hii imepelekea wachina kuanza ujenZi kiwanda kikubwa Cha nondo na bidhaa zingine za chuma Africa mashariki na kati kitakacho ajiri watu zaidi ya 1500 hii ni kutokana na madini ya chuma mchuchuma ludewa na kama mkoa umeamua makambako ndo viwanda vya bidhaa tofauti zinazopatikana mkoa wa njombe zichakatwe hapo viwanda vya bidhaa ya chuma navyo vitajengwa vya kutosha na mji tayar wamesha pima maeneo ya kujenga viwanda
View attachment 2847639View attachment 2847641View attachment 2847643View attachment 2847644View attachment 2847645View attachment 2847646View attachment 2847647View attachment 2847648View attachment 2847649View attachment 2847650View attachment 2847651View attachment 2847652View attachment 2847653
Viwanda haviletwi na Mwamba,ni nature ya sehemu tuu.
 
Back
Top Bottom