Kahama VS Njombe/Mafinga

Mambo YanaZidi kuwa matamu mkoa wa njombe Kaz ya uchImbaji madini inaendelea ili kuendana na rasilimali hii adim ndo maana mkoa umeamua kutumia fursa hii makambako uwe mji wa viwanda katika mkoa ndo unamiundombinu yote ya reli ,Barabara ,umeme mkubwa na ni rahisi kuyafikia masoko yote ya SADC,EAC nk pia ni eneo lililoplaniwa na mkoa kujengwa bandari kavu ndo maana tayar makampuni makubwa yameanza kuwekeza viwanda vya chuma nk
 
Mimi nataka nyumba zenu vijijini...maana maisha ni nyumba siku zote...mnajisifia mna hela lakin matumizi yake hatuyaoni...

Huku ni muleba..Wilaya katika mkoa maskini Kagera 😂

View: https://www.instagram.com/p/C1hwdOeMYId/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==

View: https://www.instagram.com/p/C1hwMgKsriz/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
 
😂😂😂😂 Labda ela ni za majini yanawakataza kujenga nyumba nzuri za kuishi, au ukijenga kijijini wachawi wanapita na wewe si unajua wenzetu hawa vijijini wanaishi kizamani sana.
 
😂😂😂😂 Labda ela ni za majini yanawakataza kujenga nyumba nzuri za kuishi, au ukijenga kijijini wachawi wanapita na wewe si unajua wenzetu hawa vijijini wanaishi kizamani sana.
Naona mnafarijiana endeleeni kufarijiana umasikin ndo unawamaliza Uwekezaji unadhihirisha pesa hawategemei mashirika
 
😂😂😂😂 Labda ela ni za majini yanawakataza kujenga nyumba nzuri za kuishi, au ukijenga kijijini wachawi wanapita na wewe si unajua wenzetu hawa vijijini wanaishi kizamani sana.
Waache na takwimu zao za kupika za serikali..nani hajui Tz hii hatuko serious na takwimu...

Kwa ground ni different
Huko Bukoba watu wanajenga majumba Kila kukicha
Wao wanadai Wana hela lakin hatuoni expenditure zao....
 
Attachments

  • dji_mimo_20231230_183402_0_1703952342240_photo.jpg
    4.1 MB · Views: 4
  • dji_mimo_20231229_125054_0_1703868265607_photo.jpg
    8.4 MB · Views: 4

😂😂😂😂 Labda ela ni za majini yanawakataza kujenga nyumba nzuri za kuishi, au ukijenga kijijini wachawi wanapita na wewe si unajua wenzetu hawa vijijini wanaishi kizamani sana.
Waache na takwimu zao za kupika za serikali..nani hajui Tz hii hatuko serious na takwimu...

Kwa ground ni different
Huko Bukoba watu wanajenga majumba Kila kukicha
Wao wanadai Wana hela lakin hatuoni expenditure zao
Naona mnafarijiana endeleeni kufarijiana umasikin ndo unawamaliza Uwekezaji unadhihirisha pesa hawategemei mashirikaView attachment 2859145View attachment 2859147
Nani kakwambia mji hawajengi maghorofa? Wew unafikiri maghorofa 700 yanatoka wap Bukoba?

Mambo ya kawaida hayo na Wala sio vitu vya kupost...tunataka vijijini
 
Attachments

  • DJI_20231228190846_0179_D.JPG
    6.2 MB · Views: 3
  • DJI_20231228190800_0174_D.JPG
    5.5 MB · Views: 4
  • DJI_20231228190809_0176_D.JPG
    5.7 MB · Views: 5
Stendi ya daladala mjini kati Bukoba uko Kasi sana...mwezi wa nne stendi hii inabidi iwe imeisha
TUNAWAMBIA SAIzi kuhusu nyumba za vijiji kwa mkoa wa wa njombe uko vizur mno sio ajenda ya kutuletea humu saiz tunacho angalia miradi mikubwa inayo leta tija plaza hiyo makete
 
TUNAWAMBIA SAIzi kuhusu nyumba za vijiji kwa mkoa wa wa njombe uko vizur mno sio ajenda ya kutuletea humu saiz tunacho angalia miradi mikubwa inayo leta tija plaza hiyo makete View attachment 2859216
Miji inakaa hiv...A town should have proper city centre and downtown...sio unafika mji flani hujui hata mjini ni wap...
Na hapa hawajetengeza Barabara za mjini kati ambazo nazo zinatengenezwa mwakani..
Kwa Tanzania miji ya zamani ndo Iko hiv na ina mionekano ya Mji kwa sabahu ilipangwa..
Hapo mjini Kuna mfumo wa majitaka,majisafi na mji unatakiwa kuwa na public park..ambayo Bukoba inazo mbili sasa
Bukoba downtown...
 
Attachments

  • dji_mimo_20240101_004024_0_1704091241490_photo.jpg
    6.2 MB · Views: 4
  • dji_mimo_20240101_004202_0_1704091225124_photo.jpg
    5.5 MB · Views: 2
  • dji_mimo_20240101_004146_0_1704091233023_photo.jpg
    3.5 MB · Views: 3
TUNAWAMBIA SAIzi kuhusu nyumba za vijiji kwa mkoa wa wa njombe uko vizur mno sio ajenda ya kutuletea humu saiz tunacho angalia miradi mikubwa inayo leta tija plaza hiyo makete View attachment 2859216
Miji inakaa hiv...A town should have proper city centre and downtown...sio unafika mji flani hujui hata mjini ni wap...
Na hapa hawajetengeza Barabara za mjini kati ambazo nazo zinatengenezwa mwakani..
Kwa Tanzania miji ya zamani ndo Iko hiv na ina mionekano ya Mji kwa sabahu ilipangwa..
Hapo mjini Kuna mfumo wa majitaka,majisafi na mji unatakiwa kuwa na public park..ambayo Bukoba inazo mbili

Mji sio kuongoza mapato na kujusanya Mabillion mji ni kufata urban planning
Bukoba downtown...
 
KAMA UMESOMEA mIPAngo miji si lazima miji yote ifanane inategemeana na future ya mji Kuna miji ya utawala , Kuna miji ya biashara na uwekezaji usilazimishe miji yote ya tanzania ifanane na bukoba MFANO HIYO NI MAKAMBako saiz wanajenga parking kubwa mbili za Maroli hiikwasababu mji wao wameTARGET KUWA WA VIWANDA
 
Mafinga nao ndo hao kila mji una future yake usilazimishe mambo
 
Iringa mc wanaenda kiutalIi zaidi maeneo ya WAMEPIMA KWAAJILI YA UWEKEzaji wa hoteli na vituo vya kitalii ndo future ya mji kuwa wakitalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…