Kahama VS Njombe/Mafinga

BK zinajengwa sababu ya jina Manispaa ila Haina vigezo.Wakati mnajenga km 5 wenzio wakijenga zaidi ya km 10 ikiwemo dual Carriage road.

Kumbe unakiri kwamba Swax is bigger 3 times your fishing Village of Bukoba? So we deserves more than that.
Wee jamaa wana kanda ya ziwa walikufanya nini 😁😁

Una chuki iliyokomaa πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸΎ
 
😁😁 We babu una vituko, yaani construction site Kwa ka mall kamoja ambako hakaishagi? πŸ˜†πŸ˜†

Swax ni kiboko ya Bukoba fishing village.Apart from Tactic normal construction of Municipal roads are going on
 
ulianzaga lini kusema habari za mall?
Tatizo hutaki kusikia huu mradi ndo maana unaona nimeongelea huu mradi zamani...
Huu mradi umeanza mwezi wa nne mwaka huu na unaisha mwakani mwezi wa sita
 

Attachments

  • Screenshot 2023-12-24 053438.png
    1.8 MB · Views: 2
Bukoba skyline 2023...Huu mji una bright future
 

Attachments

  • Screenshot 2023-12-24 053456.png
    978.4 KB · Views: 2
  • 3.PNG
    759.9 KB · Views: 2
Kutoka mitaa ya kashura Bukoba
 

Attachments

  • Screenshot_20231219-214003.png
    626.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20231219-214007.png
    532 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…