Kahama VS Njombe/Mafinga

Walioko site watuletee picha za current maana hizo za mitandaoni nyingi ziko out of date..

Jiji la Mbeya Kwa Sasa ni Construction site everywhere ,Baadhi ya picha nilizi spot siku za karibuni,Majengo yanaendelea Kusimama👇👇


Hizo picha nilipiga kati ya Mwanjelwa-Nanenane ila ukienda kule Esso,Magorofani,Mafiati na Uyole kote huko Magorofa yanazidi kupanda hewani.

Saizi Mbeya imeanza kuwa na sura ya Jiji tofauti na zamani.
 
Iringa MC inaendelea kushikilia nafasi ya Mji wenye good skyline Kwa Nyanda za Juu Kusini.

Kasi ya ujenzi wa magorofa sio kubwa Kama Mbeya ila Sasa wanajenga majengo marefu kama kawaida Yao.
 
Yes. Iringa naikubali mimi japo ni mji Mdogo lakin kana standard ya mji sio kama mbeya
Iringa Kwa Sasa imeshamezwa na Dom,Mbeya na Njombe.

Nimetoka huko juzi yaani majengo ya mwaka juzi ndio yanamalizika ila ni tall buildings safi kabisa gorofa 7 and above.

But economically inapungua.Mbeya unayoiponda ni ujenzi wa magorofa Kila Kona ,the only difference ni kwamba hayako sehemu Moja yako scattered na mengi Yao sio marefu.

But Kwa Mimi Mbeya inakuja vizuri Sana na Sasa Ina maturity ya City,Kila mwaka ukienda unakuta viota vipya angani ,pesa inazunguka pesa ipo kuanzia Uyole Hadi Mbalizi.

Can't wait to see njia 4 and New Bus Stand Old Airport itakuwa ni 🔥🔥🔥
 
UPo sahihi shida ya iringa mji umejifinya Sana tofauti na miji kama ya Dom
 

Stendi ndogo ya daladala mjini Bukoba imefikia hapa. Mwezi wa nne stendi inafunguliwa kwa ajili ya daladala za mjini Bukoba.
Phase 2 ya ujenzi wake itahusisha jengo la abiria ujenzi utakaoanza April.

Stendi kuu itajengwa bajeti ijayo chini ya tactic
 
Benki ya Dunia imetoa TZS bilioni 688.5 za kuendeleza ushoroba wa biashara wa Dar es Salaam kati ya Tanzania na Zambia.

Maboresho hayo yatakayonufaisha watu zaidi ya milioni 2 yataongeza ufanisi, usalama na uharaka katika ufanyaji biashara kati ya Tanzania, Zambia, Malawi na DR Congo.

#MamaYukoKazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…