Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama inawakazi 300000 au unasema kahama ya njombe
 
Hiyo hali iko maeneo mengi tu ya nchi na sio huko Iringa pekee na mtoa mada alikuwa na lake jambo
Hahaha anga lishachafukaa
 
Wale wanjombe mafinga mko wapi..nadhani mmeisikilza vyema hotuba ya leo ya JPM ndani ya manispaa ya KAHAMA.

#MaendeleoHayanaChama
Kahama kupewa hadhi ya Manispaa kisiasa hakubadilishi chochote ,kilichopo ni kwamba Kahama unazidi Njombe kwa idadi kubwa ya maskini tuu na si vinginevyo
 
Watasema nn.. wakati wanavyovisema humu ni huwa ni hadithi tupu...

Wa
Tu wanajenga na own sources, makusanyo yao nyanafanya 50% ya makusanyo ya mkoa mzima.. unakuja unasema tunalima miti na chai!?
Manispaa ya Kahama haiondoi maskini waliotapakaa huko Njombe itabaki kuwa juu kwa kila kitu
 
Hizo political status hazitaweza kuwapunguzia umaskini mlio nao wala kuwaongezea chochote tangible zaidi ya proud uchwara

Njombe itabakia kuwa juu kwenye nyanja zote za maisha au tutupie picha
 
Karibuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Mafinga mkuu una fursa nyingi,Kahama imeshashikwa na wajanja, nenda Mafinga katafute mashamba huko vijijini Mufindi,panda miti ya mbao,lima mahindi na maharage. tatizo wengi tunataka kuanza biashara na kupata faida muda huo huo,wekeza kwenye miti ya mbao na milingoti,inachukua miaka kama 15- 20 ukiwa kijana huo ni uwekezaji mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…