Mambo YanaZidi kuwa matamu mkoa wa njombe Kaz ya uchImbaji madini inaendelea ili kuendana na rasilimali hii adim ndo maana mkoa umeamua kutumia fursa hii makambako uwe mji wa viwanda
katika mkoa ndo unamiundombinu yote ya reli ,Barabara ,umeme mkubwa na ni rahisi kuyafikia masoko yote ya SADC,EAC nk pia ni eneo lililoplaniwa na mkoa kujengwa bandari kavu ndo maana tayar makampuni makubwa yameanza kuwekeza viwanda vya chuma nk