ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jamaa wana kanda ya ziwa walikufanya nini 😁😁BK zinajengwa sababu ya jina Manispaa ila Haina vigezo.Wakati mnajenga km 5 wenzio wakijenga zaidi ya km 10 ikiwemo dual Carriage road.
Kumbe unakiri kwamba Swax is bigger 3 times your fishing Village of Bukoba? So we deserves more than that.
Bado hujasema Hadi useme 🔥🔥Wee jamaa wana kanda ya ziwa walikufanya nini 😁😁
Una chuki iliyokomaa 😁😁🙌🏾
Naona Kagera wanazidi kuambiwa UkweliView attachment 2850616
Bukoba ni construction site siku hiz...Tazama ile shopping mall yetu..
Skyline ya bukoba inaizidi mbeya...
Na hapo hospital ya mkoa ghorofa jipya, soko kuu ghorofa jipya...kamera hajaielekeza kashura kule ni mitaa ya mipya ya washua Bukoba
View: https://youtu.be/2-tPq-WdYW4?si=6dZ0etbRyAfNRjlI
Ujenzi umeanza mwaka huu mwezi wa nne na unaisha june mwakani😁😁 We babu una vituko, yaani construction site Kwa ka mall kamoja ambako hakaishagi? 😆😆
Swax ni kiboko ya Bukoba fishing village.Apart from Tactic normal construction of Municipal roads are going on View attachment 2851616View attachment 2851617
ulianzaga lini kusema habari za mall?Ujenzi umeanza mwaka huu mwezi wa nne na unaisha june mwakani
Tatizo hutaki kusikia huu mradi ndo maana unaona nimeongelea huu mradi zamani...ulianzaga lini kusema habari za mall?