ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #18,381
Walioko site watuletee picha za current maana hizo za mitandaoni nyingi ziko out of date..
Jiji la Mbeya Kwa Sasa ni Construction site everywhere ,Baadhi ya picha nilizi spot siku za karibuni,Majengo yanaendelea Kusimama👇👇
Hizo picha nilipiga kati ya Mwanjelwa-Nanenane ila ukienda kule Esso,Magorofani,Mafiati na Uyole kote huko Magorofa yanazidi kupanda hewani.
Saizi Mbeya imeanza kuwa na sura ya Jiji tofauti na zamani.